Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,548
- 217,814
Hii ndio Taarifa iliyotolewa leo 2/1/2023 na EATV, kwamba Mh Utamwa ambaye alikuwa Jaji wa Mahakama Kuu kanda ya Iringa, amefariki Jijini Dar es Salaam leo tarehe 2 January 2023.
Kwa Wageni wa hapa Jf ama pia kwa wenyeji Wasahaulifu, Jaji Utamwa ndiye aliyeendesha Kesi ya Zitto Kabwe dhidi ya Chadema, ya Kupinga kufutwa uanachama kwa tuhuma za Usaliti akishirikiana na Kitila Mkumbo na Mamluki wengine.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu kuipumzisha Roho ya Jaji Utamwa mahali inapostahili, Amina.