Mbunge wa CCM kutoka Jimbo la Buchosa , Mh Erick Shigongo amependekeza kuwepo na Siku maalum ndani ya Nchi ya kuchapa viboko watu wote wasiofuata Sheria , Kauli hii ya kushangaza ameitoa ndani ya...
Huwa nafuatilia tuhuma zote alizotuhumiwa Sabaya nabaki kujiuliza What if kingetokea kidume kama Mohamed Mwamwindi kule Hai kingebadili historia yote ya Hai na kila kiongozi akipelekwa Hai anakuwa...
Mfanyabiashara maarufu na mchamungu, mh. Azim Dewji ametoa kiasi cha Tsh 10 million kwa Wavuvi waliookoa wahanga wa Precision Air
Fedha hizo amekabidhiwa mkuu wa Mkoa Albert Chalamila ambaye...
CCM imechakaa sana, imekosa watu wenye nguvu za hoja, imejaa watu waoga wanaogopa hata watoto wadogo wanaopigana wakiwa wamevalishwa sare za CCM.
Walianza kuogopa wapinzani lakini sasa...
April 2021, Egypt, Mkuu wa Shirika la Reli la nchi hiyo ya kaskazini mwa Baraa Afrika, alijiuzulu baada ya kutokea ajali ya treni. Ajali hiyo iliyotokea jioni katika mji wa Banha katika mkoa wa...
Ninajua Waziri Mkuu Majaliwa ni mmoja ya viongozi ambao huenda wakatamani kuongoza taifa hili kama Mkuu wa Nchi, lakini hata hivyo namuona akiwa na udhaifu wa ama kukurupuka, au kuwa mwepesi wa...
Kazi kubwa na nzuri anazozifanya Rais Samia Suluhu Hassan zimewaduwaza wachumi.
Hii ni baada ya akiba ya fedha za kigeni (Gross official foreign reserves) kuongezeka zaidi ndani ya miezi miwili...
Ndugu zangu Ni historia ambayo Rais Samia amejiandikia na kujiwekea kwa kufanikiwa kupata uungwaji na kukubalika na makundi yote na vyama vyote, hii Ni kutokana na Imani kubwa ambayo watu...
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam, pamoja na watumishi wengine 9 wamesimamishwa kazi hii leo na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ili kupisha uchunguzi
Jumanne Shauri pamoja na...
Nakumbuka kwenye kipindi cha Big Agenda mtangazaji Aloyce Nyanda alimuuliza DC Sabaya kuhusu kutoonekana hadharani kwa Rais Magufuli na Sabaya akajibu yupo na aliongea naye kwa Simu kabla...
Rais Samia amesema hakuna Taifa linaloendelea Kiuchumi na Kijamii kwa kukiuka Utawala Bora na Haki za Binadamu na Nchi yotote yenye mifumo Mibovu ya Utawala wa Sheria inakosa mafanikio endelevu...
Masuala sita (6) yaliyoibuliwa na wananchi: Mrejesho wa Ziara ya Kiongozi wa Chama Mikoa 3 ya Kusini (Selous, Mtwara na Lindi)
Utangulizi
Kati ya tarehe 15 hadi 21 Novemba 2022 nilihitimisha...
Je, Majambazi wakivamia eneo ulipo wewe, na kisha wakati uvamizi ukiendelea akatokea Jambazi mmoja akujuaye binafsi, ambae kumbe ni jirani yako kule mtaani kwako.
Ila kwa bahati mbaya mmekutana...
Ninyi ni viongozi wetu lakini mnakaa sana ofisini, mnazidisha mpaka vijana wanakosa ajira. Mtu miaka 50 yote bado yupo ofisini na bado akitumbuliwa anaendelea kuwa chawa ili arudishwe ofisini...
Maneno haya yanamaana sawa kimantiki " Rais kafanya X " " Serikali imefanya Y " au " " Tumefanya Z " tumia lolote utakuwa sahihi tu.
Kunabaadhi ya wenzetu wameishiwa hoja hasa huku mitandaoni...
Ndugu wanagenzi Wasalaam, naamini sote tu buheri wa Afya na amani mioyoni mwetu.
Mosi, Kwa Hali ya kipekee namshukuru mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema kwa uhai alionipa na amani ya moyo aliyonipa...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Nishati na Mbunge wa Bukoba Vijijini mwaka 2005-2010 Naziri Karamagi ameibuka kidedea ametangazwa kuwa mshindi katika nafasi ya Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kagera baada ya...
Vigezo vya maendeleo vikiwa:
Pato la mtu binafsi.
Lishe, angalau milo miwili yenye virutubisho vyote kwa watu wa mjini, mitatu mashambani.
Urahisi wa kupatikana elimu inayokidhi na huduma za afya...
Hivi sasa kuna utaratibu usio rasmi kuwa kama shule ya msingi ya serikali inao uwezo wa kuendesha mafunzo ya elimu ya msingi kwa lugha ya kiingereza hupewa ruhusa ya kubadilisha na kuwa english...
Ndugu Zangu Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa Rais Mama Samia Ni Dereva Mahiri na shupavu Sana katika kuliendesha gari hili la Safari ya maendeleo ya Tanzania, Ni dereva Ambaye ameonyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.