Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Narudia tena nitakuwa wa mwisho kuamini Kadogosa kaleta yale mabehewa tuliyoahidiwa na Shujaa Magufuli Vinginevyo ni bora angeruhusiwa tu Askofu Gwajima alete mabehewa kama alivyoomba Kwa...
8 Reactions
37 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa heshima zote enyi waheshimiiwa ! Lakini mtanisamehe kwa wale wenzetu waislam sijabahatika kuijua quran kiasi cha kukopa mistari yake hapa, mniwie radhi nitatumia biblia peke yake...
4 Reactions
29 Replies
3K Views
Naibu waziri wa Nishati amewaomba watanzania kuwavumilia na kwasasa wanarekebisha mitambo ya gesi yenye matatizo na wanaamini kufikia Januari tatizo kama litakuwa halijapungua kabisa litakuwa...
4 Reactions
89 Replies
5K Views
Wamesikika watumishi wa Mungu wakikemea maovu hadharani. Kasikika Mzee wa Upako, Askofu Shoo, Askofu Mwingira na wengi wengine: Maaskofu wataka haki kwa kila mtu Kati ya binadamu na Mola, sifa...
3 Reactions
15 Replies
2K Views
Mheshimiwa Ndugai kwa kutoa maoni yake kama mtanzania na kama mbunge hakuvunja sheria yoyote. Kilichofuata baada ya kauli yake hakuna asiyekijua. Labda ilikuwa katika kudhania afunike kombe...
9 Reactions
53 Replies
4K Views
Nimesoma instagram ya msemaji mkuu wa Serikali mh Msigwa kwamba hii ripoti iliyopo hata hapa JF kuhusiana na ajali ya Precision Air siyo rasmi na kwamba tuipuuze Naomba uthibitisho tafadhali...
2 Reactions
25 Replies
4K Views
sponsor wa chama Yuko ughaibuni, alitumia posho za ubunge kukianzisha, hajamaliza, kahamishwa, ubalozi milioni 5 kwa mwezi
2 Reactions
24 Replies
3K Views
Imebainika kuwa kampuni mbili zilizopigwa marufuku kufanya kazi Nchini Kenya ni miongoni mwa kampuni nne zilizoomba zabuni ya kukagua magari katika bandari ya Dar es Salaam. Tangazo la zabuni...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Kafikia stage kusema watanzania wanapenda vya bure Anikumbushe toka nyerere ameachia madaraka ni lini Tanzania Kuna kitu chochote Cha bure? Elimu yenyewe hiyo mnayosema ya bure Kuna ndugu yangu...
7 Reactions
12 Replies
1K Views
Inavyoonekana kupata uongozi ndani ya ccm ni jambo la kufa na kupona ndio maana uchaguzi wao una vitimbi na vituko vingi Kwa kiwango cha kufuatiliwa sana na wafuasi na wasiowafuasi...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwanza nianze kwa kusema pole kwa majukumu hasa kipindi hiki kigumu cha mgao mkali wa Umeme na maji Nilikuwa nashauri,ile mitambo ya IPTL itumike kwa sasa kuzalisha umeme..najua hapa kati kuna...
1 Reactions
9 Replies
934 Views
Kombe la dunia ndio habari inayotamba kwa sasa. Mataifa 32 yenye ubora wa viwango vya soka yanachuana mpaka zinabaki timu mbili halafu zinagombea kombe siku ya fainali. Mpira ni mchezo wenye...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Ndio maana CCM "Inatutawala",badala ya "Kutuongoza". Ndio maana Taifa hili chini ya CCM limekuwa la "Skandali" kila uchao! Uchumi wetu unamilikiwa kwa "Top Ten" Matajiri wasio wazawa! Tangu...
3 Reactions
14 Replies
489 Views
Kwenye demokrasia hakuna kitu cha maana huwa kinafanyika. Mnaishia tu kuwa na viongozi waongeaji sana na waongo waongo. Wanaotatua matatizo kwa maneno na si matendo. Watu wa zamani waliona kabisa...
6 Reactions
15 Replies
914 Views
Awamu ya tano kuliibuka jina mashuhuri sana majukwaani, mitandaoni, Radio na TV na hata mitaani yaani MABEBERU. Sikujua kuwa majina nayo yana kufa kama wafavyo watu au watu wana kufa na...
14 Reactions
65 Replies
3K Views
Hatuwezi kuamini kwamba Mtaishia kumsema sema kwenye hizo Press release pekee. Kwa tunavyowajua CCM na Wahuni Gang wake, ni vema tuwaambie mkae mkijua hilo, kwamba maadamu tumewaona hadharani...
24 Reactions
65 Replies
6K Views
Kukosoa kutokana na changamoto na matatizo na kuishauri serikali na viongozi sio jambo geni. Ila inastaajabisha kuona mtu kama Bashiru anatishia Usalama wa kiongozi wa nchi. Anaongea kwa...
5 Reactions
83 Replies
6K Views
''Ukizungumzia watu walio uvuruga umoja wa wazazi ni Mzee Bulembo na wengine, ukampeni meneja wake kwa Mzee Magufuli aliununua kwa pesa nyingi Ili kuficha uchafu wake'' ni kauli ya mwana ccm...
16 Reactions
53 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika...
14 Reactions
165 Replies
14K Views
Ningependa kutoa maoni yangu na kuelezea kwa nini Rais Magufuli ameshindwa kabisa kuliongoza taifa... Uongozi sio nguvu siasa sio nguvu wala siasa sio Uadui hata siku moja wenzangu wale mliosoma...
65 Reactions
212 Replies
22K Views
Back
Top Bottom