Naona watu wanafurahia kuruhusiwa kwa mikutano ya vyama, ila tatizo sijui kama limezungumzwa na kuwekewa mipaka
1. Kuna kitu kimeitwa lugha ya staha, je, ni pamoja na kutokosolewa? Je, ni nani...
Moja na mawaziri viroba basi ni huyu jamaa, tatarira zinakuwaga nyingi Mara aje Kwa bajaji Mara pikipiki Mara Kwa mguu lakini Hakuna kinachofanyika yaani najiuliza sijui Kwa nini vijana tukipewaga...
Kuna watu watasema suala liko Mahakamani hivyo lisubiri, lakini sio kweli.
Kesi iliyoko mahakamani ni kati ya wanachama 19 waliokuwa Chadema na chama chao cha zamani Chadema na haihusiani na...
Serikali imetakiwa kuwawezesha wanawake hususani kwenye kilimo kwa kuwapatia teknolojia za kisasa za kilimo mbalimbali zinazoweza kupunguza athari ya mabadiliko ya Hali ya hewa ambazo zitasaidia...
Nawasalimu kwa jina la JMT..
Nitoe pongezi zangu za dhati kwa Mh.Samia SS na Serikali yake kupitia TRA kwa kuweza kukusanya mapato kwa Asilimia 99%..
Kiwango hiki kimeiwezesha Serikali...
Madai ya baadhi ya watu dhidi ya Mwenyekiti wa Chadema mh. Mbowe eti kuwa "amelamba asali", madai hayo yana lengob la kudhihaki jitihada anazo zifanya Mhe. Rais za kuleta mardhiano ya kisiasa...
Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa, umempongeza Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa uamuzi wa kuruhusu mikutano ya hadhara nchini.
Mbali na kuondoa zuio la mikutano ya...
Ni ukweli ulio wazi kuwa wafuasi wa Magufuli hawapendi kuona rais Samia akiridhiana na vyama vya upinzani na hatimaye hata kuruhusu mikutano ya hadhara.
Sababu ni hizi hapa.
1. Wafuasi wa...
Ndugu zangu watanzania,
Nashindwa nianze na lipi juu ya kumuongelea Rais huyu shupavu, Hodari, Mahiri, mnyenyekevu,mwenye moyo wa upendo,huruma na ukarimu, Msikivu na mwenye Subira, madhubuti na...
Kuandaa mkutano wa hadhara ni gharama kubwa kuanzia usafiri , malazi, na posho za kulipa wajumbe mbalimbali kama matangazo etc, vyama vyote vya upinzani hawana hiyo hela hivyo mtasubiri sana...
Kwa wanaojua vizuri nature ya nchi yetu kila kiongozi akiwa madarakani anakuwa hafai.kwa tuliomshuhudia moringe sokoine alikabiliwa sana na ukosoaji kwa sera yake ya ujamaa!
Na wahujumu uchumi...
Kutokana na uhalisia wa kwamba Chama.Cha Mapinduzi kujikita kwenye siasa zenye malengo ya kuimaliza nchi ishindwe kuwa na uwezo wa kupata maendeleo ya kweli. Nimewaza sasa kutoa ushauri kwa vyama...
Rais Samia alikerwa Sana na ubabe, ukatili, lugha kali na kuwadhalilisha watu kwenye majukwaa. Hakupenda pia dhulma za kisiasa.
Ndiyo maana leo ameamua kuikata rasmi utepe wa haki na uungwana...
Ndoto za Chadema kukamata Dola zimezikwa rasmi, sasa hivi mtasubiri huruma ya CCM iwape majimbo mangapi ili kamrija ka ruzuku kasikate.
Maana mmekubali kupangiwa na CCM, CCM ndio itaamua sasa...
Magufuli: Mikutano ya siasa haijazuiwa
Jumatano, Januari 23, 2019 — updated on Februari 15, 2021
Rais John Magufuli amesema hakuna kiongozi aliyezuiliwa kufanya mikutano ndani ya jimbo lake bali...
Katiba inampa mamlaka Rais kuteua na kutengua nafasi fulani za wasaidizi wake bila ya kuhojiwa. Hili lina maana kubwa na lipo kwenye nchi zote Duniani.
Kuna watu, watu fulani wakitenguliwa...
Hii ndio Taarifa fupi iliyosambazwa na Viongozi wa Kanda hiyo hadharani , kwamba Muda wowote kuanzia ninapoandika hapa , Chama cha Demokrasia na Maendeleo kitatoa ratiba Kabambe ya mikutano ya...
1. Utunzaji wa Siri za Serikali- Excellent
2. Diplomasia ya Uchumi na Ushirikiano wa kimataifa-Excellet
3. Ukweli na Uwazi- Excellent
4. Utulivu wa Siasa za ndani ya CCM- Excellet
5. Utulivu...
Rais katika hotuba yake kasema vyama pinzani/kosovu vitaendelea kuwa kosovu alimradi yeye yupo madarakani. Kwamba watakachokosoa, na serikali yake ikaona vina mantiki basi haraka wanafanyia kazi...
Kiukweli nimeamini CCM ni Chama kikubwa tena chenye mipango mikubwa sana sioni Chama cha Upinzani cha kuiangusha CCM kwa miaka 50 ijayo
Hapa nafuatilia Mkutano mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.