Happy Birthday Chuma, happy birthday John Pombe Magufuli

Mwande na Mndewa

JF-Expert Member
Feb 26, 2021
949
2,865
Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani kote.Leo hii John Pombe Magufuli ni tafsiri sahihi ya Uongozi bora wa mwana wa kweli wa Afrika,kwa Watanzania John Pombe Magufuli ni Rais wa mioyo ya wanyonge aliyeirudishia Tanzania heshima na utukufu wake!

John Pombe Magufuli mtu ambae amefanya kazi na watanzania bara miaka zaidi ya 20 akiwa ni Field Public Leader tangu akiwa Naibu Waziri miaka ya 1995 kisha Waziri kamili miaka ya 2000,2005,2010 katika wizara zaidi ya tano kwa miaka ishirini na baadaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 kwa miaka zaidi ya ishirini na tano,John Pombe Magufuli alilitumikia Taifa la Tanzania na kuwa mfano wao wa kiongozi bora,Watanzania wana performance appraisal ya kiongozi wao bora,Watanzania wote wanajua kuwa John Pombe Magufuli ndiye kipimo cha uongozi wanaouhitaji,Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa Champion katika mambo mengi na kila mwananchi analijua hilo

Utendaji wa Hayati Rais John Pombe Magufuli na kazi zake zipo wazi nchi nzima,alikuwa ni mmoja wa Viongozi wachache sana Wazalendo wa kweli kutoka moyoni,wakweli kwa Wananchi wanyonge nchi nzima ya Tanzania,Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa msemaji wa wale wasiokua na sauti,na kwa kuwasemea wanyonge na masikini,dunia nzima ililitaja jina lake,alipoongea kijijini kwake Chato,wazungu walimjibu kutoka London na Washngton,huyu ndiye John Pombe Magufuli mwana wa kweli wa Afrika ambaye leo tunafurahia kuzaliwa kwake,

Mcha Mungu,John Pombe Magufuli haukacha kulitaja jina la Mungu,kuomba neema na baraka zake kila alipoamka na kila alipofanya ziara zake za ufunguzi wa miradi kila leo,sifa na utukufu wa madaraka alimrudishia Mungu,tunafurahia kuzaliwa kwako John Pombe Magufuli,sifa kwa taifa zima-Tanzania, na utukufu kwa Mungu aliyekuchagua na kukuleta duniani tarehe hii ya leo,

Kwa muda mfupi maisha ya Daktari John Pombe Magufuli yalikuwa ya msaada mkubwa kwa Watanzania kwani alionyesha uwezo mkubwa wa kupambana na maadui zetu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini,Pia ulionyesha mapenzi ya dhati ya kusimama upande wa Watanzania wanyonge yaani wakulima, wafanyakazi, wavuvi na wafugaji kote nchini. Watanzania wanyonge hawana la kukulipa zaidi ya kukutakia Mwenyezi Mungu akupe heri uko uliko,utusamehe kama tulikulipa baya kwa wema,utuombee baraka na Mungu aibariki Tanzania na viongozi wetu,Amina.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
 
Woi
 
Mungu aendelee kumlaza pema Magufuli. Amina
 
Maisha yanaenda kasi sana, tuishi kwa kumtumaini Mungu na kupendana, kesho yetu hatuijui, chuki, visasi, roho mbaya hazitufikishi popote, sisi ni mavumbi na mavumbini tutarudi, Heri yake ya kuzaluwa huko aliko.
 
Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani kote.Leo hii John Pombe Magufuli ni tafsiri sahihi ya Uongozi bora wa mwana wa kweli wa Afrika,kwa Watanzania John Pombe Magufuli ni Rais wa mioyo ya wanyonge aliyeirudishia Tanzania heshima na utukufu
Wazazi wa Ben Saanane, wa Azdory, wa Kubenea na ndugu wa Lisu hawamkumbuki hivyo ulivyoandika kwahiyo tafadhali Sana rekebisha na futa Kauli yako kuwa watanzania wanamkumbuka kwa attributes hizo ulizoziweka.

Sema kwa niaba yako inatosha
 
Ni Oktoba 29, 1959 siku ambayo Mwenyezi Mungu alitupa Watanzania zawadi ya Mtoto John Pombe Magufuli ambaye Leo hii tunamkumbuka kama Mkombozi, Shujaa, Mtetezi, Mlezi, Mjenzi wa Watanzania,leo hii kwa Afrika ukilitaja jina la John Pombe Magufuli ni nembo ya uongozi wa mfano Afrika na Duniani kote.Leo hii John Pombe Magufuli ni tafsiri sahihi ya Uongozi bora wa mwana wa kweli wa Afrika,kwa Watanzania John Pombe Magufuli ni Rais wa mioyo ya wanyonge aliyeirudishia Tanzania heshima na utukufu wake!

John Pombe Magufuli mtu ambae amefanya kazi na watanzania bara miaka zaidi ya 20 akiwa ni Field Public Leader tangu akiwa Naibu Waziri miaka ya 1995 kisha Waziri kamili miaka ya 2000,2005,2010 katika wizara zaidi ya tano kwa miaka ishirini na baadaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 kwa miaka zaidi ya ishirini na tano,John Pombe Magufuli alilitumikia Taifa la Tanzania na kuwa mfano wao wa kiongozi bora,Watanzania wana performance appraisal ya kiongozi wao bora,Watanzania wote wanajua kuwa John Pombe Magufuli ndiye kipimo cha uongozi wanaouhitaji,Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa Champion katika mambo mengi na kila mwananchi analijua hilo

Utendaji wa Hayati Rais John Pombe Magufuli na kazi zake zipo wazi nchi nzima,alikuwa ni mmoja wa Viongozi wachache sana Wazalendo wa kweli kutoka moyoni,wakweli kwa Wananchi wanyonge nchi nzima ya Tanzania,Hayati Rais John Pombe Magufuli alikuwa msemaji wa wale wasiokua na sauti,na kwa kuwasemea wanyonge na masikini,dunia nzima ililitaja jina lake,alipoongea kijijini kwake Chato,wazungu walimjibu kutoka London na Washngton,huyu ndiye John Pombe Magufuli mwana wa kweli wa Afrika ambaye leo tunafurahia kuzaliwa kwake,

Mcha Mungu,John Pombe Magufuli haukacha kulitaja jina la Mungu,kuomba neema na baraka zake kila alipoamka na kila alipofanya ziara zake za ufunguzi wa miradi kila leo,sifa na utukufu wa madaraka alimrudishia Mungu,tunafurahia kuzaliwa kwako John Pombe Magufuli,sifa kwa taifa zima-Tanzania, na utukufu kwa Mungu aliyekuchagua na kukuleta duniani tarehe hii ya leo,

Kwa muda mfupi maisha ya Daktari John Pombe Magufuli yalikuwa ya msaada mkubwa kwa Watanzania kwani alionyesha uwezo mkubwa wa kupambana na maadui zetu ambao ni ujinga, maradhi na umaskini,Pia ulionyesha mapenzi ya dhati ya kusimama upande wa Watanzania wanyonge yaani wakulima, wafanyakazi, wavuvi na wafugaji kote nchini. Watanzania wanyonge hawana la kukulipa zaidi ya kukutakia Mwenyezi Mungu akupe heri uko uliko,utusamehe kama tulikulipa baya kwa wema,utuombee baraka na Mungu aibariki Tanzania na viongozi wetu,Amina.

Nikiishia hapa, Mimi ni
Msemakweli Chakubanga,
Dar es Salaam.
0755078854

-Bachelor of Business Administration in International Business.

-Master of Leadership and Management.

Recent Publication;-
-Assessment on the Effects of Micro-Financing on Poverty Reduction.
Hakika huyu ni mmoja wa viongozi Mahiri na wenye kuacha mfano wa kuigwa barani Afrika.

Na Nuru ya Amani iendelee kumuangazia katika pumziko lake la Milele!
Amen!
FB_IMG_1666597826291_remastered.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom