CCM 2013: Umeme kuuzwa nchi za nje mwakani

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
41,805
78,496
c56ee6f53fc043c9bf7b384df9105429.jpg


Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
 

Mpetde

JF-Expert Member
Sep 5, 2022
1,004
1,131
Ndiyo hawa hawa walituahidi kipindi kile, milioni 50 kwenye kila Kijiji! Halafu baada tu ya kupata madaraka, wakatugeuka.
Ndio maana halisi ya Uongo-zi au ki-ongo-zi, lazima uwe na vinasaba vya uongo uongo ndani yako lasivyo watu hawawezi kukuelewa, angali suala la umeme linavyopigishwa dana dana kila siku tunapewa uongo mpya, mara mitambo mibovu, mara ukame, mara maji hayatoshi, mara mafundi wanarekebisha gesi, nk kila siku wanabuni uongo mpya, full fix
 
2 Reactions
Reply
Top Bottom