Wakuu habari,
Aisee nimeona tu nimpongeze Dkt. Biteko waziri wa madini, Hakika hu mwaka ameunza vizuri sana.
Minada ya Madini ya vito sasa kuanzishwa, kulikuwa na kilio kikubwa sana kwa...
Kwa kweli sielewi kabisa misimamo ya wana-ccm, wakati ule mara tu alipoingia madarakani mwaka 2016, Rais wa wakati huo, Hayati Magufuli, alipopiga marufuku mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa...
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.
Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande...
Dar es Salaam. Chadema imesema imeupokea ushauri uliotolewa na aliyekuwa Katibu Mkuu wa chama hicho, Dk Willbrod Slaa kuwa vyama vya upinzani vitafute ufumbuzi wa zuio la mikutano ya hadhara...
Nikiwa ndani ya daladala, kupitia Radio IbonyFm Habari nimemsikia katibu wa CCM mkoa wa Mbeya akilalamika kuwa Kamanda wa Polisi mkoa wa Mbeya RPC DIWANI ATHUMAN amekuwa akifanya kazi kwa...
Ndugu zangu watanzania,
Huo ndio ukweli kuwa kwa Sasa Hakuna mpinzani au mtu yeyote kutoka upinzani mwenye uwezo wa kushindani na Rais Samia Jukwaani Na hata katika sanduku la kura, kwa Sasa Rais...
Mkuu Mpya wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali, Ernest Mangu ameanza kazi kwa kutangaza mabadiliko ya mfumo wa jeshi hilo huku akiunda vitengo vipya kwa lengo kuongeza ufanisi katika kukabiliana...
Kafulila aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu kabla ya kutumbuliwa anashinda mitandaoni kila siku kumsifia rais Samia. Bila shaka haamini kama mama kamchoka na kaamua kumtupa kama jongoo.
Mwambieni...
WANAO TAJWA TAJWA KUMRITHI REHEMA SOMBI KITI CHA UVCCM MKOA WA SINGIDA
Na Mwananzengo
Baada ya Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa wa Singida ndugu Rehema Sombi kufanikiwa kushinda nafasi ya Makamu...
Kafulila amshukuru Rais Samia, awaaga wananchi wa Simiyu
Siku moja baada ya kuachwa katika mabadiliko ya wakuu wa mikoa, aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Simiyu, David Kafulila amemshukuru Rais Samia...
Ndugu Zangu Watanzania,
Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa...
Huwa nafuatilia sana, kusoma na kufuatilia mijadala na hoja nyingi zitolewazo na vijana wa vyama mbalimbali vya siasa nchini.
Nimeona shida kubwa sana kwa vijana wetu ambao wengi wanaonekana...
Wananchi wa Jimbo la Nyamagana wamemuomba mbunge wao apunguze utoto au Kama itawezekana basi aache kabisa.
Sintofahamu hiyo imeanza baada ya mbunge huyu kuanza ujenzi wa kipande cha lami chenye...
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya...
Diwani hajahudumu kama Katibu wa Ikulu na alikuwa bado hajala kiapo hivyo si Sawa kusema katenguliwa.
Ni sahihi kusema Uteuzi wake umebatilishwa.
Niko tayari kusahihishwa na Waswahili wenzangu...
Group 1. Kuna Watanzania ambao wanaamini nchi yetu inahitaji dikteta ambaye ataendesha nchi kimabavu na kuwa kama Mungu mtu.
Dikteta ambaye awe na uwezo wa kufunga yeyote, kuuwa yeyote na...
Kuna shida inayoendelea kunyemelea uongozi wa awamu ya 6. January Makamba, waziri wa Nishati alipita mikoa ya kanda ya ziwa na kusema ametuma fedha za miradi ya umeme takribani 57 Bilioni.
Cha...
Ninayoyaona:-
1. Sijaona utaratibu wa kudhibiti ukosefu wa uvumilivu wa hoja mbadala zaidi ya mfumo wa asili wa kutumia mkono wa dola. Hii itakwaza mchakato wa ukuaji demokrasia. Tutamani kufika...
Mining activity in Tanzania recorded a growth rate of 9.8% in the third quarter of 2022 compared to a growth rate of 13.1% recorded during the corresponding quarter in 2021 according to the Third...
Udhaifu wa CCM ulipelekea kuweka zuio la mikutano ya vyama pinzani!
Na udhaifu huo huo ndio unaosababisha viongozi hao kuwa wakali dhidi ya ukosoaji na utoaji wa maoni kutoka kwa raia watanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.