Wana CCM Tuendelee kuungana na kuwa kitu kimoja na Tuendelee kumuunga mkono Mwenyekiti wetu Mama Samia, Wapinzani Wameishiwa pumzi

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,262
9,714
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na kuwa na Dira na muelekeo unaoeleweka na kuwa vutia watanzania katika kutuunga mkono na kutuchagua kila ufikapo uchaguzi wa aina yoyote Ile unapoitishwa na kufanyika

Nguzo hizi hatupaswi kuziacha, Wala kuzisahau,Wala kuzitupa,Wala kuhisi zimepitwa na wakati, Ni nguzo zilizotufikisha hapa Tulipo, Ni nguzo zilizokishikiria chama chetu, Ni nguzo zilizotufanya kuaminika kwa watanzania, kupigiwa kura kila uchaguzi, kupigania chama katika uchaguzi na kukilinda chama chetu kwa Hali na Mali, Ni nguzo zilizofanya maadui wa ndani na nje ya chama kukosa upenyo wa kukivuruga na kukisambalatisha chama chetu, Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kionekane bado ni kijana kila siku, Ni nguzo zinazoongeza wanachama wapya kila siku,

Ni nguzo Zinazofanya kadi za CCM zitafutwe Kama Dhahabu katika ofisi zake na Ni nguzo ambazo zimekifanya CCM kuwa Tumaini la watanzania wa matabaka na Rika zote hapa nchini na zaidi Ni kuwa Ni nguzo Zinazofanya mwanachama akihama Leo CCM lazima kesho Arudi ndani ya CCM na kujutia uamuzi wake wa kukihama chama, mwisho ni kuwa hizi Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kuwa kikubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake, Hakuna mkubwa ndani ya CCM, Kama huamini Hama leo CCM uone Kama kitayumba au kuyumbishwa

Hivyo lazima Tuendelee kuwa wamoja na kushikamana, Tusichonganishwe na mtu wa aina yoyote yule kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda,jinsia Wala Hadhi, Tuseme na Tufahamu kuwa wote Ni sawa na tuna haki sawa ndani ya CCM, wote Tukipiganie na Tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote, Hakuna mpinzani atakaye tulindia chama chetu Wala kutujengea chama chetu, Hakuna mpinzani anayependa kuona tukiwa wamoja, wapinzani wanatamani tusambalatike hata leo tu, Tusiwape upenyo huo

Tusiwape Siri zetu, Tusiwape mipango Wala mikakati yetu, Tusiwaonyeshe njia zetu.

Tumpe ushirikiano wakutosha Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tumtetee kwa nguvu zetu zote popote tulipo, Tuwajibu wapinzani wetu kwa hoja nzito nzito, Tumbebe Samia wetu katika mikono yetu, na migongo yetu, Tusikubali ashambuliwe na wapinzani wetu,

Tufahamu akishambuliwa yeye Ni sawa na kwamba tumevamiwa sote, siasa Ni hoja na Ni sayansi, lazima Tuwe watu wa hoja muda wote zidi ya wapinzani wetu,CCM Ni moja, Wana CCM Ni wamoja na chama ni kimoja Tu CHAMA CHA MAPINDUZI, Tusiumizane, tusipaniane.

Tusiwekeane mitego wenyewe kwa wenyewe Wala Tusichukiane wenyewe kwa wenyewe, Wala Tusiangushane wenyewe kwa wenyewe kwa kumnufaisha mpinzani wetu

Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge

LUCAS Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
 
Mwenyekiti wenu huyu akili yake yote ameiweka kwenye kushinda uchaguzi wa 2025, amesahau kukuza uchumi na demokrasia.

CCM ndiyo wadudu wa nchi hii. Hamjawahi kupatia
Kwani wewe huoni juhudi za mh Rais katika kuijenga nchi hii na kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja
 
Unaiwinda nafasi ya Jerry Muro siyo Kwa debe hili! Ccm Mna uzalendo Gani zaidi ya kuifisidi nchi na kuwaibia wananchi Kwa njia ya tozo na kuhamasisha uvunjivu wa amani?
Tozo Ni kwa maendeleo ya Taifa letu, Hata mataifa ya ulaya yamefika hapo yalipo kwa kubeba wajibu wao katika mabega yao
 
Toa mifano labda kupitia kwayo utaeleweka.
Naanza na kundi la wakulima ambalo ndio kubwa, Katika secta hii ambayo Ni uti wa mgongo wa Taifa letu mh Rais wetu ameweza kuongeza bajeti Hadi kufikia billioni Mia Tisa na point kutoka billioni Mia mbili huko, pia ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku katika mbolea Hali iliyopelekea kushuka kwa mbolea mpaka kufikia mfuko wa DAP kuuzwa elfu 70 toka huko ilikokuwa laki na 40, je wewe huoni hizi Ni juhudi za makusudi za mh Rais kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja?
 
Katika secta hii ambayo Ni uti wa mgongo wa Taifa letu mh Rais wetu ameweza kuongeza bajeti Hadi kufikia billioni Mia Tisa na point kutoka billioni Mia mbili huko, pia ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku katika mbolea
Nilijua una jipya kumbe unekuja na hizi ngonjera zinazoimbwa tangu tupate uhuru??
-kikimo cha kufa na kupona.
-kilimo ni uhai
-kilimo ni uti wa mgongo
-kilimo kwanza.
-n k
Ngonjera zote hizi ziliambatana na kutngwa mapesa mengi yaliyoishia kutafunwa na wajanja kupitia semina, warsha, makongamano, n.k

Hiyo ya kilimo kwanza zilinunuliwa mpk trekta na power tillers za kusambpazwa nchi nzima ili kugawiwa wakulima kupitia mikopo nafuu. Lkn Hadi hivi leo ajuae ni Maulana tu kwa kile kilichofanyika.

Acha kunikumbusha ujinga huu
 
Kwa hiyo wewe ungefurahi ndani ya moyo wako Kama mbolea ingebaki Bei juu Kama msimu uliopita?
 
Screenshots_2022-10-10-03-08-33.jpg
 
Tuna vijana hopeless sana ndani ya chama cha mapinduzi.
CCM iruhusu mikutano ya vyama vya siasa na wananchi,halafu uone.
Huu Ni muda wa kazi kwa CCM ambayo iliaminiwa na watanzania kuwatumikia,kwani kule marekani ulishaonaa wakimaliza uchaguzi wanaanza kuzurula zurula mitaani Kama nyinyi wapinzani mnavyotaka, kipi kipya mlichonacho? Hata mkipewa nafasi mtaishia kutukana tu Kama kawaida yenu, kaeni kwa kutulia kwanza
 
Ndugu zangu Wana CCM lazima Tufahamu kuwa Nguvu ya CCM na Wanaccm imekuwa Ni katika umoja wetu, Ushirikiano Wetu,mshikamano wetu ,upendo miongoni mwetu, UZALENDO wetu kwa chama na serikali yetu, misimamo yetu, kutanguliza mbele maslahi ya chama na serikali yetu, Sera na ajenda zetu pamoja na kuwa na Dira na muelekeo unaoeleweka na kuwa vutia watanzania katika kutuunga mkono na kutuchagua kila ufikapo uchaguzi wa aina yoyote Ile unapoitishwa na kufanyika

Nguzo hizi hatupaswi kuziacha, Wala kuzisahau,Wala kuzitupa,Wala kuhisi zimepitwa na wakati, Ni nguzo zilizotufikisha hapa Tulipo, Ni nguzo zilizokishikiria chama chetu, Ni nguzo zilizotufanya kuaminika kwa watanzania, kupigiwa kura kila uchaguzi, kupigania chama katika uchaguzi na kukilinda chama chetu kwa Hali na Mali, Ni nguzo zilizofanya maadui wa ndani na nje ya chama kukosa upenyo wa kukivuruga na kukisambalatisha chama chetu, Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kionekane bado ni kijana kila siku, Ni nguzo zinazoongeza wanachama wapya kila siku,

Ni nguzo Zinazofanya kadi za CCM zitafutwe Kama Dhahabu katika ofisi zake na Ni nguzo ambazo zimekifanya CCM kuwa Tumaini la watanzania wa matabaka na Rika zote hapa nchini na zaidi Ni kuwa Ni nguzo Zinazofanya mwanachama akihama Leo CCM lazima kesho Arudi ndani ya CCM na kujutia uamuzi wake wa kukihama chama, mwisho ni kuwa hizi Ni nguzo Zinazofanya chama hiki kuwa kikubwa kuliko mtu binafsi na maslahi yake, Hakuna mkubwa ndani ya CCM, Kama huamini Hama leo CCM uone Kama kitayumba au kuyumbishwa

Hivyo lazima Tuendelee kuwa wamoja na kushikamana, Tusichonganishwe na mtu wa aina yoyote yule kwa misingi ya udini, ukabila, ukanda,jinsia Wala Hadhi, Tuseme na Tufahamu kuwa wote Ni sawa na tuna haki sawa ndani ya CCM, wote Tukipiganie na Tukilinde chama chetu kwa nguvu zetu zote, Hakuna mpinzani atakaye tulindia chama chetu Wala kutujengea chama chetu, Hakuna mpinzani anayependa kuona tukiwa wamoja, wapinzani wanatamani tusambalatike hata leo tu, Tusiwape upenyo huo

Tusiwape Siri zetu, Tusiwape mipango Wala mikakati yetu, Tusiwaonyeshe njia zetu.

Tumpe ushirikiano wakutosha Mwenyekiti wetu Mama Samia, Tumtetee kwa nguvu zetu zote popote tulipo, Tuwajibu wapinzani wetu kwa hoja nzito nzito, Tumbebe Samia wetu katika mikono yetu, na migongo yetu, Tusikubali ashambuliwe na wapinzani wetu,

Tufahamu akishambuliwa yeye Ni sawa na kwamba tumevamiwa sote, siasa Ni hoja na Ni sayansi, lazima Tuwe watu wa hoja muda wote zidi ya wapinzani wetu,CCM Ni moja, Wana CCM Ni wamoja na chama ni kimoja Tu CHAMA CHA MAPINDUZI, Tusiumizane, tusipaniane.

Tusiwekeane mitego wenyewe kwa wenyewe Wala Tusichukiane wenyewe kwa wenyewe, Wala Tusiangushane wenyewe kwa wenyewe kwa kumnufaisha mpinzani wetu

Kazi iendeleee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge

LUCAS Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu
MZALENDO hawezi kuwa Mwanachama wa Chama kinachoiba kura Kuua Wapinzani Kubambikizia KESI Wapinzani kufanya Mikutano pekee yake na kuwazuia wengine Kuwafanya Watanzania Masikini miaka 60 sasa na kuwaondoa Ubongo wanachama wake
20220620_083552.jpg
1664537002242.jpg
JamiiForums1980995331.jpg
 
Hata kama ni mimi ndio Mwenyekiti siwezi kukupa cheo!!

Ubora wa ccm haupimwi KWA udhaifu wa upinzani bali wametatua changamoto ngapi tangu kuanzishwa kwake!!?

Yaani hadi leo tumeshindwa kutatua matatizo ya maji, UMEME,elimu na n.k Sasa utawasrmaje wapinzani kwamba ni dhaifu wakati hoka yao ya katiba. Imesonga!!?na Katiba inaenda kupatikana!!?

Lucas fikiria upya!!
 
Ndio sababu ulaya mtu anitwa STONE na anafanikiwa. ila Africa kina Yakobo, Joshua na Yohana ni wezi,wanga na wanafiki.
 
Mleta mada nikuhakikishie kuwa ccm ndio ipo hoi bin taabani!
Mikutano mnafanya nyie tu! Kukataza vyama vingine mlifanya nyie! Mnaotangaza vyama vingine vipo hoi ni nyie! Shame! Shame!
 
Hizo nguzo ulizotaja sio chochote bila kutaja katiba hii ya chama kimoja ambayo mnahaha kuibadili na polisi.
 
Naanza na kundi la wakulima ambalo ndio kubwa, Katika secta hii ambayo Ni uti wa mgongo wa Taifa letu mh Rais wetu ameweza kuongeza bajeti Hadi kufikia billioni Mia Tisa na point kutoka billioni Mia mbili huko, pia ametoa billioni Mia moja hamsini Kama Ruzuku katika mbolea Hali iliyopelekea kushuka kwa mbolea mpaka kufikia mfuko wa DAP kuuzwa elfu 70 toka huko ilikokuwa laki na 40, je wewe huoni hizi Ni juhudi za makusudi za mh Rais kuinua uchumi wa mwananchi mmoja mmoja?
Hiyo Bajeti inaweza kuwa ni sawa maana wengine hapa tulishaachana na mambo ya bajeti, lakini kwenye mbolea bado ipo 100k+ kutoka kwenye around 50k.
 
Back
Top Bottom