Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Vipeperushi vyenye maneno ya uchochezi vyamwagwa kisiwani Unguja, vinavyowataka wale viliowaita ''machotara au Hizbu', na wanaoishi kwenye kisiwa hicho wahame kwa usalama wao. Vikiwatuhumu kutaka...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Katika kuhakikisha Amani na utulivu nchini Tanzania inazidi kutawala, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anajitoa kindaki ndaki na kuwa mfano bora katika...
2 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu Jamaa anafanya kazi sana Naibu Waziri Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Dkt. Festo J. Dugange(Mb) amemsimamisha kazi Kaimu Mhandisi wa Wilaya ya Bunda, Timothy Mwajara na amewata Mkurungenzi Bi...
1 Reactions
1 Replies
899 Views
Nassary alikuwa kijana machachari Sana kutoka huko Arusha, alikuwa anajenga hoja na kusimamia serikali. Toka nimwone jukwaani akimnadi JPM sijawahi kimwona tena sijui kama yupo nchini au anafanya...
2 Reactions
4 Replies
730 Views
Sio kwa ubaya ila hakuna wakati Magari mapya ya Serikali yamezagaaa mtaani kama wakati huu, niko Arusha kila nikata kona na kutana na STM tena V8 tu na pia Land Cruser Hard Top, kama ni kumwagwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu habarini. Mama Samia shikamoo, pia nakusalimu Kwa jina la JMT. Mama, Umeruhusu mikutano ya hadhara kuendelea ni jambo kubwa.Unaendelea kuwafariji watanzania Kwa Kila jambo...
1 Reactions
4 Replies
578 Views
Gazeti la raia mwema la leo limekuja na habari nzito kuelezea namna madini ya Tanzanite yanavyoibiwa na kutoroshwa hadharani ,huku nchi ya Kenya ikitajwa kuongoza kwenye utorashaji huo.
8 Reactions
193 Replies
11K Views
Kitendo cha kujiingiza kwenye siasa na mwisho wa siku kuwa Mwanasiasa ni kukubali kuwa kibaraka na mtumishi wa shetani. Hawa wanasiasa wanaogopesha sana hasa hawa wakwetu wana balaa sana...
3 Reactions
12 Replies
925 Views
CCM ni tatizo! Kuna tetesi kwamba ile ndege haijazuiwa kama tunavyosikia.Bali ni mpango mahsusi uliopangwa na unaendelea kimkakati kutaka kuiuza. Na si hiyo tu,bali kuna vigogo wamejipanga...
19 Reactions
94 Replies
5K Views
KIKAO CHA MBUNGE WA JIMBO NA WAKUU WA SHULE (HEADMASTERS) ZA MUSOMA VIJIJINI Jimbo la Musoma Vijijini lenye Kata 21 lina jumla ya Sekondari 27 ambazo: Shule za Sekondari 25 ni za Kata/Serikali...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa. Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini...
2 Reactions
10 Replies
781 Views
Mgombea wa Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mhe. Tundu Antipas Lissu amewaambia wana-Kagera wazi kuwa RAIS anayekula Rambirambi hafai kuwa Rais. Mhe. Lissu alikuwa akiwakumbusha Wana Kagera...
67 Reactions
194 Replies
16K Views
MILIONI 200 ZAJENGA MADARASA LUDEWA, KAMATI YA SIASA YAPITA KIKAGUA Ikiwa tunaelekea mwezi Januari mwezi ambao wanafunzi huripoti shuleni kuanza na kuendelea na masomo yao, kamati ya siasa wilaya...
0 Reactions
0 Replies
514 Views
Chama cha ACT Wazalendo kimeshinda kesi dhidi ya CUF visiwani Zanzibar. Ni kesi iliyohusu madai ya CUF kuwa baadhi ya majengo yanayotumiwa na ACT Wazalendo ni mali ya CUF. Mahakama Kuu yaweka...
1 Reactions
2 Replies
750 Views
Hivi, viongozi wanavyosema kila siku vijana wajiajiri, kuna hata mmoja anaesema hayo, amejiajiri? Mie, nafikiri wanatumia neno kujiajiri vibaya, mfano: Juzi katambi kasema vijana jitoleeni...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
Ni wajibu wa viongozi kutekeleza majukumu waliyokabidhiwa ili kuwaletea maendeleo Watanzania, pale inapotokea Viongozi hawa wamefanya jambo nzuri ambalo yawezekana sehemu nyingine hawajafanya kwa...
4 Reactions
11 Replies
888 Views
Rais Magufuli leo amefanya ziara Wilayani Missenyi ili kujionea athari za tetemeko la ardhi lililoukumba mkoa wa Kagera. Rais akiongea kwa ujasiri amesema kuwa hili tetemeko limeipiga serikali...
14 Reactions
220 Replies
28K Views
Miaka miwili tu; ☞Sumaye amenyang'anywa mashamba ☞Bomoa bomoa isiyokuwa na moyo wala sheria imewaumiza mamia ya watanzania. ☞Wabakaji wa watoto wameachiwa mtaani ☞Mbowe amenyang'anywa Club na...
4 Reactions
28 Replies
3K Views
Hello Mapinduzi Day. Kwa kauli hii, Musukuma anaongea kama nani? Tamisemi wanawategaje?👇 === Wabunge Mkoani Geita wamemuomba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutazama...
5 Reactions
36 Replies
3K Views
Gthinkers wasalaam, Aliyekuwa mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe David Zacharia Kafulila ameandika haya katika ukurasa wake wa Twitter. Ukweli ni kwamba bei ya mafuta imeshuka sana Tanzania japo...
14 Reactions
108 Replies
8K Views
Back
Top Bottom