Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hawa watu uongo upo kwenye damu na mifupa. Wakitema wanatema uongo wakimeza wanameza uongo.
2 Reactions
4 Replies
571 Views
Rais Samia Suluhu Hassan, ametoa maagizo tisa katika ziara yake mkoani Manyara ikiwemo kusisitiza kwamba 1. Serikali itaendelea kukopa kwa lengo la kuchochea maendeleo ya haraka. na alisema kuwa...
3 Reactions
14 Replies
1K Views
Sina haja ya salamu, Wengi mnamtetea Bashiru kuwa kafanya jambo zuri kwa kauli yake hila, ukweli ni kwamba kuna kipindi mbolea ilipanda sana sokoni Mama akafanya jambo ikashuka bei wakati hili...
1 Reactions
8 Replies
848 Views
Kwa sasa sehemu zilipofikia siasa zetu zinahitaji very strong minded people. Hawa wanasiasa wanaopatikana kama second hand items hawawezi kukabiliana na mabadiliko ya nyakati tulizonazo sababu...
13 Reactions
62 Replies
3K Views
Kauli ya Dkt. Badhiru Ally imekomesha tabia ya watu kusifia sifia ovyo huku nchi ikiendelea kupitia matatizo makubwa sana ya mdororo mkubwa wa kiuchumi uliosababishwa na Corona, vita vya Ukraine...
7 Reactions
11 Replies
1K Views
Kwani kuna nini huko? Hii ni 2022 haijafika hata 2024, kinacho nishangaza ni kila anaesimama anatulazimisha tumuunge mkono rais Samia. Nabaki najiuliza, kuna nini kwani? Kuna kitu hakiko sawa...
13 Reactions
23 Replies
2K Views
Hali isiyokuwa ya kawaida tarehe 17 Novemba, 2022 wakati wa mkutano wa wakulima Dr. Bashiru Ally aliongea maneno yenye chuki, kuvunja moyo na yenye uchochezi na kumgombanisha Rais na wakulima ili...
5 Reactions
100 Replies
6K Views
Najua umeamua kuunda jeshi lako, na kuwapiga chini wote uliyowakuta msituni wanapigana! Wamekaa siyo kwa kupenda na bahati mbaya, miaka inakimbia sana vipi hilo jeshi ulilolitupa likaamua kujiunda...
1 Reactions
1 Replies
377 Views
Jana TANESCO wametoa taarifa kuwa kuna upungufu wa Megawati 300 kutokana na ukame na matengenezo yanayoendelea Sasa nikawaza kama tunazalisha jumla ya Megawati 1600 basi kukitokea upungufu wa...
8 Reactions
35 Replies
2K Views
RAIS mstaafu wa Tanzania, Dr. Jakaya Mrisho Kikwete , alipata KUSIMULIA: "Siku moja usiku, nilipokuwa mtoto, nakumbuka kumwona MAMA yangu akituletea chakuka mezani nikiwa na BABA. MAMA aliniwekea...
83 Reactions
241 Replies
30K Views
Hapa wapo Mjini Berlin Nchini Ujerumani wakifuatilia Game ya Ujerumani VS Japan , kwenye World cup . Msafara wao unaongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho Tundu Lissu . Endelea kubaki hapa...
17 Reactions
62 Replies
4K Views
JE RAIS AU MFALME KUNA WATU ANAOWAOGOPA? Anaandika, Robert Heriel Jemadari Huenda nawe ni miongoni unaofikiri kuwa Rais au Mfalme ni mtu asiyemuogopa yeyote, lakini sivyo. Rais au Mfalme ni...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Baada ya kufukuzwa Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA alipokea ofa ya CCM ikimuomba ajiunge nayo Zitto Kabwe alikataa kwa madai kuwa ana maono makubwa ambayo siyo rahisi kupata fursa ya kuyatekeleza...
0 Reactions
0 Replies
562 Views
Mchakato wa Uchaguzi katika Ngazi ya Taifa ukipamba moto ndani ya Jumuia ya Vijana ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) ukipamba moto, Kijana Mahili na Mchapakazi Mohamed Ali (KAWAIDA) akionyesha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Punde tu baada ya kuingia,uliivunja bodi iliyokuwepo "Tanesco" na Ukaunda yako ya "Tan-Escrow" 25/Sep/2021. Baadhi ya tambo zenu zilikuwa hizi. "Tunataka baada ya miaka mitatu Shirika liingie...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Ushauri huu utakusaidia kuelekea 2025,mtindo huu ulimjengea sifa sana Raia hayati Magufuli,kwasababu wasaidizi wako wengine ni wahuni,hawaelezi matatizo ya wananchi kadhalika kuyatatua,kazi yao ni...
1 Reactions
0 Replies
321 Views
Vumbi la Ndugai lingali kutulia. La Polepole ndiyo hivyo tena. Kwanini tu wazito mno kuzika tofauti zetu? Kwanini wenzetu hawa, hawana uadui wa kudumu? Kwamba mipira inazagaa golini kwa adui...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Niende tu moja kwa moja kwenye mada husika. Niko najiuliza, hivi siku hizi huko shule watoto wetu wanafundishwaje aisee. Nauliza hivi maana toka majuzi sielewi mwanangu kaona nini na wapi. Amekuwa...
0 Reactions
2 Replies
541 Views
Kama kuna eneo ambalo serikali ya JMT inayoongozwa na TANU/ASP kisha CCM tangu uhuru 1961 imefeli spectacularly kisera na kimipango ni la upatikanaji wa huduma bora na ya kuaminika ya nishati ya...
8 Reactions
33 Replies
3K Views
Kama Mungu angemjalia Nyerere Uhai kama kina "Warioba" na "Butiku" Kwa hii CCM-asali. Na kama ingetokea Nyerere kuwakosoa CCM hii. Kama wafanyavyo kina.. Ndugai,Bashiru,Butiku na Warioba...
0 Reactions
9 Replies
685 Views
Back
Top Bottom