Nimeona hapo Lumumba kimekuja kifurushi cha kadi za mwaliko
Awali nilidhani ni mwaliko wa Sherehe za Diwali kumbe ni Sikukuu ya ACT wazalendo kuhamia Jengo jipya Ghorofa
Ndio najiuliza Siasa ni...
Kuna watu wakipatwa na kero kidogo tu usumbufu ni kwa nchi nzima ifike mahali tuache matatizo ya kiwilaya yashughulikiwe kiwilaya isiwe ajenda ya nchi.
Watu wa Dar mnapata maji kwa mgao mnapiga...
Habari zenu wana JF wenzangu, ama baada ya salam ningependa sasa nijielekeze kwenye mada husika.
Hapa chini ningependa tuorodheshe tano bora ya mawaziri wenye kufanya vizuri zaidi katika serikali...
Katiba Mkuu wa Chadema, John Mnyika angali kwenye ziara ya Kusimamia usajili wa kisasa wa wanachama (CHADEMA DIGITAL) ambapo leo ni zamu ya Mkoa wa Rukwa, huko Kalambo.
Hata hivyo alipofika...
Wanabodi
Rais Samia ambaye ni Rais Mwanamke wa Kizanzibari mwenye lugha tamu laini na lafudhi ya Kizanzibari, yenye maneno na vineno, vitamu hadi raha kumsikiliza haku ukitamani asimalize...
Tunaweza kuondoka kwenye mfumo wa lawama kwa kuitazama hii fursa.
Hii ni ripoti ya uchambuzi wa kiujumla wa kiuchumi uliofanywa na Benki ya Stanbic kuhusiana na mradi wa gesi wa Lindi LNG...
Afrika Mashariki na Kati hakuna nchi ambayo ilikuwa inasifika kwa umoja wao kama Tanzania
Na bado ninyi ni wamoja saana
Ila tabia hii ya kuanza kuulizana kuhusu makabila yenu au kuhusu ukanda...
Mwigulu Nchemba alitamka tena mara mbili kuwa anayeshindwa gharama za maisha hapa Tanzania aende Burundi, sasa ni dhahiri kuwa wengi wameshindwa kuhimili gharama kubwa za maisha kama alivyo...
Kwa kuwa bei ya umeme haiendani na uhalisia wa mauzo, Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) limesema halipati mtiririko mzuri wa mapato, hivyo kushindwa kulipa madeni yake ya muda mfupi, hali...
Mungu ibariki Tanzania, Afrika na wana jf wote, na watanzania KWa ujumla
Mada ni fupi Sana kwenu CHADEMA TZ, siku zinaisha, swali la msingi kwenu
Mmejiandaa vipi Serikali yenu 2025-2030, ...
Mungu wa mbinguni humtumia Mtu " mmoja tu" anapotaka kuleta ukombozi katika jambo fulani
Zitto Kabwe na Deus Balile wamesisitiza sana kwa kusema " Katiba mpya ni lazima ipatikane ili yasijirudie...
26 October 2022
Dar es Salaam, Tanzania
Bi. Jutta Urpilainen Kamishna wa Umoja wa Ulaya aongea na kuwaasa vijana wa Tanzania
Video courtesy of Azam TV
Kamishna wa EU akizungumza baada ya kundi...
Watu Wengi walijiuliza iwapo Kikosi kazi cha Prof Mkandalla kilikuwepo kwa mujibu wa sheria
Mjumbe wa kamati mh Zitto Kabwe amesema sheria ya Katiba mpya ilianzishwa tangu 2011 na mawazo ya...
hii ratiba ya mgao wa maji iliyotolewa na dawasa mbona hawaifuatilii au ni usanii wa kisiasa maana ratiba ya maji waliyosema jana yatatoka Mbezi juu ikiwemo lakini hola
Naona nchi kama tatu za Afrika wanarusha satelaiti zao kwa ajili ya matumizi mbalimbali ikiwemo mazingira na usalama.
Naona nchi kama Rwanda ikiwa na viwanda vya simu na magari.
Naona nchi...
Toka tupate uhuru ni miaka zaidi ya 60 chini ya utawala wa CCM lakini watanzania hatuna uhakika wa kula, kuoga wala kuona usiku. Nikimaanisha kwamba hakuna chakula cha kutosha, hakuna uhakika wa...
Janaury Makamba ukitoa jina Makamba pale je anabakia ni nini hasa cha ku show kwenye Taifa hili? Ana skills gani muhimu sana kwa Taifa? Ana upekeee gani?
Njoo kwa Riziwani Kikwete then ondoa neno...
Wizara ya Nape kila kukicha gharama za bando zinazidi kupaa na Watanzania wanajua.
Wizara ya Makamba kila kukicha inaongoza kwa kukata nishati ya umeme na kwalo vitu kama radio, TV, freezer na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.