Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule...
1 Reactions
6 Replies
897 Views
Nyakati zinabadilika sana, kila nikiwaza bado sioni watu wa kuhudhuria hiyo mikutano. Watu wapo busy na kutafuta pesa maisha yaende. Tusiongopeane hapa kuwa tutakusanya watu kuwasikiliza huko...
4 Reactions
31 Replies
1K Views
Waziri wa kilimo ndg Hussein Bashe akihojiwa na DW amesema hili kupunguza mfumuko mkubwa wa bei hasahasa ya chakula, serikali imeamua kufungua maghala yake kadhaa ya chakula nchini kwenda...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzungumza na Viongozi wa Vyama vya Siasa Nchini, leo Jumanne Januari 3, 2023. Mazungumzo haya yanafanyika Ikulu, Magogoni...
40 Reactions
279 Replies
21K Views
Ndugu zangu nimeuliza nipate kusaidiwa kupewa majibu maana nikiangalia na kufuatilia kwa makini naona hatari kubwa Sana iliyopo mbele ya chama hiki, wataalamu wanasema kuwa ukitaka kujuwa urefu wa...
7 Reactions
159 Replies
6K Views
Miradi wa JHNPP na SGR ilipaswa kujengwa baada ya sisi kuanza kuchimba chuma chetu wenyewe huko Liganga na Mchuchuma. Tulipaswa kuhakikisha sehemu kubwa ya malighafi muhimu inatoka ndani ya nchi...
6 Reactions
38 Replies
2K Views
Sina. Shaka na uwezo wa kujenga hoja kwa bwana lissu kwangu ni mmoja wa wanasiasa bora wa chache wa dunia ninaowakubali na kuwaheshimu mbowe akiwa mmoja wapo. Wanachadema mlianza kupoteza ladha...
1 Reactions
9 Replies
661 Views
Jakaya kikwete kakuhakikishia kuwa hautapingwa na mtu yoyote kuchukua fomu. Kweli utachukua fomu na utagombea. Lakini utapingwa ndani ya mioyo ya wanaCCM wasiopenda ouvu na ufisadi wa kundi...
2 Reactions
4 Replies
756 Views
Hii ndio Taarifa iliyotolewa leo 2/1/2023 na EATV, kwamba Mh Utamwa ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Iringa, amefariki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 January 2023. Kwa Wageni wa...
16 Reactions
42 Replies
6K Views
Sababu za Lema na Lisu kujibanza kwa wazungu zinadhidi kumalizwa, mikutano ya siasa imeruhusiwa, madai yote ya Lisu yamelipwa, kesi yenye kila aina ya ushahidi ya gaidi wa kuuwa viongozi wa...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
Natoa maoni haya kwa nia njema. Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu. Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha...
2 Reactions
18 Replies
890 Views
WAZIRI wa Maji, Jumaa Aweso kijana wa watu asiye na mbeleko anahangaika kwa usafiri wa bodaboda ili mradi afike ajionee mwenyewe changamoto za maji zinazowakabili wananchi. Wengine watoto wa...
6 Reactions
51 Replies
4K Views
A journalist reporting for Yahoo News summed up the features of the opposition parties in the world. Are you in agreement with him? Most of the opposition agenda world over is mostly to defund...
0 Reactions
0 Replies
501 Views
Rais Samia kapiga kipyenga, Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza. Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi...
6 Reactions
12 Replies
871 Views
Baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kuzungumza na viongozi wa vyama vya siasa leo Januari 3, 2022, Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe amesema: Taifa letu limekuwa na mfumo wa ukandamizaji wa...
9 Reactions
26 Replies
3K Views
Hizi ni siasa za kushangiliana bila kuulizana maswali, lakini miezi michache iliyopita huyu huyu Samia alichochea kuchukiwa kwa Spika, ambaye ni mbunge alipokosoa tabia ya serikali kukopa. Jana...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Yaani huyu Mama naona anaenda kuwa Rais was pili ukimtoa Baba wa Taifa, maana Kama atatupatia katiba Mpya Basi Legacy yake itakuwa kubwa Sana. Nilichogundua Uongozi ni akili. Legacy sio kujenga...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Naona watu wanafurahia kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama, ila tatizo sijui kama limezungumzwa na kuwekewa mipaka 1. Kuna kitu kimeitwa lugha ya staha, je, ni pamoja na kutokosolewa? Je, ni nani...
0 Reactions
3 Replies
416 Views
Moja na mawaziri viroba basi ni huyu jamaa, tatarira zinakuwaga nyingi Mara aje Kwa bajaji Mara pikipiki Mara Kwa mguu lakini Hakuna kinachofanyika yaani najiuliza sijui Kwa nini vijana tukipewaga...
3 Reactions
22 Replies
1K Views
Back
Top Bottom