Mkuu wa Mkoa wa Songwe Waziri Kindamba kuongoza maombi maalumu ya kumuombea Rais Samia na taifa

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,071
9,476
Ndugu Zangu Watanzania,

Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.

Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.

Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.

Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.

Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.

Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
 
Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye,wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania,ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.

Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda , kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo. Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Wanyiha wenzako ni watu wa maombi na kazi, iwe kazi haramu au halali, tumugoje/ tumuleshe au kilimo.
Amka kutoka usingizini, umevamia mtumbwi wa vibwengo.

Uchawa waachie watu wa Kigoma
 
😆😆😆😆😆 Nitaendelea kumsemea na kumuunga mkono mh Rais kwa Yale yote anayoyafanya katika kututumikia watanzania,Nina haki hiyo kwa kuwa nilimpigia kura na kumtafutia Kura mitaani katika uchaguzi mkuu ulio pita,
 
Bahasha za khaki nazo zitatolewa, au mtaleta usanii wa kugawana wwnyewe kwa wenyewe?

Au mnategemea watu watatumia hela zao za mifukoni, kufika huko kwenye hayo maombi yenu?
😆😆😆 Naona unapenda Sana bahasha za kaki,Sisi wanasongwe chini ya mkuu wa mkoa wetu Tunamfanyia maombi Rais wetu na siyo kugawana Bahasha,Hata wewe ulipo na kwa Imani yako unaweza kuunga mkono na kumfanyia maombi Rais wetu
 
Najua bahasha zitakuwepo. Hivyo wakati wa kuzigawa, tujulishane. Na mimi nitakuja kuchukua bahasha yangu ya khaki.
 
Huku Ni maombi tu hakuna Bahasha Bali no Upendo na moyo wa shukurani kwa Rais wetu kwa kazi kubwa na ya kipekee anayoifanya kututumikia na kujitolea Kama zawadi kwetu watanzania,Ndio maana Tumeona Tumwombee Rais wetu
 
Kama kawaida yako
IMG-20230104-WA0005.jpg
 
Ndugu Zangu Watanzania,

Mkoa Wa Songwe unaoongozwa na mh Waziri Kindamba unafanya maombi maalumu ya kumuombea mh Rais wetu mpendwa Mama Samia Suluhu Hassan pamoja na Taifa letu,Mkoa wa songwe kwa kutambua kazi kubwa na ya kutukuka iliyofanywa na mh mama Samia umeona umuhimu wa kumwomba Mwenyezi Mungu ili Amlinde Na kumpigania mh Rais wetu.

Taarifa hizo za kumfanyia maombi maalumu Rais wetu Zimewagusa Sana wananchi mtaani, wamefurahishwa na uamuzi na hatua hiyo, wameunga mkono na kumpongeza mkuu wa mkoa.

Wananchi wanasema hakika Rais wetu Anastahili kuombewa na kila mtanzania mzalendo,Anastahili kutiwa moyo na faraja kwa kazi kubwa na ya kizalendo anayoifanya,Anastahili kuombewa ulinzi wa Mwenyezi MUNGU kuwa naye wakati wote,Anastahili kuungwa mkono na kupewa ushirikiano.

Rais Samia Anaendelea kupenya na kukuta katika mioyo ya watanzania, Anaendelea Kuiteka Mioyo ya watanzania ambao wanaendelea kuhitaji utumishi wake na Kuendelea kutumikiwa Naye, wanahitaji kuwa naye kwa kuwa ameonyesha dhamira ya dhati na uzalendo wa kweli katika kuwatumikia, ameonyesha upendo na usikivu kwa watanzania, ameonyesha kuhitaji kujenga Taifa lililo moja na lenye maridhiano na mshikamano wa kitaifa.

Nami Lucas Mwashambwa Nawaombeni watanzania wenzangu Tuendelee kumwombea Rais wetu Afya njema na nguvu za Kuendelea kututumikia, Tuendelee kumwomba Mwenyezi MUNGU Aendelee kumlimda, kumpigania na kumtetea Rais wetu katika majukumu yake ya Urais, Mwenyezi MUNGU Aendelee kusimama na Rais wetu popote Alipo.

Mwenyezi Mungu asiwape nafasi maadui wanaotaka kumkwamisha Rais wetu katika kututumikia watanzania.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu. 0742-676627
Ni sawa wasababu hawa wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya hawana kazi,hivyo kujitafutia kazi ambazo hazina tija si jambo baya.
 
Back
Top Bottom