Uteuzi wa Dkt. Bashiru Ally, Pasco Mayalla kawa kimya

MKEHA

JF-Expert Member
Jan 26, 2013
714
1,137
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi (CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandiko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.

Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
 
Jamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa. Lakini Jerry Muro from nowhere na cha kushtusha zaidi katokea jamii inayoogopwa na kutengwa lakini kahula.

There must be something. Huwezi juwa walikuwa wanagombea demu na Jiwe.
Kinacho mponza Mayalla ni lile swali siku ya kwanza alipo itwa kuwa Mayalla ni njaa
 
Jamaa ana gundu sana. Fikiria jamaa katokea jamii pendwa na Kanda pendwa kapotezewa. Lakini Jerry Muro from nowhere na cha kushtusha zaidi katokea jamii inayoogopwa na kutengwa lakini kahula.

There must be something. Huwezi juwa walikuwa wanagombea demu na Jiwe.
Avumilie tu kwa uzalendo wake kwa nchi yake kuna siku atakumbukwa
 
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.

Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Hivi Pascal yupo duniani? simsikii kabisa ingawa hapa kwangu nilim-block. Bado mateuzi ni mengi atapata, msukuma mwenzangu. Lakini Magu kwa visasi lile swali la mamlaka unayapata wapi, linam-cost!
 
Kweli dunia inaenda kasi sana jamani. Toka juzi habari inayovuma sana kwenye vyombo vya habari na mitandao ya kijamii ni juu ya uteuzi wa Dr Bashiru Ally kuwa Balozi na Katibu Mkuu Kiongozi(CS) Cha kushangaza Pasco Mayalla sijaona comment wala bandoko lake kutuletea uchambuzi na matarajio yake kama tulivyozoea.

Au Pasco kuna sehemu yupo anafanya kazi zinazomweka bize mpaka anashindwa kuandika?
Sasa mtu ana njaa unataka andike nini.
Mpeni chakuka kwanza
 
Back
Top Bottom