kwisha
JF-Expert Member
- Sep 9, 2021
- 1,793
- 5,053
Sio kwamba hatuwezi kuendelea
Sio kwamba Mungu anatuchukia
Sio kwamba hatuna akili kichwani
Tuna akili
Tunaweza kuendelea kama wenzetu
Na Mungu anatupenda saana
Ila tatizo kubwa la Waafrika ni ubinafsi tukiacha ubinafsi basi tutakuwa kama wenzetu
Ubinafsi ndo una tufanya tuonekane kama hatuna akili kichwani
Ubinafsi ndo umetufanya tuwe maskini
Ubinafsi ndo umetufanya tuonekane kituko cha ulimwengu
Yaani chochote kibaya utakacho kisema kutoka kwa mtu mweusi kumetokana na binafsi kimetokana na ubinafsi wetu
Yaani mtu mweusi yupo tayari kuona mwenzake analia ili yeye apate faida tu
Tupo tayari kuua ata ndugu zetu ili tupate madaraka
Chetu ni chako na chako ni chako tu Waafrika Mungu anatuona