Viongozi wa CCM waenda ofisi za Tanesco kupeleka kilio cha Wananchi cha Kukatikakatika Umeme, Waridhishwa na majibu waliyopewa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,612
141,432
Uongozi wa CCM Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza umetembelea ofisi za Tanesco kupeleka kilio cha Wananchi kuhusu Kukatikakatika Umeme

Katibu wa CCM wilayani amesema wamepokelewa vizuri na majibu waliyopewa yamewaridhisha

Source TBC
 
Upuuzi Mtu Hakuna Jambo Lolote
Yaani Watengeneze Tatizo Halafu Waje Waseme Nini
 
Uongozi wa CCM Wilaya ya Ilemela mkoani Mwanza umetembelea ofisi za Tanesco kupeleka kilio cha Wananchi kuhusu Kukatikakatika Umeme

Katibu wa CCM wilayani amesema wamepokelewa vizuri na majibu waliyopewa yamewaridhisha

Source TBC
Kwa hiyo humu umelrta hii habari mfu ili itusaidie nini wakati tuko gizani?

CCM na Tanesco tofauti yao iko wapi?
 
Mama Samia Makamba mpeleke Sanaa na Michezo naibu wake awe Nape,ikiwezekana wachomoe kabisa hizo wizara Rostam kawafanya kuwa mameneja wake wa kupromote gesi yake na kutetea hujuma zake za kupandisha vifurushi vya simu. Wabaki kwenye ubunge tu. Kisha Mchengerwa mpeleke Wizara ya Nishati
 
Back
Top Bottom