Kama Spika wa Zamani Job Ndugai alijiuzulu, nitashangaa Dkt. Bashiru akibaki na Ubunge wake. Aonyeshe uzalendo wa kutoridhishwa na watawala

Rasterman

JF-Expert Member
Feb 24, 2015
33,905
44,017
Sasa iko wazi, Dkt. Bashiru Ally Katibu Mkuu wa Zamani wa Chama na Serikali anaonekana kutoridhishwa na watawala waliopo madarakani ambao kwa maneno yake mwenyewe anasema ni wanyonyaji kwa wakulima.

Katibu Mkuu huyo ambaye kabla ya uteuzi wake kuwa Katibu Mkuu wa serikali aliteuliwa kuwa Balozi na aliyekuwa Rais wa JMT Hayati Dkt. John Pombe Magufuli ameonekana akiwa kama mbogo pale anapotoa hotuba yenye mrengo wa kuhamasisha wakulima dhidi ya watawala na wale anaowaita ni Mawakala wao.

Mawakala wao haikufahamika zaidi ni watu gani lakini anasema ni wale wanaosifia serikali badala ya kudai haki zao.

Kwa kuwa Uzalendo ni kutumikia nchi yako kwa mapenzi na kuridhika na kile kiongozi wako anachofanya kwa Maslahi ya taifa tunatarajia kuona Dkt. Bashiru Ally akiuvua ubunge ambao aliteuliwa na viongozi wa Chama na serikali.

La kama ni maneno tu yamemtoka kwa bahati mbaya basi ajitokeze aombe msamaha kwa Watanzania na serikali kama alivyofanya Mh Spika Ndugai.

Nimekosa mimi nimekosa mimi nimekosa sana.
 
Kiongozi wa CCM ajiuzulu kwa kupenda mwenyewe haipo hiyo.

Waache waumbuane kutusaidia wapigakura
 
Bashiru ajiuzulu kwa kosa gani? Huko CCM ni marufuku kuelezana ukweli?
 
Mbona Kinana alishawai kuwatetea wakulima? Tuanzie hapo kwanza ,Maneno aliyoyasema bashiru kuwatetea wakulima ni ya uongo? Ni lini wakulima wa nchi hii walishafurahisha/kutendewa vyema na serikali pasipo kulalamikiwa? Kwahiyo Kinana au Bashiru akijitokeza kuwasemea ndio kusema anaisema vibaya serikali?

Kwasasa kuna mgao mkubwa wa umeme na maji ,je kiongozi wa ccm akija kusema haya utasema anaisema vibaya serikali,kwenye tatizo la maji na umeme serikali inalaumiwa kwa 100% ,maana tuna vyanzo vyote vya umeme ,makaa ya mawe ,upepo ,jua ,gesi ,nuclear ,thermal energy ,biogas etc ,serikali imejikita kwenye source moja ya maji tu.
 
Sio yeye, nyie mataga wadogo walinda legacy
Sasa utaumia wakati CCM fursa kibao? CCM wanachogombea ni ukubwa tu wa Keki unayomegewa lakini hakuna anayekosa

Kama unabisha muulize mwenyekiti wa Bawacha Halina Mdee na mwenyekiti wa Bavicha mh Patrobas Katambi na Makatibu Wakuu wa Chadema Taifa Dr Slaa na yule Dr mwingine mumewe Nusrat
 
Akijiuzulu wananchi wazalendo tutaandamana.Tunataka viongozi wanaojitambua kama hawa siyo wa kusifu kila kitu hata vitu vya kipuuzi.Hata Mimi kauli ya anaupiga mwingi huwa inanikera sana.yaani umeme kutoka 27000 hadi 570000 ndani ya mita30halafu punguani mmoja wa ccm anasema bibi anaupiga mwingi?Huo ni ujinga na 2025 tuna bashiru iki aje awashughulikie hawa wanavyoibaribu nchi yetu
 
Back
Top Bottom