Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichokutana Ikulu ya...
SIKU 558 ZA SAMIA MADARAKANI MISINGI YA FALSAFA ZA UCHUMI KUONGOZA UCHUMI ZAFANIKIWA- MWENEZI SHAKA
KATIBU wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka amesema...
Maeneo mengi sana ya vivijini, mvua zikikata tu, na maji ya kunywatayari yanakuwa ya taabu saana tokea Uhuru
Katika jimbo la Chalinze Kwa mfano, yapo maeneo Kwa kiangazi hiki, hawaogi mwezi...
Wananchi wa Dar es salaam tumechoka na migao ya maji
Ndugu Waziri na Ndugu Mkurugenzi wa DAWASA
Mimi ni mkazi wa Dar es salaam, maeneo ya Mlalakuwa.
Napenda nikutaarifu kuwa, sasa katika maeneo...
Ni aibu kubwa sana kutumia matrillion kujenga mayfly over wakati wananchi hawana maji. Je wangeacha tu kwa mda kujenga daraja la Tanzanite na iyo hela zaidi ya billion 500 kuwekeza kwenye maji si...
Mbunge wa Chemba (CCM), Juma Nkamia amesema mwaka 2019 ataanza upya mchakato wa kuwasilisha bungeni hoja yake ya kufanyika uchaguzi mkuu kila baada ya miaka 7, baada ya kuzungumza na wabunge wa...
Waziri wa Maji Jumaa Awesu ameitaka Dawasa kutoa bill halali wakati huu ambapo matumizi ya Maji kwa Wananchi yamepungua
Awesu amesema kama Mtu katumia Unit 5 basi Bili yake iwe ya unit 5 na...
Muundo wa serikali yetu, rais analazimika kuteua mawaziri kutoka ktk wabunge. Akikosa mtu anayefaa, rais amepewa nafasi za kuteua wabunge. Utaratibu huo unampa rais nafasi ya kuteua mbunge ili...
Wakuu Kumbe siku hizi ukifanya kosa la udanyanyifu unalipwa fidia ndo maana yake or sjaelewa?
Dah, tunakoenda ni mbali sana kumbe. Inatakiwa watoke vijana brave wakafaili constitutional suit...
Magufuli alikuwa hashauriki. Miti 2.7 Milioni ilikatwa kwenye pori la akiba la Selous kupisha ujenzi wa mradi wa umeme wa JNHEP. Idadi hiyo ya miti ikiwekwa ardhini ni sawa na eneo lote la mkoa wa...
Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini...
Andiko hili ni zito, limeandikwa na Evarist Chahali, Ofisa Usalama wa Taifa wa Zamani. (LISOME KWA UTULIVU).
_______________________________________
Kila Mwenye Mapenzi Ya Dhati na Tanzania...
1. Baada ya January kusema wabunge waendelee kuongea Sasa naona wabunge wamelipa machawa ili wamtandike makamba
2. Umeme haujawahi kuwa stable per sale ingawa tatizo la umeme halijawa serious...
Salaam Wakuu
Kamishina Msaidizi Mwandamizi wa Polisi(SACP) Susan Kaganda alikuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni kabla ya kupelekwa kuwa Mkuu wa Kitengo cha Mafao cha Jeshi la...
Askofu Shao wa Kanisa Katoliki Zanzibar amesema wanaipitia Ripoti ya Kikosi Kazi cha Prof Mkandalla ili kubaini yaliyopendekezwa na namna yatakavyomsaidia Mwananchi wa kawaida
Askofu Shao...
#HABARI Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Dk. Frederick Shoo amesema wale wote waliokuwa wanajifanya vifutu, kwa sasa chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan...
Nidhamu ndio msingi wa maendeleo ya kila kitu duniani, ukitaka kuwa tajiri ni lazima uwe na nidhamu ya fedha, ukitaka kuishi vema kwenye ndoa yako ni lazima uwe na nidhamu katika mahusiano yako...
Waziri wa mazingira Dkt. Jafo amesema kuna Ukame wa kutisha Katika baadhi ya maeneo hivyo kila mwanafunzi ahakikishe anapanda mti
Jafo amesema kwa mfano Longido na Kiteto mizoga ya wanyama wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.