Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Habari njema ni kwamba mikoa yote Bara na Visiwani kupatiwa mashine moja mpya ya Scan CT || Rais Samia Suluhu Hassan anaongeza mashine mpya 29 toka mashine mbili zilizokuwepo tangu uhuru| ===...
23 Reactions
304 Replies
63K Views
Maajabu ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu Tanzania imeagiza Jumla ya ambulance mpya 395 na magari mapya 214 kwa ajili ya chanjo kwa mpigo kitu ambacho hakijawahi kufanyika tangu tuwe...
25 Reactions
295 Replies
20K Views
Akiba ya Fedha zetu za kigeni Rais Samia ameiongeza kwa $1.5BL sasa imefikia $6.253BL toka $4.8b mwezi March 2021 | Pesa hii inaweza kulisha Watanzania wote kwa miezi mitatu mfululizo yaani Wale...
22 Reactions
362 Replies
23K Views
Rais Samia Suluhu Hassan hatimaye amkumbuka Ridhiwani Kikwete, hii ikiwa ni baada ya kusahaulika kwa kipindi kirefu | Viva Tanzania Viva " Hakuna kama Samia " Hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan...
21 Reactions
186 Replies
24K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT, Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amefanya ziara ya kuhamasisha uhai wa Chama, kukagua utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM...
11 Reactions
124 Replies
10K Views
RAIS SAMIA AIPAISHA JUU BEI YA CHOROKO KWA 100% TOKA TZS 500|800 FY 2020|21 HADI TZS 1,610 FY2021|22 KWA KILO, Mhe Rais baada ya kufanikiwa kuongeza bei ya Mbaazi kwa zaidi ya 3200%/kg, Pamba...
22 Reactions
244 Replies
23K Views
"Kuna mambo ambayo sisi CCM kama chama tawala lazima tubebe dhima. Tutoe uongozi. Kwa, mfano hili la Tume Huru ya Uchaguzi kizuizi ni nini? Hili ni jambo ambalo lazima tukubaliane na wenzetu wa...
17 Reactions
293 Replies
18K Views
Kwanza ulidanganywa na kaka zako, pili ukadanganywa na para maji, ukaingia kingi kutuonesha umwamba wako. Sasa yamefika shingoni, kwa taarifa yako makusanyo ya mwezi huu huko TRA yatashuka kwa...
12 Reactions
24 Replies
3K Views
Picha:Tizameni haya mabango yalompokea mama huko Manyara utaona kabisa huenda yaliandikwa na mtu mmoja maana mwandiko ni mmoja sasa iweje yafanane hadi uchuruzikaji wa wino kutoka mark pen ndio...
38 Reactions
109 Replies
9K Views
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, amesema wananchi hawapaswi kulipia nguzo wanapotaka kuunganishiwa umeme kwani hilo ni jukumu la Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO). Akizungumza kwa...
9 Reactions
140 Replies
17K Views
Huyo ndiye Dr. Bashiru ninayemjua mimi. Mimi sikushangazwa kabisa na kauli imara na madhubuti aliyoitoa Dk. Bashiru hapo juzi kule Morogoro, zaidi niliwashangaa wanaomshangaa na kumsema vibaya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimemsamehe kule kote ambako alikosea. Ile kauli aliyoitoa hakuwa yeye. Nadhani Mungu alimtumia makusudi kufunua mauchafu yaliyokuwa yamepoa. Tunayasikia sasa yakitoa harufu. Bashiru ameyakoroga...
1 Reactions
5 Replies
980 Views
UKIONA VYAELEA, UJUE VIMEUNDWA walisema wahenga wa zamani. Tumeshuhudia press ya Dk Bashiru na baadaye viongozi mbalimbali wakipinga vikali msimamo wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM. Tukio hili...
4 Reactions
50 Replies
3K Views
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana...
10 Reactions
57 Replies
6K Views
Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa...
1 Reactions
2 Replies
674 Views
Baada ya kauli ya kizalendo yenye Nia njema iliyotolewa na mwanazuoni Kijana mzalendo ambae taifa hili limetumia pesa nyingi kumsomesha Bashiru Ally Kuna magenge mbali mbali ya wahuni kama alivyo...
10 Reactions
41 Replies
2K Views
Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa...
11 Reactions
51 Replies
3K Views
"Sisi hapa Tanzania tumeamua kuizingatia misingi hiyo (haki) na nataka niwahakikishie kwamba tutajitahidi kuijenga Tanzania yenye Haki, Demokrasia , Usawa na Mafanikio. Na ndio maana katika...
1 Reactions
10 Replies
863 Views
Naomba kuuliza Yale MAJIZI ya BOT aliyotutangazia PM miezi kadhaa iliyopita na yale MAJIZI yaliyogawana sh. 150,000,000/= kwa mujibu wa CAG yatawajibishwa lini?
1 Reactions
4 Replies
575 Views
Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Back
Top Bottom