Alichosema Waziri Mkuu wa Italia kinaendana na Tanzania ya sasa hivi?

Kijakazi

JF-Expert Member
Jun 26, 2007
6,409
8,905
Sina cha kuongezea, angalia mwenyewe kuanzia dakika 0:40 huyo ni Mkuu wa Serikali ya Italia, member of the EU, Tanzania ilifanya ziara rasmi Ufaransa na kusaini Mikataba kama blue economy, sasa hivi samaki (baharini) Tanzania wamekwisha wamevuliwa wote na foreigners, wamebakia kambale tu, anyway nisikuchoshe msikilize mwenyewe na amua mwenyewe!

 
Back
Top Bottom