Kibo10
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 11,278
- 8,868
Vipeperushi vyenye maneno ya uchochezi vyamwagwa kisiwani Unguja, vinavyowataka wale viliowaita ''machotara au Hizbu', na wanaoishi kwenye kisiwa hicho wahame kwa usalama wao. Vikiwatuhumu kutaka kuvuruga uchaguzi wa marudio wa Machi 20.
Source😀W Swahili
Vipeperushi vya uchochezi vyamwagwa Unguja | Mada zote | DW.COM | 11.03.2016
Source😀W Swahili
Vipeperushi vya uchochezi vyamwagwa Unguja | Mada zote | DW.COM | 11.03.2016