CHADEMA msikurupuke kwenye Mikutano ya hadhara mtafeli jumla

Master Legendary

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
579
Reaction score
887
Natoa maoni haya kwa nia njema.

Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu.

Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha Mapinduzi kwa kuwachukulia Makada wenu wengi mliowajengea ushawishi.

Inahitajika utulivu na mbinu za ziada kurudisha Hamasa ya Wananchi badala ya kuitisha mikutano kwa pupa nchi nzima bila kuwepo watu wenye ushawishi.

Nashauri Mikutano ianze taratibu angalau muanzie Level ya Kanda na Mtumie Machinery na Resources zenu chache zilizopo kwa kuanza na Mikutano mizito michache itakayokuwa well organised bila kusahau kutumia vyema Media.

Pia katika Mikutano hiyo hakikisheni Makada wenu wenye ushawishi waliobakia mf Mnyika,Heche,Msigwa,Sugu nk wote wanakuwepo ikiwapendeza Mwenyekiti aongoze Jahazi.Mkifanikiwa kuwaamsha Wananchi ndiyo zoezi la kusambaa nchi nzima lianze.

Nimesikia kuna Kamati kuu leo kama kuna mtu ana connection na Mjumbe wa Kamati kuu apokee ushauri kwa nia njema.

Nilisikia vibaya sijui kuwa kibali kiombwe Polisi mjiandae pia kwa figisu kidogo[emoji2].

Ni hayo tu tuendelee kula nyama mtori uko chini.
 
Najiuliza watakuwa wanaongea nini? Au hotuba itayo editiwa na mama said?
 
Well said and noted
 
Kuzuiwa kwa mikutano ya hadhara CHADEMA haikulala ilikuwa na plan B na C na hizo plan zimesaidia mno kukijenga chama
Kuhusu makada waliokengeuka chama hali halisi inaonesha huko waliko wana hali gani
 
Natoa maoni haya kwa nia njema.

Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu.

Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha Mapinduzi kwa kuwachukulia Makada wenu wengi mliowajengea ushawishi.

Inahitajika utulivu na mbinu za ziada kurudisha Hamasa ya Wananchi badala ya kuitisha mikutano kwa pupa nchi nzima bila kuwepo watu wenye ushawishi.

Nashauri Mikutano ianze taratibu angalau muanzie Level ya Kanda na Mtumie Machinery na Resources zenu chache zilizopo kwa kuanza na Mikutano mizito michache itakayokuwa well organised bila kusahau kutumia vyema Media.

Pia katika Mikutano hiyo hakikisheni Makada wenu wenye ushawishi waliobakia mf Mnyika,Heche,Msigwa,Sugu nk wote wanakuwepo ikiwapendeza Mwenyekiti aongoze Jahazi.Mkifanikiwa kuwaamsha Wananchi ndiyo zoezi la kusambaa nchi nzima lianze.

Nimesikia kuna Kamati kuu leo kama kuna mtu ana connection na Mjumbe wa Kamati kuu apokee ushauri kwa nia njema.

Nilisikia vibaya sijui kuwa kibali kiombwe Polisi mjiandae pia kwa figisu kidogo[emoji2].

Ni hayo tu tuendelee kula nyama mtori uko chini.
Wakifeli si ndio vizuri kwa nyie CCM?
 
Najiuliza watakuwa wanaongea nini? Au hotuba itayo editiwa na mama said?
Wataenda kueleza jinsi Gani CCM imeachiwa Kila kitu kuanzia madiwani, wabunge Hadi serikali yaani 99% ya wawakilishi wa wananchi ni CCM ila ndio kwanza tumeporomoka kiuchumi.

Wataeleza jinsi Gani ufisadi mkubwa huko CCM umechangia kuongezeka kwa gharama za maisha!! Wakimaliza hiyo ziara sidhani kama utaweza katiza na jezi ya kijani otherwise jiandae kuzomewa
 
Ushauri mzuri sana. Ushauri wangu kwa chadema ni kuwa wanaweza kujikuta wanarudisha fadhira za kuwa too nice to each other kurudisha fadhira za mama kumbe wako kwenye midundo ya iyena bila kujijua. Nendeni na kazi moja tu ya kuionyesha serikali isipofanya vema. Madudu yameanza kumwagika kwa sasahadi tulioko nje na siasa tunaumwa. Kazi kwenu .
 
Mikutano ya hadhara ni muhimu sana, mikutano hiyo iendane sambamba na kuandikisha wanachama wapya kwa digital platform, hiyo itasaidia kwanza kukuza chama kitaifa pili na muhimu ni kuongeza mapato illi chama kiweze kujiongoza kwa mapato ya wanachama wake.
 
Mikutano ya hadhara ni muhimu sana, mikutano hiyo iendane sambamba na kuandikisha wanachama wapya kwa digital platform, hiyo itasaidia kwamba kukuza chama pili na muhimu kuongeza mapato.
Ila ukweli usemwe chama chetu hiki pendwa kwenye mapato huwa hamfanyi vyema anyway mambo yenu ya ndani
 
Natoa maoni haya kwa nia njema.

Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu.

Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha Mapinduzi kwa kuwachukulia Makada wenu wengi mliowajengea ushawishi.

Inahitajika utulivu na mbinu za ziada kurudisha Hamasa ya Wananchi badala ya kuitisha mikutano kwa pupa nchi nzima bila kuwepo watu wenye ushawishi.

Nashauri Mikutano ianze taratibu angalau muanzie Level ya Kanda na Mtumie Machinery na Resources zenu chache zilizopo kwa kuanza na Mikutano mizito michache itakayokuwa well organised bila kusahau kutumia vyema Media.

Pia katika Mikutano hiyo hakikisheni Makada wenu wenye ushawishi waliobakia mf Mnyika,Heche,Msigwa,Sugu nk wote wanakuwepo ikiwapendeza Mwenyekiti aongoze Jahazi.Mkifanikiwa kuwaamsha Wananchi ndiyo zoezi la kusambaa nchi nzima lianze.

Nimesikia kuna Kamati kuu leo kama kuna mtu ana connection na Mjumbe wa Kamati kuu apokee ushauri kwa nia njema.

Nilisikia vibaya sijui kuwa kibali kiombwe Polisi mjiandae pia kwa figisu kidogo[emoji2].

Ni hayo tu tuendelee kula nyama mtori uko chini.
USHAULI MZURI KABISA
 
Wataenda kueleza jinsi Gani CCM imeachiwa Kila kitu kuanzia madiwani, wabunge Hadi serikali yaani 99% ya wawakilishi wa wananchi ni CCM ila ndio kwanza tumeporomoka kiuchumi.

Wataeleza jinsi Gani ufisadi mkubwa huko CCM umechangia kuongezeka kwa gharama za maisha!! Wakimaliza hiyo ziara sidhani kama utaweza katiza na jezi ya kijani otherwise jiandae kuzomewa
Mkuu muongeaji ya hayo ni huyu aliyekuwa hacked na mama said kwa kusameheana kesi ya ugaidi?
 
[QUOTE="Sexless

Wewe huoni cha kuzungumza kwasbb huna akili nyingine zaidi ya kuwaza mibange, kubet, kudanga na kulewa.

Poor you!
[/QUOTE]
Dah! Matusi yote ya nini?

Kumbuka mama said atakiwi kusemwa na kasisitiza hilo
Screenshot_20230104-090800.jpg
 
Kuna mtu ukimuonesha kinyesi cha ng'ombe anaona ni uchafu tu, lkn mwingine ataona mbolea.

Wewe huoni cha kuzungumza kwasbb huna akili nyingine zaidi ya kuwaza mibange, kubet, kudanga na kulewa.

Poor you!
Screenshot_20230104-090800.jpg
kauli sio ya kindezi kama una akili timamu
 
Natoa maoni haya kwa nia njema.

Nawakumbusha tu kuwa ari ya Wananchi kuhudhuria Mikutano ya kisiasa imeshuka sana kutokana na zuio la Muda mrefu.

Pia chama chenu kimeumizwa sana na Chama cha Mapinduzi kwa kuwachukulia Makada wenu wengi mliowajengea ushawishi.

Inahitajika utulivu na mbinu za ziada kurudisha Hamasa ya Wananchi badala ya kuitisha mikutano kwa pupa nchi nzima bila kuwepo watu wenye ushawishi.

Nashauri Mikutano ianze taratibu angalau muanzie Level ya Kanda na Mtumie Machinery na Resources zenu chache zilizopo kwa kuanza na Mikutano mizito michache itakayokuwa well organised bila kusahau kutumia vyema Media.

Pia katika Mikutano hiyo hakikisheni Makada wenu wenye ushawishi waliobakia mf Mnyika,Heche,Msigwa,Sugu nk wote wanakuwepo ikiwapendeza Mwenyekiti aongoze Jahazi.Mkifanikiwa kuwaamsha Wananchi ndiyo zoezi la kusambaa nchi nzima lianze.

Nimesikia kuna Kamati kuu leo kama kuna mtu ana connection na Mjumbe wa Kamati kuu apokee ushauri kwa nia njema.

Nilisikia vibaya sijui kuwa kibali kiombwe Polisi mjiandae pia kwa figisu kidogo[emoji2].

Ni hayo tu tuendelee kula nyama mtori uko chini.
Chadema ilishajiandaa kwa mikutano ya hadhara miezi 6 iliyopita
 
Mkuu muongeaji ya hayo ni huyu aliyekuwa hacked na mama said kwa kusameheana kesi ya ugaidi?
Mbona Kigamboni aliongea Mbowe na kusema nchi imemshinda Mama Samia kwa migao na gharama za maisha na kwamba 2025 atupishe!!

Mbowe sio mwepesi kiasi hiko otherwise angelegea alipovunjiwa biashara zake na JPM.
 
Back
Top Bottom