Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo Jumamosi tarehe...
Mjumbe wa kamati Kuu ya Chadema CPA Ruge amemshangaa mwenyekiti wa UWT mama Hangaya aliyedai anaipenda CCM kuliko anavyowapenda Watoto wake
Ruge kupitia twitter account yake amesema huyu mama...
Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi.
Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan...
Haipo haja tena ya kuendelea kuwataka hawa jamaa kuridhia uchunguzi huru. Ni wazi kuwa hawautaki kwa maana pasipo na shaka yoyote utawaumbua na pia ni wazi kuwa hawatakaa waridhie kwa maana...
Mh. Magufuli kwa mara kadhaa umekuwa na kauli tata ambazo wanaokutakia mema wamekuwa wakikuasa from time to time kuwa ni busara kuwa na akiba ya maneno. Ya kuwa u rais una deserve kauli bora zaidi...
Wanabodi,
Miradi ya maendeleo ya serikali ya awamu ya sita inafanywa kwa dhumuni la kuwasaidia wananchi na kutuvusha kutoka kwenye hali tuliyonayo sasa hivi kuelekea kwenye hali nzuri zaidi. Siku...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan ameongoza kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa kilichofanyika leo...
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba , tarehe 14/01/2023 kwenye ukumbi wa Karimjee , Jijini DSM , kutafanyika Uzinduzi Kabambe wa kile kinachoitwa CHAWA WA MAMA .
Taarifa iliyosambazwa kwa vyombo vya...
Pesa za umma zinaliwa huku wananchi wakiteswa na tozo.
==
Ujenzi wa kivuko cha Mv Kazi uligharimu Sh7.3 bilioni na kina uwezo wa kubeba abiria 800 na magari 22 sawa na jumla ya tani 170...
MBUNGE wa Singida Mashariki Miraji Mtaturu, Januari 13 2023,amefanya ziara kijiji cha Msula Kata ya Misughaa na kukagua miradi minne ya maendeleo inayotekelezwa kwenye kijiji hicho.
Katika ziara...
Katibu wa NEC- Itikadi na Uenezi wa CCM Ndugu Shaka Hamdu Shaka leo Jumamosi Januari 14, 2023 Saa 11 Jioni atakuwa na Mkutano na Waandishi wa Habari katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM...
1. Lijengwe jukwaa la mtandao ambalo watanzania wengi wanaweza kujiandikisha kupitia nyaraka mbalimbali. Jukwaa hili litasaidia sana kukusanya mawazo ya watu wengi wenye uchu wa maendeleo na...
Huyu Bwana kwa hakika ndiye tatizo kubwa Kwa Rais Samia na CCM yake.
Ametangaza kuwa, Sasa anarudi nchini kwake baada ya kukaa uhamishoni nchini Ubelgiji kwa takribani miaka karibu 6 Ssasa.
Tena...
Mtu mmoja tu kutoka CCM aliamua kuwa hataki kuona mpinzani yeyote akishinda uchaguzi 2020 na ikawa! Mtu mmoja tu aliamua wabunge 19 wa CHADEMA waapishwe bila ridhaa ya chama chao na ikawa.
Je...
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda amepiga marufuku watu wachafu kuonekana mitaani hasa wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika...
Leo, Rais Samia Suluhu Hassan ameshiriki kilele cha matembezi maalum ya UVCCM ya kuadhimisha miaka 59 ya Mapinduzi Zanzibar ambapo katika sehemu ya hotuba yake amewasisitiza vijana wa UVCCM...
Ni Msimu Wa siasa ndivyo tunavyoweza kusema, tangu mikutano ya hadhara ipigwe marufuku ni muda mrefu Sana.
Lakini sasa busara imetumika kuruhusu siasa za majukwaani kuanza.
Nasukumwa na...
Uzinduzi wa vijana wa vurugu au kwa jina la kisasa chawa watakaotumika kuwavaa watu wa upinzani hautaishia Dar es Salaam pekee,
Meya wa jiji la Dar es Salaam anatumika kama chambo tu kuzindua...
Mimi ni CCM lia lia, lakini ukweli usemwe tusisubiri watu wafe ndio tuwasifie ni unafiki kiwango cha lami.
Kumsifia mtu akiwa hai sio dhambi na kumkosoa marehemu pia sio dhambi japo ki Africa...
Kuna mwanafalsa mmoja wa kiingereza aliwahi kusema "To be or not to be that is question" hivi ndivyo ambavyo wanachadema tunaposhindwa au ndivyo tunavyoweweseka kuimba Ile nyimbo yetu Pendwa ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.