Katibu wa Itikadi na Uenezi CCM Ndg. Shaka Hamdu Shaka ametoa heshima kwenye kaburi la Rais wa awamu ya tatu Benjamin William Mkapa huko Lupaso.
Mhe Shaka Hamdu Shaka yuko mkoani Mtwara kwa ziara...
Na WyEST
Masasi, MTWARA
Wito umetolewa kwa wazazi wenye watoto wenye mahitaji maalum kutowaficha watoto ndani badala yake wawapeleke shule kwa kuwa zipo shule maalum kwa ajili ya watoto hao...
Asanteni wazungu juu yahili, naombea liwe ni kweli.
Tulikuwa watoto mpaka tunataka kuzeeka, hatujawahi kuona nafuu ya maisha chini ya serikali inayoongozwa na ccm miaka zaidi ya 60.
Maji tu...
CCM walipandikiza sana watu wao ndani ya vyama vingi vya upinzani wakati wa chaguzi zao sasa ni zamu ya CCM kupandikiziwa virus ndani ya uchaguzi wao.
Nategemea kuona 2024 CCM ikipoteza mitaa...
Huu unaweza kuwa ni ufundi au ustadi wa kutunza siri, jambo ambalo linatoa picha kuwa CCM ya sasa ni Imara sana.
Ngome za Rais Samia ni ngumu kuzitabiria matokeo kwa kile wanachokipanga hapo...
Asalaam!
Ndugu wana jf, tafadhari nina mpango wa kuanzisha chama cha siasa nisaidieni, nipate kifupi cha hayo maneno hapo juu. Naogopa kubanwa na Msajili wa vyama vya siasa nchini. Chama Cha...
Siku chache mara baada ya katibu wa Ccm Mkoa wa kilimanjaro Jonathan Mabiya kumnyang'anya bwa Mwita mgahawa wake na kisha kupangisha eneo la mfanyabiashara kinyamera amefanya tukio lingine ambapo...
Katibu wangu mkoa wa Katavi chama Cha Demokrasia na maendeleo, CHADEMA mm DEUS JOSOPHATH KAMOJA ambaye ni katibu wa chadema wilaya ya mlele.
Kwaheshima naomba kukutaarifu kuwa nimeamua kupumzika...
Watu sasa hivi wameamua kuzigeuza ofisi za umma kuwa mali yao au familia zao.
Tazameni huyu meya kituko alichokifanya ndani ya ofisi za umma.
Mshahar wake unatokana na kodi za wananchi wote wa...
Wadau wa utalii wamejitahidi sana kutetea hoja ya matumizi ya raslimali za nchi.
Hoja zangu ni hivi, inatia moyo kuona wananchi wako macho juu ya rasilimali za Taifa tofauti na huko nyuma.
1...
Chama kina vijana wengi tu ila hawajapata mtu wa kuwaona, kuanzia vijijini, mijini, vyuoni, Ofisi za umma.
Nashauri Chongolo awe na mkakati maalum wa kuwa na mijadala na vijana, yeye au maafisa...
Tunataka mamlaka hii iwebora na inakuwa katika viwango vya kimataifa kuendana sawa na mamlaka zingine katika Jumuiya ya Afrika Mashariki kwani imepewa majukumu makubwa ya kusimamia mapato ya...
Ndg zangu,
Ningependa kumshukuru MwenyeEnzi Mungu kwa nafasi ya kuona na kujifunza Tanzania.
Pia kwa mujibu wa imani zote upagani na dini mapokeo zote zinatamka laana ni mikosi na matukio mabaya...
Amani iwe nanyi,
Awali ya yote napenda kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kutujalia afya njema, amani, upendo, umoja na mshikamano kwa taifa letu. Ni mengi makuu Mungu ametenda maishani mwetu...
Kimsingi Tanzania haina Mahakama, kwa maana halisi ya Mahakama kama chombo huru kinachojitegemea kilichowekwa na umma kwaajili ya kusimamia haki.
Kinachoitwa Mahakama, kwa Tanzania, ni idara tu...
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo.
====
Katibu CCM asimamishwa kwa...
Wana Jamvi,
Chadema imejiandaa vizuri kupata mrithi wa kiti cha ubunge Muleba kusini, Ni msomi mchumi ambaye anaweza kuleta mapinduzi ya kiuchumi kwenye wilaya ya Muleba ambayo hivi karibuni...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe...
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema CPA Ruge amemshangaa mwenyekiti wa UWT mama Hangaya aliyedai anaipenda CCM kuliko anavyowapenda Watoto wake
Ruge kupitia twitter account yake amesema huyu mama...
Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi.
Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.