Uchaguzi na Bunge baada ya November 2025 kuwa kivumbi!

Jidu La Mabambasi

JF-Expert Member
Oct 20, 2014
15,333
24,218
Rais Samia kapiga kipyenga,

Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza.

Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini, kuchagua binafsi nani aingie na nani asiingie Bungeni, sasa hayo yote yamekufa na Magufuli.

Wana CCM tukae chonjo, sasa si siasa za kuabudu na kusifu na uchawa, bali matarajio ya wananchi kimaendeleo.

Kwa sparring partners wenzetu wa upinzani, wasijeturudisha nyuma kwa kuanza matusi, kejeli na mambo kama hayo.

Hatujasahau kidole cha kati Sugu alichotia Bungeni.

Tusirudi huko.

Mama Samia katurudishia siasa zinazohitaji ustaarabu binafsi wa wanasiasa wote na vyama vyao, namshukuru sana kwa hilo.

Natabiri kinyang'anyiro kikali uchaguzi wa 2025.

Na bunge litakalo tokana na uchaguzi huo litakuwa pengine bora zaidi katika kipindi kirefu cha hivi karibuni.

God Bless Tanzania.
 
Rais Samia kapinga kipyenga,

Kwa sparring partners wenzetu wa upinzani, wasijeturudisha nyuma kwa kuanza matusi, kejeli na mambo kama hayo. Hatujasahau kidole cha kati Sugu alichotia Bungeni.

Tusirudi huko.
Mama Samia katurudishia siasa zinazohitaji ustaarabu binafsi wa wanasiasa wote na vyama vyao.

Natabiri kinyang'anyiro kikali uchaguzi wa 2025.

Na bunge litakalo tokana na uchaguzi huo litakuwa pengine bora zaidi katika kipindi kirefu cha hivi karibuni.

God Bless Tanzania.
Let us hope for the best !!
 
Rais Samia kapinga kipyenga,

Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza.

Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini, kuchagua binafsi nani aingie na nani asiingie Bungeni, sasa hayo yote yamekufa na Magufuli.

Wana CCM tukae chonjo, sasa si siasa za kuabudu na kusifu na uchawa, bali matarajio ya wananchi kimaendeleo.

Kwa sparring partners wenzetu wa upinzani, wasijeturudisha nyuma kwa kuanza matusi, kejeli na mambo kama hayo.
Hatujasahau kidole cha kati Sugu alichotia Bungeni.

Tusirudi huko.

Mama Samia katurudishia siasa zinazohitaji ustaarabu binafsi wa wanasiasa wote na vyama vyao, namshukuru sana kwa hilo.

Natabiri kinyang'anyiro kikali uchaguzi wa 2025.

Na bunge litakalo tokana na uchaguzi huo litakuwa pengine bora zaidi katika kipindi kirefu cha hivi karibuni.

God Bless Tanzania.
Watakaochaguliwa kuwa wabunge mwaka 2025, ni wale watakaokuwa ni chaguo la wananchi na siyo chaguo la Mwenyekiti wa CCM, kama ilivyokuwa kwenye "uchafuzi" wa mwaka 2020!
 
Ziachwe zifanywe na wanasiasa, lakini zikiachwa kwenda kufanywa na jeshi la polisi hizo sio tena figisu za kisiasa, na haziwezi kuwa sehemu ya maisha, zilaaniwe siku zote.
Figisu za kisiasa zinahusu siasa, dola lazima iendeshwe na wanasiasa tuliowachagua.
Polisi si siasa, wala Idara za za Usalama kutumika kwenye kura nalo si siasa.
Dola kuhusika kuchagua wananchi wanamtaka nani kisiasa ni ufinywaji wa demokrasia.
 
Rais Samia kapinga kipyenga,

Sasa siasa za ushindani wa sera, vyama na watu wenye mvuto, haiba na weledi wa kutetea wananchi zitaanza.

Baada ya Magufuli kudominate single handedly siasa za nchi kwa kuwaweka lock up vyama vya siasa, wapinzani au wenye maoni tofauti NDANI ya CCM kupigwa pini, kuchagua binafsi nani aingie na nani asiingie Bungeni, sasa hayo yote yamekufa na Magufuli.

Wana CCM tukae chonjo, sasa si siasa za kuabudu na kusifu na uchawa, bali matarajio ya wananchi kimaendeleo.

Kwa sparring partners wenzetu wa upinzani, wasijeturudisha nyuma kwa kuanza matusi, kejeli na mambo kama hayo.
Hatujasahau kidole cha kati Sugu alichotia Bungeni.

Tusirudi huko.

Mama Samia katurudishia siasa zinazohitaji ustaarabu binafsi wa wanasiasa wote na vyama vyao, namshukuru sana kwa hilo.

Natabiri kinyang'anyiro kikali uchaguzi wa 2025.

Na bunge litakalo tokana na uchaguzi huo litakuwa pengine bora zaidi katika kipindi kirefu cha hivi karibuni.

God Bless Tanzania.
Usisahau hii ni 2023, mwaka huo 2025 Bado mbaal sana.
 
Back
Top Bottom