Natamani vijana wa CHADEMA wajifunze kwa Zitto

Nyabukika

JF-Expert Member
Jun 15, 2022
1,402
942
Nikiangalia fact anazoongea Zitto Kabwe natamani vijana wa CHADEMA wangejifunza kwa Zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele."

Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza.
 
Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema
"Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"
Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
Zitto hana cha kuwafundisha CHADEMA, labda usaliti? Maana alifukizwa CHADEMA kwa tuhuma hizo.

Pia Zitto ni kada wa CCM, sasa hapo CCM wataifundisha nini CHADEMA kuhusu siasa za upinzani?
 
Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema
"Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"
Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza
Bila Shaka hii post hata wewe hujaelewa ulichoandika,

Sent from my CPH2061 using JamiiForums mobile app
 
Hata Jobo alipoongea alijua ni fact. Ila chawa walichachamaa hadi akakiri kwamba alikosa yeye,alikosa yeye,alikosa sana.........
Wanasiasa hawana fact zakuaminika sana hao ila inategemeatu uelekeo wa upepo maana hata baadhi walioshabikia katazo la mikutano ya kisiasa Leo wanapongeza katazo hilo kufutwa
 
Nikiangalia fact anazoongea zitto kabwe natamani vijana wa chadema wangejifunza kwa zitto siasa ingeimarika sana nimemsikia leo akisema, "Wanasiasa tusijenge mazingira ambayo yataturejesha kule ambako kulipelekea mikutano kuzuiwa, tufanye siasa ambazo zitaweza kupeleka nchi yetu mbele"

Zitto amewaasa wanasiasa kufanya siasa za kistaarabu kama Rais Samia Suluhu alivyoagiza

Kuna wengi wa kujifunza sio Zitto.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom