Sayyid Khalifa
Senior Member
- Jun 8, 2018
- 111
- 216
Kutokana na upepo wa kisiasa unvyovuma ni wazi kwamba unampendelea sana Freeman Aikaeli Mbowe. Na kumuweka katika nafasi ya wanasiasa wachache nchini wenye nguvu na ushawishi na hivyo si ajabu kusikia 2025 amechaguliwa na watanzania kuwa raisi wao.
Hivyo basi ninafikiri ipo haja katika mchakato wa mabadiliko ya katiba(KATIBA MPYA) kuwe na kipengele cha official opposion leader ambaye atakuwa ni mgombea aliyeshika nafasi ya pili katika kura za uraisi.
Hii itampa uhakika wa kuwepo bungeni na kuongoza kambi ya upinzani iwapo atashindwa na mgombea wa CCM katika kura za uraisi.
Katiba ya sasa inalazimisha kiongozi wa upinzani bungeni awe ni mbunge wa kuchaguliwa. Hivyo ukigombea uraisi na ukashindwa hata kwa kura moja basi imekula kwako.
Ndio maana kuna kauli kwamba Dk Slaa alikuwa mgumu sana kuacha ubunge na kugombea uraisi 2010 mpaka alihakikishiwa maslahi yake na CHADEMA.