peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 12,827
- 21,445
Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji.
Ninajiuliza sipati jibu: Mbunge anauliza swali la Swali la mdngibna muhimu kwa wananchi wa Jimbo lake jibu linatolewa na naibu waziri.
Je, Naibu waziri alikuwa hajui kuna hilo tatizo kabla ya ziara ya Rais?
Je, Rais kwanini hakuongelea hiyo kero ?
Kulikuwa na haja gani mbunge kuuliza Rais hilo swali iwapo Naibu waziri alikuwa na jibu lake?