Waziri Biteko kauanza mwaka vizuri

PendoLyimo

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
879
956
Wakuu habari,

Aisee nimeona tu nimpongeze Dkt. Biteko waziri wa madini, Hakika hu mwaka ameunza vizuri sana.

Minada ya Madini ya vito sasa kuanzishwa, kulikuwa na kilio kikubwa sana kwa wafanyabiashara wa Madini kuhusu hi minada, kilio waziri kakisikia na sasa kufanyiwa kazi.
IMG-20230106-WA0075.jpg
 
Back
Top Bottom