Diwani kata ya Mzimuni wilayani Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Manfred Lyoto amepongezwa na kamati ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata hiyo kwa kujitolea kuwalipa posho watumishi wa afya...
Ndugu zanguni hodi hodi tunaingia. Sasa tunakuja kwa nguvu mpya. Kamanda Mbobezi mwenye uwezo mwingi na nguvu nyingi asiyechoka na hoja za ukweli anaingia.
Sio mwingine ni Kijana Jeuri, mjuaji...
Watanzania wa umri wangu kurudi nyuma, wote kwa wakati fulani tuliwahi kuwa wanachama wa CCM, iwe kwa kutaka au bila hiari, kwa kujiunga au kuungishwa, kwa kuelewa au bila ya kuelewa.
Nikiwa...
Moja ya jambo muhimu katik biashara ni upekee wa bidhaa yako. Watu hawaji kununua kwako bidhaa au huduma kwa sababu ya huruma, ni kwa sababu una kitu wanachohitaji na unakitoa kwa ubora kuliko...
TAARIFA KWA UMMA.
MWENYEKITI WA CHAMA CHA MAPINDUZI TAIFA NA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA NDG. SAMIA SULUHU HASSAN KUONGOZA VIKAO MAALUM VYA UONGOZI WA CCM NGAZI YA TAIFA...
Sekeseke la kisiasa limeanza kuibuka tena baada ya mikutano ya kisiasa ya hadhara kuruhusiwa. Moja ya mambo ambayo hayaepukiki katika siasa na ambayo ni mbinu nzuri ya uhamasishaji ni maandamano...
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS)...
Nilikuwa nasoma ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) iliyowakilishwa kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa January 2014. Ripoti...
Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya), inaelekea kutimia.
Baada ya kuzitawala Uganda...
Kukopa siyo jambo baya, jambo baya unakopa kufanyia nini na unapokopa ina maana unakopesheka. Spika Ndugai ni mtu mwenye uwezo, hajataka kujua hizi fedha zilizokopwa zipoje.
Kwa mara ya kwanza...
▶️Ni kweli kabisa kuwa, katika Sekta ya Elimu serikali imeelekeza nguvu kubwa sana kwenye ujenzi wa madarasa katika Elimu msingi na Sekondari na vyuo vya kati na kuyaacha au kusahau maeneo mengine...
Nchi yetu ni masikini lakini ina utajiri mkubwa wa maliasili,lakini Je maliasili zetu zinaweka ugali mezani kwenye familia ngapi nchini? Je maliasili zetu zinatusaidia vipi kwenye kuondoa...
Twende moja kwa moja kwenye Mada
Robert Heriel achukuwe Fomu yeyote ili katika Uchaguzi unaokuja 2025.
Amejaa shehena, ana kipaji, anaaminika, ni Baba, ni Mkulima, ni mpiga Karate, Ni...
Muktasari:
Ndani ya mwaka mmoja na miezi mitano Halmashauri ya Wilaya ya Rufiji mkoani Pwani imefanikiwa kuweka miundombinu mbalimbali itakayosaidia kuboresha elimu wilayani humo kwa shule za...
DC Muro aongoza timu kumaliza mgogoro wa ardhi wa miaka 18 Ikungi.
Mkuu wa wilaya ya Ikungi Mhe. Jerry C. Muro pamoja na viongozi wa kata ya Irisya wakiongozwa na mwenyekiti wa halmashauri ya...
Sugu anasema kwamba Tanzania sasa imekua salama sio kama zamani matukio ya kutisha hayapo tena democrasia imerejea chini ya Rais Samia Suluhu hakika tutafika mbali maana naona upinzania wameanza...
Habari wana JF, Tanzania tangu kupata uhuru imetawaliwa na viongozi wengi sana lakini changamoto za watanzania ni zile zile .
lakini kiuhalisia kwa nchi kama Tanzania yenye vyanzo mbali mbali vya...
Hii ndio Taarifa iliyotufikia hivi punde, kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema upande wa Tanganyika Mh Tundu Lissu ambaye yuko uhamishoni Belgium, baada ya kukimbia kuuawa nchini Tanzania, kesho...
Vipeperushi vyenye maneno ya uchochezi vyamwagwa kisiwani Unguja, vinavyowataka wale viliowaita ''machotara au Hizbu', na wanaoishi kwenye kisiwa hicho wahame kwa usalama wao. Vikiwatuhumu kutaka...
Katika kuhakikisha Amani na utulivu nchini Tanzania inazidi kutawala, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajitoa kindaki ndaki na kuwa mfano bora katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.