Ushauri kwa Rais Samia: Kuliko kusitisha rasmi mchakato wa Katiba Mpya ni bora ungeuanzisha uendelee walau kwa muda mrefu

NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

JF-Expert Member
Oct 29, 2019
8,520
17,426
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu.

Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na ungeanza uteuzi wa bunge pole pole hata miezi minne Hadi mitano mbele Ili kuonyesha nia ya dhati uliyonayo ya kupata katiba mpya kabla ya mwaka wa uchaguzi.

Na ungejitetea hata KWA kusema bajeti haitoshi KWANI kuna zoezi la sensa na kulipa mafao na miradi mikubwa ya maendeleo hii ingekuwa mileage ya kisiasa nchini kuliko hicho ulichofanya jana

kwani kimewaonyesha rasmi wale wliokupa maelekezo ya unyenyekevu kuwa huna nia ya dhati ya kutupatia katiba kinyume na maelekezo yao kuwa mchakato wa katiba ungeanza kuandika mwaka Huu na utaonekana kukiuka maagizo hivyo wakaanza mipango yao

Nakazia kuwa aliekushauri kuufuta mchakato Hadi Baada ya uchaguzi hakutakii mema na anakuumiza kisiasa na kukosa uungwaji mkono na wale wliokupa maagizo ya nini cha kufanya!!

Ungeurefusha mchakato Hadi 2024 walau na maridhiano yangefanyika ndani ya Bunge hilo jinsi ya kufanya uchaguzi wakati mchakato wa katiba ukiendelea!!ungeandaa vijana wa kuwasha moto ndani ya Bunge na mvutano kuwa mkubwa kuhusu aina ya katiba itakayo pita walau ungepata huruma na compromise kutoka KWA wenye nchi yao Ili kuepusha misuguano mikali ambayo itahataeisha uteuzi wako ndani ya chama

Hakuna Mwanasiasa makini asiejua kuwa ulipewa maagizo ya kuendeleza mchakato huo Hadi uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 uwe chini ya katiba!!Ungezindua mchakato wa katiba ungeungwa mkono hata na wapinzani wako sugu na ungetumia Bunge ku neutralize hoja zao ndani ya Bunge la katiba na siasa zingehamia huko.

Nadhani ungejitwalia ushindi na uungwaji mkono wa watanzania na ungeanza kuitwa majina kama MAMA WA KATIBA MPYA NA DEMOKRASIA NCHINI na ungeliunganisha Taifa liwe na lugha moja na wimbo mmoja!!hapo ndio ungepiga siasa za akili huku Muda ukizidi kwenda Hadi uchaguzi mkuu 2025 ndipo mngefanya maridhiano ya kufanya uchaguzi huku dhamira ya katiba ikiwa ni ajenda muhimu kuelekea uchaguzi ukijinasibu kuwa mchakato unaendelea na hatua za msingi za kunijadili katiba zinaendelea KWA minyukano mikali kama mnavoona enyi wananchi!!

Nadhani walau the state wangekuelewa KWA kuwaambia unaendelea kutimiza maelekezo yao nao wangeiona nia njema uliyonayo na kukupa Muda nao ungewaomba wakuunge mkono hapo 2025 Ili umalizie mchakato KWANI umebakia padogo KWA kufanya majumuisho ya kuviunganisha vipengele vilivyojadiliwa Ili vipigiwe kura na wananchi!

pia ungewaambia kwamba utafanya majaribio ya serikali ya mseto wa serikali ya 2025-2030 Ili kuonyesha muelekeo mzuri wa katiba mpya!!nadhani hapo ungewagawa the state mawazo yao na kupata jicho la huruma kuliko KUKAIDI wazi kabisa kuwa mchakato ianze Baada ya uchaguzi wa 2025 kitu ambacho kitawaonyesha kuwa umewapuuza na kuwadharau na kupata wazo MOJA tu juu yako na kulifanyia KAZI KWA ushirikiano wao wa pamoja na sio kama ungewagawa kisaikolojia na kuwawekea mawazo kinzani wao KWA wao na ungepita KWA mtelezo Sana kuelekea ikulu hapo 2025 kuliko Sasa umeruhusu upinzani wakweli wafanye siasa huru nje ya Bunge ambapo wakina Lema na Lisu wakija watakupasua kisiasa na kuonekana mwenye Uchu wa madaraka KWA kung'ang'ania katiba mbovu inayopigiwa kelele

Nachelea kukuambia mama kuwa Ikulu uliingia Kwa style ya kipekee na wewe ungeonyesha upekee wako hata wa kinafiki kuwa hupendi madaraka hata kama unayapenda KWA kuanzisha mchakato wa muda mrefu wa Bunge la katiba!

pia ikumbukwe kwamba ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri wakubwa kiuchumi bali tuwe matajiri wa kupendwa na watu na kujivunia na kuwa kumbu kumbu vichwani kwao!!!ukishupaza shingo kama watangulizi wako itakushushia heshima kwani Zama hizi ni za katiba mpya na hazikwepeki namna pekee ni kukubaliana na ukweli na kuanzisha kile wanacho kutaka na ku buy time Ili mambo yaende sawa na fikra za Sasa

Nakazia kukuambia kwamba waliokushauri kusitisha mchakato wa katiba hata kama ni Baba wa Raisi au mtu wa karibu hajakutakia mema zaidi ya kukuzika kisiasa na upotee kabisa kwenye ramani ya siasa zetu

Nakukumbusha kuwa Mwendazake katufundisha kuwa Raisi sio msemaji wa mwisho wa KILA kitu bali kuna taasisi nyeti kabisa inayoratibu kesho ya viongozi wetu na wewe hajafikia hata robo ya uthubutu wa Mwendazake kimaamuzi wala ki hofu na kuogopwa kule alipokuwa akiogopwa

Nenda kwenye chumba chako cha siri halafu kafumbe macho ujiulize kwamba je una nguvu za kufanya lolota lile unalotaka hata hakuna Taasisi nyingine yenye nguvu kuliko wewe!!!?? Ukipata majibu FANYA ninachokuagiza ukiona una nguvu Sana tena kuliko yeyote hapa nchini endelea tu na kile ulichopanga japo sioni kimbele!!!!!

Nachelea kusema mimi ni mnyenyekevu wa Asili tena mkweli nisie na mawaa tena naamini ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri mapesa bali utajiri wa heshima na kuishi ndani ya mioyo ya watanzania!!!Naamini ipo siku nitawaonyesha kuwa vitendo Namna ya kuishi unapokuwa ikulu na jinsi ya kuiachia ikulu tena mwenye furaha tele!!

Wasalaam ni mimi mlipa kodi mzalendo wa hapa nchini!!

Mungu akubariki!!!
 
Wale wazalendo msaidieni mama msimpumbaze KWA madaraka makubwa alionayo asidhani Anaweza FANYA vyote vyote atakavyo!!
 
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu.
Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na ungeanza uteuzi wa bunge pole pole hata miezi minne Hadi mitano mbele Ili kuonyesha nia ya dhati uliyonayo ya kupata katiba mpya kabla ya mwaka wa uchaguzi!na ungejitetea hata KWA kusema bajeti haitoshi KWANI kuna zoezi la sensa na kulipa mafao na miradi mikubwa ya maendeleo hii ingekuwa mileage ya kisiasa nchini kuliko hicho ulichofanya jana KWANI kimewaonyesha rasmi wale wliokupa maelekezo ya unyenyekevu kuwa huna nia ya dhati ya kutupatia katiba kinyume na maelekezo yao kuwa mchakato wa katiba ungeanza kuandika mwaka Huu na utaonekana kukiuka maagizo hivyo wakaanza mipango yao!!!
Nakazia kuwa aliekushauri kuufuta mchakato Hadi Baada ya uchaguzi hakutakii mema na anakuumiza kisiasa na kukosa uungwaji mkono na wale wliokupa maagizo ya nini cha kufanya!!Ungeurefusha mchakato Hadi 2024 walau na maridhiano yangefanyika ndani ya Bunge hilo jinsi ya kufanya uchaguzi wakati mchakato wa katiba ukiendelea!!ungeandaa vijana wa kuwasha moto ndani ya Bunge na mvutano kuwa mkubwa kuhusu aina ya katiba itakayo pita walau ungepata huruma na compromise kutoka KWA wenye nchi yao Ili kuepusha misuguano mikali ambayo itahataeisha uteuzi wako ndani ya chama!!Hakuna Mwanasiasa makini asiejua kuwa ulipewa maagizo ya kuendeleza mchakato huo Hadi uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 uwe chini ya katiba!!Ungezindua mchakato wa katiba ungeungwa mkono hata na wapinzani wako sugu na ungetumia Bunge ku neutralize hoja zao ndani ya Bunge la katiba na siasa zingehamia huko!!!!
Nadhani ungejitwalia ushindi na uungwaji mkono wa watanzania na ungeanza kuitwa majina kama MAMA WA KATIBA MPYA NA DEMOKRASIA NCHINI na ungeliunganisha Taifa liwe na lugha moja na wimbo mmoja!!hapo ndio ungepiga siasa za akili huku Muda ukizidi kwenda Hadi uchaguzi mkuu 2025 ndipo mngefanya maridhiano ya kufanya uchaguzi huku dhamira ya katiba ikiwa ni ajenda muhimu kuelekea uchaguzi ukijinasibu kuwa mchakato unaendelea na hatua za msingi za kunijadili katiba zinaendelea KWA minyukano mikali kama mnavoona enyi wananchi!!Nadhani walau the state wangekuelewa KWA kuwaambia unaendelea kutimiza maelekezo yao nao wangeiona nia njema uliyonayo na kukupa Muda nao ungewaomba wakuunge mkono hapo 2025 Ili umalizie mchakato KWANI umebakia padogo KWA kufanya majumuisho ya kuviunganisha vipengele vilivyojadiliwa Ili vipigiwe kura na wananchi!pia ungewaambia kwamba utafanya majaribio ya serikali ya mseto wa serikali ya 2025-2030 Ili kuonyesha muelekeo mzuri wa katiba mpya!!nadhani hapo ungewagawa the state mawazo yao na kupata jicho la huruma kuliko KUKAIDI wazi kabisa kuwa mchakato ianze Baada ya uchaguzi wa 2025 kitu ambacho kitawaonyesha kuwa umewapuuza na kuwadharau na kupata wazo MOJA tu juu yako na kulifanyia KAZI KWA ushirikiano wao wa pamoja na sio kama ungewagawa kisaikolojia na kuwawekea mawazo kinzani wao KWA wao na ungepita KWA mtelezo Sana kuelekea ikulu hapo 2025 kuliko Sasa umeruhusu upinzani wakweli wafanye siasa huru nje ya Bunge ambapo wakina Lema na Lisu wakija watakupasua kisiasa na kuonekana mwenye Uchu wa madaraka KWA kung'ang'ania katiba mbovu inayopigiwa kelele!!!
Nachelewa kukuambia mama kuwa Ikulu uliingia Kwa style ya kipekee na wewe ungeonyesha upekee wako hata wa kinafiki kuwa hupendi madaraka hata kama unayapenda KWA kuanzisha mchakato wa muda mrefu wa Bunge la katiba!pia ikumbukwe kwamba ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri wakubwa kiuchumi bali tuwe matajiri wa kupendwa na watu na kujivunia na kuwa kumbu kumbu vichwani kwao!!!ukishupaza shingo kama watangulizi wako itakushushia heshima kwani Zama hizi ni za katiba mpya na hazikwepeki namna pekee ni kukubaliana na ukweli na kuanzisha kile wanacho kutaka na ku buy time Ili mambo yaende sawa na fikra za Sasa!!
Nakazia kukuambia kwamba waliokushauri kusitisha mchakato wa katiba hata kama ni Baba wa Raisi au mtu wa karibu hajakutakia mema zaidi ya kukuzika kisiasa na upotee kabisa kwenye ramani ya siasa zetu!!!
Nakukumbusha kuwa Mwendazake katufundisha kuwa Raisi sio msemaji wa mwisho wa KILA kitu bali kuna taasisi nyeti kabisa inayoratibu kesho ya viongozi wetu na wewe hajafikia hata robo ya uthubutu wa Mwendazake kimaamuzi wala ki hofu na kuogopwa kule alipokuwa akiogopwa!!!
Nenda kwenye chumba chako cha siri halafu kafumbe macho ujiulize kwamba je una nguvu za kufanya lolota lile unalotaka hata hakuna Taasisi nyingine yenye nguvu kuliko wewe!!!??ukipata majibu FANYA ninachokuagiza ukiona una nguvu Sana tena kuliko yeyote hapa nchini endelea tu na kile ulichopanga japo sioni kimbele!!!!!
Nachelewa kusema mimi ni mnyenyekevu wa Asili tena mkweli nisie na mawaa tena naamini ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri mapesa bali utajiri wa heshima na kuishi ndani ya mioyo ya watanzania!!!Naamini ipo siku nitawaonyesha kuwa vitendo Namna ya kuishi unapokuwa ikulu na jinsi ya kuiachia ikulu tena mwenye furaha tele!!
Wasalaam ni mimi mlipa kodi mzalendo wa hapa nchini!!
Mungu akubariki!!!
Angeanzia kwenye Rasimu ya Warioba..
Ile kusema inafaa kufanya marekebisho ya baadhi ya maeneo ya Katiba chakavu ya sasa na siyo kuandika Katiba Mpya ni kupotea njia!
 
Chadema ni sawa na nyuki huwa hawakumbatiwi....
Leo watapewa katiba kesho wataibuka na jingine.

Mpeni muda rais atimize malengo na ahadi zake kwa wananchi wake.

Hakutembea kwenye kampeni akiahidi katiba mpya.
Bali alikuwa akiahidi huduma bora za miundombinu ya mawasiliano,Nishati pamoja na huduma za afya na maji vijijini na mijini.

Hili la katiba mpya lilikuwa ni ahadi ya Lissu na Chadema.

Kama wangefanikiwa kushinda uchaguzi na kuingia IKULU.

Sasa basi...kwa vile ilikuwa hivyo ilivyotokea.
Ni vema tutumie

NGUVU ya HOJA

badala ya

HOJA YA NGUVU.
 
Baada ya sensa endapo IPO dhamira ya dhati liundwe Bunge maalumu lenye idadi ndogo iwezekanavyo chini ya 100;Waanzie alipoishia Jaji Warioba.
Wajumbe viongozi wa dini; Wataaluma sheria; Majaji waastaafu.
 
Tofautisha matakwa ya mtu mmoja na kikundi cha watu kadhaa wachache VS matakwa ya umma !
Umetumia element gani kusema wengi na wachache?

Huyo mtu mmoja ni yupi na hao unaowaita umma ni wapi?

Ni wapi uliona bango la kuomba katiba mpya kwenye kampeni zilizoisha 2020?

Katiba ni takwa la kisiasa zaidi kuliko uhalisia wa mahitaji ya huko site mitaani.

Katiba iliyopo inayo mapungufu yake lakini sio kipaumbele cha wananchi kwa sasa.

Katiba wanaililia wale wanaotaka upenyo wa kuingia IKULU kwa maslahi yao kisiasa.

Wananchi wana kero kadhaa ambazo zinawezekana kurekebishwa hata kwa vifungu vyenye kero kwenye katiba ya sasa vinapoweza kupelekwa bungeni na kufanyiwa marekebisho.

Wakati tukisubiri mchakato mkuu kwa kutekelezwa.
 
Umetumia element gani kusena wengi na wachache?

Hizi ni porojo tu za wana Lumumba!
 
Umetumia element gani kusema wengi na wachache?

Huyo mtu mmoja ni yupi na hao unaowaita umma ni wapi?

Ni wapi uliona bango la kuomba katiba mpya kwenye kampeni zilizoisha 2020?

Katiba ni takwa la kisiasa zaidi kuliko uhalisia wa mahitaji ya huko site mitaani.

Katiba iliyopo inayo mapungufu yake lakini sio kipaumbele cha wananchi kwa sasa.

Katiba wanaililia wale wanaotaka upenyo wa kuingia IKULU kwa maslahi yao kisiasa.

Wananchi wana kero kadhaa ambazo zinawezekana kurekebishwa hata kwa vifungu vyenye kero kwenye katiba ya sasa vinapoweza kupelekwa bungeni na kufanyiwa marekebisho.

Wakati tukisubiri mchakato mkuu kwa kutekelezwa.
Mku usitusemee tuuache muda useme wenyewe
 
Ni kweli na hakuna anaebisha ila tusimpe Rais deadline ya mchakato…ikimpendeza anaweza akauzindua tena 2028 kuelekea uchaguzi wa 2030…mbona sie kwa hiyari yetu tulimwambia Jakaya inatosha aache kihele hele mchakato wa Katiba usimame na utaendelezwa na Rais ajae nae akakubali bila kinyongo

Tuvute subira …Ridh 1 ataendeleza alipoishia Mzee wake Inshallah…
KATIBA MPYA NI LAZIMA
 
Mnataka msuse mtoke tena Bungeni

Bunge la Katiba la nini wakati hamtaki Rasimu ya Warioba kirekebishwa…si Mseme Rasimu ya Warioba ipigiwe kura ya kuwa Katiba?

Baada ya sensa endapo IPO dhamira ya dhati liundwe Bunge maalumu lenye idadi ndogo iwezekanavyo chini ya 100;Waanzie alipoishia Jaji Warioba.
Wajumbe viongozi wa dini; Wataaluma sheria; Majaji waastaafu.
 
Baada ya jana kupokea ile taarifa ya KAMATI ambayo KWA mawazo yangu wanakamati wameandika kile unachopenda kusikia na kukiona nikaona ni bora nikuandikie KWA mara nyingine KWA mstakabali wa afya ya siasa zako Baada ya kushika hatamu.

Ni bora jana ungezindua rasmi mchakato wa katiba mpya na ungeanza uteuzi wa bunge pole pole hata miezi minne Hadi mitano mbele Ili kuonyesha nia ya dhati uliyonayo ya kupata katiba mpya kabla ya mwaka wa uchaguzi Na ungejitetea hata KWA kusema bajeti haitoshi KWANI kuna zoezi la sensa na kulipa mafao na miradi mikubwa ya maendeleo hii ingekuwa mileage ya kisiasa nchini kuliko hicho ulichofanya jana KWANI kimewaonyesha rasmi wale wliokupa maelekezo ya unyenyekevu kuwa huna nia ya dhati ya kutupatia katiba kinyume na maelekezo yao kuwa mchakato wa katiba ungeanza kuandika mwaka Huu na utaonekana kukiuka maagizo hivyo wakaanza mipango yao

Nakazia kuwa aliekushauri kuufuta mchakato Hadi Baada ya uchaguzi hakutakii mema na anakuumiza kisiasa na kukosa uungwaji mkono na wale wliokupa maagizo ya nini cha kufanya!! Ungeurefusha mchakato Hadi 2024 walau na maridhiano yangefanyika ndani ya Bunge hilo jinsi ya kufanya uchaguzi wakati mchakato wa katiba ukiendelea!!ungeandaa vijana wa kuwasha moto ndani ya Bunge na mvutano kuwa mkubwa kuhusu aina ya katiba itakayo pita walau ungepata huruma na compromise kutoka KWA wenye nchi yao Ili kuepusha misuguano mikali ambayo itahataeisha uteuzi wako ndani ya chama

Hakuna Mwanasiasa makini asiejua kuwa ulipewa maagizo ya kuendeleza mchakato huo Hadi uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 uwe chini ya katiba!!Ungezindua mchakato wa katiba ungeungwa mkono hata na wapinzani wako sugu na ungetumia Bunge ku neutralize hoja zao ndani ya Bunge la katiba na siasa zingehamia huko.

Nadhani ungejitwalia ushindi na uungwaji mkono wa watanzania na ungeanza kuitwa majina kama MAMA WA KATIBA MPYA NA DEMOKRASIA NCHINI na ungeliunganisha Taifa liwe na lugha moja na wimbo mmoja!!hapo ndio ungepiga siasa za akili huku Muda ukizidi kwenda Hadi uchaguzi mkuu 2025 ndipo mngefanya maridhiano ya kufanya uchaguzi huku dhamira ya katiba ikiwa ni ajenda muhimu kuelekea uchaguzi ukijinasibu kuwa mchakato unaendelea na hatua za msingi za kunijadili katiba zinaendelea KWA minyukano mikali kama mnavoona enyi wananchi!!Nadhani walau the state wangekuelewa KWA kuwaambia unaendelea kutimiza maelekezo yao nao wangeiona nia njema uliyonayo na kukupa Muda nao ungewaomba wakuunge mkono hapo 2025 Ili umalizie mchakato KWANI umebakia padogo KWA kufanya majumuisho ya kuviunganisha vipengele vilivyojadiliwa Ili vipigiwe kura na wananchi!pia ungewaambia kwamba utafanya majaribio ya serikali ya mseto wa serikali ya 2025-2030 Ili kuonyesha muelekeo mzuri wa katiba mpya!!nadhani hapo ungewagawa the state mawazo yao na kupata jicho la huruma kuliko KUKAIDI wazi kabisa kuwa mchakato ianze Baada ya uchaguzi wa 2025 kitu ambacho kitawaonyesha kuwa umewapuuza na kuwadharau na kupata wazo MOJA tu juu yako na kulifanyia KAZI KWA ushirikiano wao wa pamoja na sio kama ungewagawa kisaikolojia na kuwawekea mawazo kinzani wao KWA wao na ungepita KWA mtelezo Sana kuelekea ikulu hapo 2025 kuliko Sasa umeruhusu upinzani wakweli wafanye siasa huru nje ya Bunge ambapo wakina Lema na Lisu wakija watakupasua kisiasa na kuonekana mwenye Uchu wa madaraka KWA kung'ang'ania katiba mbovu inayopigiwa kelele

Nachelewa kukuambia mama kuwa Ikulu uliingia Kwa style ya kipekee na wewe ungeonyesha upekee wako hata wa kinafiki kuwa hupendi madaraka hata kama unayapenda KWA kuanzisha mchakato wa muda mrefu wa Bunge la katiba!pia ikumbukwe kwamba ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri wakubwa kiuchumi bali tuwe matajiri wa kupendwa na watu na kujivunia na kuwa kumbu kumbu vichwani kwao!!!ukishupaza shingo kama watangulizi wako itakushushia heshima kwani Zama hizi ni za katiba mpya na hazikwepeki namna pekee ni kukubaliana na ukweli na kuanzisha kile wanacho kutaka na ku buy time Ili mambo yaende sawa na fikra za Sasa

Nakazia kukuambia kwamba waliokushauri kusitisha mchakato wa katiba hata kama ni Baba wa Raisi au mtu wa karibu hajakutakia mema zaidi ya kukuzika kisiasa na upotee kabisa kwenye ramani ya siasa zetu

Nakukumbusha kuwa Mwendazake katufundisha kuwa Raisi sio msemaji wa mwisho wa KILA kitu bali kuna taasisi nyeti kabisa inayoratibu kesho ya viongozi wetu na wewe hajafikia hata robo ya uthubutu wa Mwendazake kimaamuzi wala ki hofu na kuogopwa kule alipokuwa akiogopwa

Nenda kwenye chumba chako cha siri halafu kafumbe macho ujiulize kwamba je una nguvu za kufanya lolota lile unalotaka hata hakuna Taasisi nyingine yenye nguvu kuliko wewe!!!?? Ukipata majibu FANYA ninachokuagiza ukiona una nguvu Sana tena kuliko yeyote hapa nchini endelea tu na kile ulichopanga japo sioni kimbele!!!!!

Nachelewa kusema mimi ni mnyenyekevu wa Asili tena mkweli nisie na mawaa tena naamini ikulu hatuingii Ili tuwe matajiri mapesa bali utajiri wa heshima na kuishi ndani ya mioyo ya watanzania!!!Naamini ipo siku nitawaonyesha kuwa vitendo Namna ya kuishi unapokuwa ikulu na jinsi ya kuiachia ikulu tena mwenye furaha tele!!

Wasalaam ni mimi mlipa kodi mzalendo wa hapa nchini!!

Mungu akubariki!!!

Hakuna ela ya kufanya hayo mambo, ela zinaenda kwenye Kilimo na maji, kama nyie mna hela yy Hana shida
 
Baada ya sensa endapo IPO dhamira ya dhati liundwe Bunge maalumu lenye idadi ndogo iwezekanavyo chini ya 100;Waanzie alipoishia Jaji Warioba.
Wajumbe viongozi wa dini; Wataaluma sheria; Majaji waastaafu.

Ela za kuwalipa posho hakuna
 
Mkuu umenichekesha Sana kwamba Riz one ataendeleza mchakato!!!?

Back
Top Bottom