Jumuiya ya Afrika Mashariki kuvunjika, uroho wa madaraka wa Museveni na Kagame vyaiponza

CASTRO MAO

Member
Jan 30, 2013
15
32
Ndoto ya siku nyingi ya Wanyarwanda (Watusi) ya KUTEKA na KUTAWALA eneo lote la Maziwa makuu (DRC, Uganda, Rwanda, Burundi, TZ na Kenya), inaelekea kutimia.

Baada ya kuzitawala Uganda (Gen.Yoweri K. Mseveni), Rwanda (Gen. Paul Kagame) na DRC (Gen. Hypolite Adrian Christophe Kanambe a.k.a Joseph Kabila ambaye ni ndugu wa damu wa Mkuu wa Majeshi ya P. Kagame yaani James Kabarebe).

Sasa Madikteta hao 3 wa maziwa makuu wako hatua za mwisho za kuivamia TZ aidha Kijeshi kama walivyochukua madaraka ya nchi hizo au kiujanja kupitia rushwa wanazowahonga viongozi wetu na kujikuta wakiwagawia vyeo sekta vyeti za maofisa wa TISS, Ofisi za mawaziri, na hata Ikulu eti wengine ndio washauri na walinzi wa Marais wetu, Uhamiaji, TRA, TBS, Polisi, Magereza, JWTZ nk, ardhi wanapewa kama njugu hidi ekari 500, hivyokujikuta TZ ikichukuliwa bila jasho.

Kila kukicha tunashuhudia watu wanaozikosoa serikali wanavyopigwa / kuuawa /kubambikiziwa kesi na polisi katika nchi zote hizo na TZ ikiwemo, Uganda (Kiza Besige), Rwanda (Victoire Ingabire) na TZ Viongozi wa upinzani hasa CDM na CUF na kwa watetezi wa wanyonge Msitu wa Mabwepande ni kiboko yao, hawa ndio mkobozi na tegemeo la wananchi wa nchi hizo, Hii ni kwasababu maofisa polisi nchi zote hizi lao ni moja kukuza (Himaya ya watusi) kwa TZ maofisa polisi wazalendo ni wachache zaidi 80% wananuka rushwa na wengine ndio hao wenye asili ya Kagame na wengine ni shame sake Kagame (wameoa wanyarwanda), ndio maana serikali ya TZ na mipango yake iko uchi mbele ya Kagame na Mseveni, mipango iayopangwa Dar es salaam inafika Kigali na Kampala ndani ya masaa 24.

UPANUAJI WA HIMAYA YA WATUSI AFRIKA MASHARIKI NA KATI

Madikteta hawa 3 wa eneo la maziwa makuu Y.Museveni, P. Kagame na J.Kabila waliandaliwa nchini TZ chini ya uongozi wa J.K.Nyerere kwa nyakati tofauti-tofauti ndio maana 85% ya walinzi wa J.K. Nyerere walikuwa Wanyarwanda (watusi). 1959 Tanganyika ilipokea wakimbizi wa Kinyarwanda kutoka Rwanda na kuwapeleka kambini Mwese wilayani Mpanda, 1978 wakimbizi hao wa Kinyarwanda walipewa uraia wa TZ ikiwa ni baada ya miaka 19 tu ya ukimbizi wao, wanyarwanda hao walisambazwa nchi nzima, wakiwa kambini mwese walipewa huduma zote muhimu kama elimu, afya nk serikali ya CCM ilitumia rasilimali za TZ kuwasomesha ikiwa ni hatua muhimu ya kuwaandaa kwa ajili ya kurudi Rwanda kuitawala.

RPF waliandaliwa vizuri TZ, Rais P. Kagame alisomea na kuandaliwa nchini na mafunzo ya kijeshi pia kapatia TZ.Mnyarwanda J.Kabila rais wa sasa DRC amesomea na kusomeshwa TZ, amesomea pia Chuo cha Maofisa wa Jeshi Monduli (Arusha-TZ)1972 kwa shingo upande Tz ilipokea wakimbizi wa kihutu kutoka Burundi na Rwanda, hii ilikuwa baada ya J.Nyerere kuwakataa, aliwapokea baada ya tamko la rais wa Kenya muda huo J. Kenyatta kutangazia dunia kuwa kama Nyerere hawataki atatuma ndege kuwapeleka Kenya Nyerere ikabidi tu awapokee.

Wahutu hao wamepewa uraia wa TZ 2012 ikiwa ni baada ya miaka 40 ya ukimbizi wao, hawa wao hawajasambazwa nchi nzima,-hawa hawakuandaliwa kurudi kuchukua madaraka ya nchi zao, elimu mwisho darasa la 7, sekondali kidato 1-4 vimejengwa makambini mwao miaka 1998 baada ya Kagame kuichukua Rwanda na kuanza uvamizi DRC, kabla ya hapo hata waliokuwa wakifaulu kuendelea na elimu ya sekondari majina yao wakuu wa shule za misingi makambini (watanzania na wengine wanyarwanda) walikuwa wakiyauza.-wamekuwa wakisingiziwa eti ni waharibifu wa mazingira (wanakata miti ovyo, wawindaji haramu katika hifadhi za Katavi)

Swali;
1) wanyarwanda miaka hiyo 19 hawakukata miti yeyote?
2) Ikiwa serikali ya TZ iliwapiga marufuku kujihusisha na shughuli zozote za kisiasa bunduki za kuwindia wanyama wanazitoa wapi?Ukweli- wameiingizia TZ fedha nyingi kutokana na kilimo chao cha tumbaku.RPF ya Kagame kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort, inatekeleza mauaji ya wahutu wote wasomi eti ndio waliosababisha genocide 1994.

Rwanda genocide/mauaji ya halaiki 1994 Rwanda ina makabila 3,wahutu 85%, watusi 14% na watwa 1%,tangu mwanzo baada ya watusi kufika Rwanda 1500 walilazimisha kuwatawala wazawa waliowakuta (watwa na wahutu) kwani watusi wanaamini kuwa waliumbwa kwa ajili ya kutawala na makabila mengine yapo ili yawatumikie wao. Sintifahamu hiyo iliendelea hadi miaka 1950 pale shujaa Gregory Kayibanda (mhutu) alipodai uhuru,1959 watusi kwa dharau wakakimbilia TZ wakikataa kutawaliwa na mhutu mtumwa wao.

1994 watusi hao chini ya RPF ya Kagame akisaidiana na J. Kabila,J. Kabarebe na K.Nyamwasa kipindi hicho Jean Bikomagu (mtusi na kibaraka wa Kagame nchini Burundi) waliivamia Rwanda baada ya kutungua ndege ya rais mteule wa Rwanda Juvenal Habyarima na ujumbe wake wote wakitokea Dar (TZ) kutokea DRC, Burundi,Uganda na TZ. Wahutu wakaamua kujihami kwa kutumia mapanga. ICTR ilianzishwa na Kagame ili azidi kuwamaliza wasomi wa kihutu na ndio maana Kenya iliikataa ICTR katika ardhi yake sababu ni chombo cha kikabila.

ICTR ilikubaliwa kwa sababu Wanyarwanda wana mizizi mirefu katika sarikali ya TZ, na tayari TZ imeshapata hasara ya uwepo wa ICTR katika ardhi yake kwani ni RPF ya Kagame kwa kutumia kikosi chake maalum cha Escadron de la mort iliyomuua Pr.Jwani Mwaikusa mtaalamu mzalendo na mhadhiri wa sheria UDSM, J.Mwaikusa akiwa wakili wa washitakiwa katika ICTR-Arusha alibainisha kuwa mshitakiwa namba 1 ni P.Kagame kwani bila Kagame na RPF waliotungua ndege ya J. Habyalimana rais wa Rwanda 1994 genocide isingekuwepo.

Serikali ya CCM ikafunika kombe mwanaharamu Pr. J. Mwaikusa akafa, akazikwa, akaoza. Serikali ya CCM haikuchukua hatua dhidi ya wauaji wa Mwaikusa kwasababu na yenyewe huwa inatumia kikosi hicho cha Kagame kuua inaodhani kuwa wataiumbua H.Mwakiyembe kweye taarifa aliyoitoa kwa IGP S.Mwema alibainisha kuwa anawindwa auawe na wabaya wake wamewakodi Wanyarwanda, al-shabab na waganda IGP Mwema akauchuna.

Kagame ndie dikteta wa kwanza duniani kuua watu wengi. A.Hitller (Mjerumani) inasemekana aliua Wayahudi milioni tano(5,000,000), Idd Amin (Uganda) inasemekana aliua Waganda laki 3.5 -5, P.Kagame inasemekana ameua watu milioni sita(6,000,00).

Ushahidi
1. Waliouawa 1994 baada ya genocide isingekuwa Kagame isingetokea,
2. Wakimbizi wa kihutu milioni 2.5 waliouawa na J.Kabila, J.Kaberebe na K.Nyamwasa mashariki mwa DRC kwa amri ya Kagame,
3. Mauaji ya Jean Bikomagu nchini Burundi,
4. Mauaji ya Laurent Nkundabatware (Nkunda) na M23 mashariki mwa DRC,
5. Mauaji ya watanzania wanaouawa ovyo mikoa ya Kagera na Kigoma wanyarwanda wanapochungia maelfu ya ng'ombe wa Kagame, Museveni na mawaziri wao,
6. Mauaji na uporaji unaofanywa na wanyarwanda katika pori la Biharamulo. Baada ya dunia kuzishutumu Rwanda na Uganda kuwa nyuma ya M23 na kuomba nchi zijitolee askari kwenda DRC, rais TZ J. Kikwete kupitia waziri wa ushirikiano wa kimataifa B. Membe kutangaza kuwa TZ ipo tayari kutoa askari waende DRC, Kagame na Museveni walisusia tafrija ya wakuu wanchi za jumuiya ya A.Mashariki badala yake walituma wawakilishi.

Ukweli kuhusu ushirikiano wa J.Kabila, P. Kagame na J. Kabila uko wazi, kila mara DRC inapovamiwa na Museveni na Kagame jitihada za Kabila huwa ni usanii tu ili wazidi kuuhadaa ulimwengu,Kabila anakuwa na kigugumizi kuomba msaada wa kijeshi kutoka SADC, AU na UN na hana jitihada za kuomba misaada ya mafunzo ya kijeshi kwa wakongomani wazarendo kutoka mataifa mbalimbali. Uhatari wa kauli ya J. Kikwete kwa TZ, Baada Kikwete kukubali kupeleka kikosi cha Jeshi DRC, Kagame na Museveni wamemuwahi kwakuingiza TZ kikosi cha majasusi wao 1400, 1000 wakiwa wa Kagame na 400 wa Museveni, mbali na hao wamepenyeza askari 35,000 wenye silaha wakiigiza eti ni wachungaji wa ng'ombe katika mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita, idadi ya wanyarwanda (wanyaru) inaongezeka TZ kila anayeenda Rwanda kusalimia anakuja na 2-3,nendeni mjionee au ulizeni wazawa wa mikoa pia waulizeni wakuu wa mikoa hiyo.

Wakati hayo yakiendelea Wizara za Mambo ya ndani na Ulinzi ziko kimya, Ofisi ya Rais kama haioni vile au tuseme wote mmehongwa fedha, ng'ombe maziwa na mabinti wa Kinyarwanda?

MADHARA YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI KWA TANZANIA.
Jumuiya ya kwanza ya A.Mashariki 1967-1977 ilikuwa na nchi 3 (Tanzania, Kenya na Uganda) ilivujika 1977 baada ya marais wan chi hizo Nyerere (TZ), Kenyatta (Kenya) na Amin (Uganda) Nyerere alikataa kukaa meza moja na Rais Amin wa Uganda, kwa sababu Amin alikuwa mwuaji. "Siwezi kuchangia meza moja na mwuaji aliyeloa damu" alitamka Rais Nyerere, ulimwengu wote ukamuunga mkono hata mgomo wake uliposababisha kuvunjika kwa Jumuiya ya A.Mashariki. Je serikali ya CCM haioni kuwa Kagame na Museveni wameloa damu kuliko Amin? Na ni waroho wa madaraka kuliko Amin?

Shilikisho la sasa la A.Mashariki (Rwanda, Burundi, Kenya na TZ)linaelekea kuwa chini ya rais mmoja, na ndio janja ya Watusi kutawala eneo lote la maziwa makuu.Tayari rais Museveni wa Uganda tangu 1986 hadi sasa ametangaza mara nyingi kuwa anafaa na ana haki ya kuwa rais wa kwanza wa Shilikisho la A.Mashariki watanzania tumelala usingizi wa pono, Museveni ameshamuweka mototo wake wa kiume kuwa kamanda wa kikosi maalumu cha ulinzi wa rais (yeye), kaka yake Museveni ndie mkuu wa mjeshi ya Ulinzi ya Uganda.

Kagame nae ameshajiongezea umri wa uchaguzi kutoka alioukuta hadi miaka 7 sasa, pia kuna dalili na fununu za kutosha kuwa anataka aiongoze Rwanda mpaka atakapokufa, kwani anaogopa kushitakiwa kama akistafu. 1999 na 2000 marais 3 Mkapa (TZ), Moi (Kenya) na Museveni (Uganda) walifufua Jumuiya ya A.Mashariki na kuazimia ifikie kuwa shilikisho kamili chini ya rais mmoja kama ilivyo USA. Ikumbukwe kuwa ndoto za Wanyarwanda (Watusi) ni kutawala A.Mashariki kupitia EAC, A.Mashariki na kusini kupitia SADC, Afrika yote kupitia AU ili kutimiza itikadi yao kuwa wameumbwa ili watawale tu.

Kagame juu ya M23 baada ya ulimwengu kumshutumu yeye na Museveni akihutubia Wanyarwanda alisema" Rwanda imeamua kutulia kwanza lakini hakuna nchi hata moja ya SADC Rwanda inayoiogopa"USALAMA WA TANZANIA UKO REHANIKutokana na serikali ya CCM kuabudu rushwa na ufisaidi, Viongozi wa CCM wamelazimisha watanzania kuingia katika shirikisho hilo bila wao wenyewe kuridhika,na Mipaka ya nchi iko wazi bora tungekuwa na vikosi hata mugambo/sungusungu mipakani vingekuwa vinapigana na wavamizi hao Kagera na Kigoma afadhari DRC wao walikuwa na Mai-mai mipakani mwa Uganda na Rwanda ambao walijihahidi kuwakabil wavamizi Kagamena Museveni, mipakani uhamiaji wako usingizini/ rushwa tu na wengine ndio wanyarwanda sasa watawazuia ndugu zao wasiingie?

1) Ardhi wamechukua wanyarwanda kupitia sera ya Kagame na Museveni "Tusi expansionism" ukanda wote wa Afrika mashariki na kati (DRC, Burundi, Rwanda, Uganda, Tz na Kenya). Mikoani Kagera, Kigoma na Geita wanyarwanda wana ardhi ekari hadi 500 mtu mmoja, huku waha, wahaya na wasukuma ambao ni wazawa hawana hata mita 1,waziri wa A.Mashariki S.Sitta ni shahidi 2012 akiwa Kigoma ziarani alisema "kuna wanyarwanda wana hadi ekari 500 mtu mmoja na pia serikali ya TZ imetelekeza mikoa ya mipakani kuliko nchi nyingine za Jumuiya ya A.Mashariki".

2)Ng'ombe wa wanyarwanda wana malisho mazuri mikoa ya Kagera, Kigoma na Geita hii imepelekea wasukuma wakimbilie Mikoa ya Katavi na Rwukwa kwa ajili ya kutafuta malisho ya ng'ombe wao na pia kwa usalama wa maisha yao wote tu mashahidi kilichowahuta wasukuma Buligi wilayani Muleba baada mkuu wa wailya ya Muleba ku-Chukua Chake Mapema milioni 100kutoka kwa wanyarwanda.

3)Ujenzi wa makanisa yao tu mikoani Kigoma, Geita (Katoro CCM) ,Kagera (Butera) na sehemu nyinginezo.

4)Ujenzi wa nyumba za kulala wageni (gest houses) mikoa ya Kagera, Kigoma (Coast View),Geita (‘GK Gest House" Katoro- CCM na Geita mjini) na nyingine nzuri sehemu mbalimbali za mikoa hiyo.5) Wizi, Ujambazi na Uporaji,mwezi wa 1/2013 Gazeti la mwananchi lililipoti kuwa askari wa Jeshi la ulinzi la Rwanda (RPF) liliteka Hiece 5 zilizokuwa zikitokea Ngara na Benako katika pori la Biharamulo abiria walinyang'anywa mali zao zote kasha wakacharazwa viboko.

Wakati hayo na mengine mengi yakitokea serikali ya CCM inaonekana kuridhishwa na hali hiyo wako kimya kama maji mtungini.
1) Serikali ya CCM iko kimya juu ya wavamizi hao wanaomega na kugawana ardhi yetu kama mbwa mwitu wenye njaa wakamatapo swala, vigingi vya mipaka ya Uganda vilishang'olewa, waganda chini ya Dikteta Y. Museveni wanalima na kufuga ng'ombe nchini mwetu.

2) Rais wa awamu ya nne chini ya CCM kipindi cha vuguvugu la katiba mpya aliwahi kusema kuwa haoni tatizo katiba mpya ikiruhusu uraia wa nchi mbili,(ikiwa katiba itaruhusu uraia wan chi mbili ndani ya siku 5 TZ yote inachukuliwa.

3) Serikali ya CCM imeiingiza TZ katika Shilikisho la A.Mashariki bila ya wao wenyewe kukubali na pia ikijua bayana kuwa ardhi yetu inamezewa mate, kisa tu eti wengine kati yao watakuwa wabunge katika Shilikisho hilo (tama ya madaraka).

4) Serikali ya CCM kuwakemea Museveni na Kagame kwa uroho wao wa madaraka ili ikibidi Shilikisho hilo la A.Mashariki likavunjika.Dunia nzima inajua fika kuwa migogoro isiyoisha eneo la maziwa makuu inasababishwa na Madikteta Museveni na Kagame ila tu eti serikali ya CCM haijui inasababishwa na nini, Mfano ni misaada ya Kagame kwa Jean Bikomagu (Burundi),Laurent Nkundabatware a.k.a Nkunda na M23 (DRC)

5) Serikali ya CCM iliruhusu ICTR-ardhini mwake (Arusha) chombo cha Dikteta Kagame cha kumaliza wahutu wasomi ili aishi kwa raha mstarehe.

6) Serikali ya CCM iliwapokea wauji wa rais Laurent Kabila kabla hawajasafilishwa kwa siri kwenda Ulaya (Norway)

7) Serikali ya CCM haijamchukulia hatua mkuu wa wilaya ya Muleba aliyeteketeza nyumba 500 za wasukuma kupitiaeti ‘operesheni okoa mazingira' dhidi ya wavamizi haramu,akawaacha wanyarwanda nakuteketeza wasukuma.

8) Serikali ya CCM imewaajiri wanyarwanda katika nafasi mbalimbali; Uhamiaji,TBS,Usalama wa taifa, JWTZ, Polisi, Magereza, wengine ni Wabunge katika Bunge la Jamhuri ya Muungano kupitia CCM nenda mikoa y Kigoma(Mjini) , Kagera na Geita (Busanda Yule aliyefariki) Ndani ya ofisi za mawaziri,wengine ni washauri wa Rais. Madini ya DRC na TZ ndio yanayojoijenga nchi ya Rwanda kupitia wanyarwanda walioshikilia sekta nyeti katika nchi hizo, Wanyarwanda waishio TZ wanashirikiana na wenzao nchini Rwanda ikiwa ni pamoja na kuchanga michango ya kuwasaidia waasi DRC kupitia RWATAFA (Rwanda Tanzania Friendship Assiciation) na TARAFA. (Tanzania Rwanda Friendship Association)

NINI SERIKALI YA TANZANIA IFANYE?
1) Serikali ipige marufuku RWATEFA (Rwanda Tanzania Friendship Association) na TARAFA (Tanzania Rwanda Friendship Association) nchini pamoja na kuwa ni vyombo vilivyoundwa kisheria kwani vinasaidia Waasi DRC.

2) Serikali iunde vikwazo dhidi ya Rwanda na Burundi ili zitoke katika Jumuiya ya A.Mashariki (Kagame ni muuaji) ikishindikana TZ na izieleze nchi za Kenya na Burundi ukweli kuwa imejitoa sababu shilikisho hilo Watusi/wanyarwanda wanataka kulitumia kutimiza azma yao ya kutawala A.Mashariki na kati yote.

3) Serikali ya TZ iwaambie waziwazi Kagame na Museveni kuwa nyinyi ni waroho wa madaraka na ni wauaji ndio maana eneo la maziwa makuu machafuko hayaishi kwa sababu yenu.

4) Serikali ifanye uchunguzi dhidi ya wanyarwanda walioshikilia nafasi sekta mbalimbali nchini huku watanzania wazawa wakiambiwa ajira hakuna.

5) Serikali ya TZ ianzishe majeshi ya ya asili (Sungusungu na mgambo ) na wapewe kibali cha kusaka na kuwaua ng'ombe wote wa wanyarwanda na waganda mikoa ya Kagera Kigoma na Geita wanaolishwa nchini mwetu huku ng'ombe wa wazawa wasukuma wakikimbiziwa mikoa ya Katavi na Rukwa.

6) Viongozi wa mitaa/vitongoji, vijiji,kata, tarafa na wilaya kwa kushirikiana na wananchi wa maeneo husika nchi nzima wanawajua fika wavamizi haramu na adha zao wawaorodheshe kwa hatua zaidi zaidi na hatua hizo zisichelewe nchi yazenda mwanawasu.

7) Serikali ifutilie mbali ICRT katika ardhi yake kwa kuwa ni chombo cha kikabila cha Kagame (watusi) kuwamaliza wahutu wasomi na wale wote wanaosema kuwa Kagame ashitakiwe mfano Pr.J Mwaikusa.

8) Serikali iwashughulikie mkuu wa wilaya ya Muleba na wale wote alioshirikiana nao kuchoma nyumba za wasukuma Buligi baada ya kuhongwa na wanyarwanda.

9) Serikali ya TZ isaidie ulimwengu kujua vyanzo vya mauaji ya rais Melchior Ndadaye (Burundi) yaliyofanywa na J.Bikomagu kwa ushirikiano wake na Kagame, utunguaji wa ndege iliyowabeba rais Habyarimana (Rwanda) na rais Ntaryamira (Burundi), rais L. Kabila (DRC) kwani TZ inajua wauaji wa marais hawa.

10) Serikali ya TZ iwanyang'anye ardhi wanyarwanda na warundi mikoani Kagera na Kigoma .

MASWALI;
1) Visa vya kidini Ukisto na Uislam vilivyoshika kasi kubwa ghafla hivi nchini vimetoka wapi? Hivi serikali ya CCM haimjui aliyevianzisha ? CCM mmeharibu nchi kwa udini mulioueneza.

2) Hivi CCM hamuoni kuwa muko wabinafsi na mnaabudu rushwa kwa kuwapa nyeo wanyarwanda Jeshini, Polisi, Wizarani, Ikulu, Uhamiaji, TBS, huku mukiwandanganya watanzania eti ajira hakuna?

3) Malawi ikiungana na Museveni na Kagame TZ itasalimika?

4) TZ ikitokea ikavamiwa na Museveni na Kagame wanyarwanda walioko Jeshi la TZ watasaidia upande gani?

5) Hivi viongozi wote wa CCM ni mashemeji wa Kagame?

6) Hivi J. Kikwete, G. Bilal, S. V. Nahodha mnafikiri mmasai na mnyarwanda wakiomba kujiunga na Jeshi la Polisi TZ Kamanda Chagonja anamuajiri na nani? Mmasai ? Thubutu,,,,
 
Kama kweli vile kikwelikweli kama ni kweli ni shughuli kwelikweli kwani mengine ni ya kikweli kweli hasa.
 
Ni imani yangu kuwa huwezi kudumisha muungano wowote wa nchi zinazoongozwa na suspect wa mauaji ya halaiki kama Kagame pamoja autocratics kama Museveni. Kuwepo kwa Tanzania katika EAC ilitakiwa iongoze pressure ya mabadiliko kuanzia Uganda hadi Rwanda.

Ninakubaliana na baadhi ya maandiko ya mwandishi hasa juu ya hadhari kubwa kwa Tanzania katika miungano ya nchi za namna hii, yalioikumba former Zaire yanaweza kuikumba Tanzania (god forbiden) ikiwa uongozi hautakuwa makini katika maamuzi yake. Suala la integration kubwa ya EAC linatakiwa kutazamwa vizuri na hasa suala la sarafu moja, free movement na kuachia EAC madaraka makubwa yatakayoondosha sovreign status ya nchi husika na kuyaweka katika mikono ya EAC.

Ushirikiano ujengwe kwa maslahi ya nchi kwanza sio katika pan africanism ya waroho wa madaraka ambao ndio suspects wakubwa wa genocide katika nchi zao wenyewe kwa wananchi wao wenyewe. Rushwa, uroho wa madaraka na uongozi dhaifu ni threat kubwa kwa future ya taifa zima.
 
Mkuu siwezi kukubishia maana enzi zile usalama wa taifa ulifanya kazi kama hizi kafuatilia mambo kama haya,pindi dodoso kama hizi zilipopatikana.Pamoja na kwamba uzi huu umemtaja mwalimu Nyerere,kama mmoja wapo wa waliofuga mfumo huu wa tutsi empire,lakini usalama wa taifa kipindi kile ulikuwa umekaa vizuri.
Na inteligence ilikuwa inteligence kweli siyo kama mfumo wa sasa wa kupeleka waliofail mitihani ya form four ilhali wana ndugu zao wanaowaback up.
Usalama wa taifa umebaki kuilinda ccm na siyo nchi.Zamani watu walikuwa mipakani ukiwaona utadhani hawana kazi lakini habari ziliweza kufika kunakohusika ndani ya siku moja.Miradi yote mikubwa iliyoanzishwa nchi wanausalama wa taifa waliajiliwa kama wataalam huku wakichunguza mambo yanayohusu usalama wa nchi,leo hii nchi ina miradi mikubwa unafanyika usalama wa taifa sifuri eti tunategemea habari kutoka kwa raia wema!Mambo haya siku hizi yamebinafsishwa eti ulinzi shirikishi,sishangai unaposema kuna wanajeshi na polisi wa kigeni nchini huo ndo ulinzi shirikishi wenyewe.Siku hizi hata mwizi analinda mtaa ilhali amejitolea kulinda kumbe unafanya upelelezi wa mitaa tulivu wakati wa usiku na mitaa yenye watu wasiolala,akiisha kamilishja anakuja anaiba.
Uzi huu sio wa kupuuza,usalama wa taifa kama mpo fanyeni uchunguzi wa kina kubaini ukweli.Mipango kama hii ikiwepo watakaoumia wa kwanza ni ninyi wakubwa mtakapoanza kutawaliwa wakati mlizoea kutawala,sisi wadogo tumezoea kutawaliwa,kula kilichosalia maumivu kwetu yanaweza kuwa sawa na hakuna.
 
Another BS jazzband,hakuna jipya hapo ni Kagame hater tuu huyu,wapo all over the web hawa,sitashangaa ndio hawa genociders waliokimbia 1994 wanaogopa kurudi sasa wanatafuta sympath,hakuna hata kimoja cha ukweli hapo zaidi ya propaganda...join date today(alert)!
 
Back
Top Bottom