Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

DEMOKRASIA HAIWAFAI WATU AINA YA MDUDE CHADEMA Kwa Mkono wa, Robert Heriel Mwaka juzi niliandika makala moja iliyokuwa ikimuonya na kumrekebisha Mwanaharakati na mwana chama wa Chadema, Ndugu...
29 Reactions
164 Replies
11K Views
Why Job Ndugai will still smile all the way to the bank thecitizen.co.tz Jan 7, 2022 12:00 PM Even though the Speaker of Tanzania's National Assembly, Job Ndugai, has unceremoniously resigned from...
12 Reactions
60 Replies
6K Views
Nashindwa kuamini kabisa kuwa hii ndio chuki iliyopo katika siasa zetu. Hapa ni Ofisi za Meya wa Jiji Karimujee hall Wamewaka Picha za Mameya wote Kabla ya Tanganyika Kupata Uhuru na baada ya...
11 Reactions
71 Replies
6K Views
On retirement the president is entitled to the following benefits under this law. To begin with he shall be entitled to annual pension that will be payable to him every month at the rate of 80%...
4 Reactions
43 Replies
5K Views
Ni lazima nikiri wazi kabisa, mimi nilikuwa ni mmoja wa wanaomuunga mkono JPM kwa muda wote aliokaa madarakani. Sikuficha kuunga kwangu mkono, nilisimama nae muda wote. Bahati mbaya Binadamu siku...
10 Reactions
102 Replies
5K Views
Mkuu wa wilaya ya Mbarali amepandishwa kizimbani mkoani Lindi DC alifisadi Fedha za kuchimba Visima alipokuwa akihudumu kama DED wa Ruangwa Jimboni kwa Waziri mkuu mh Majaliwa Source ITV habari
12 Reactions
38 Replies
4K Views
Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya...
1 Reactions
3 Replies
686 Views
Waziri Mwingulu ameyasema hayo leo Jumatano Januari 11, 2023 alipokuwa akifungua Kongamano la Kodi Kitaifa jijini Dar es Salaam, akisema tofauti na zamani, sasa miongoni mwa Watanzania milioni...
3 Reactions
223 Replies
9K Views
Hii nchi hapa ndio huwa tunakwama kwamba hakuna jambo linaenda bila kuwa na element za siasa ndani yake, Nilitarajia Program ya Bashe iwe ya kusasa na kushindana na Program kama hizi kule Egypt...
6 Reactions
17 Replies
1K Views
Silipwi wala sijatumwa na yoyote lakini nimejitoa kwa moyo na akili yangu yote kujibu hoja yoyote itakayoibuliwa na upinzani dhidi ya CCM wakianza mikutano ya hadhara. Historia inaonesha...
6 Reactions
72 Replies
3K Views
Salaam wanajukwaa na watanzania wote. Kwanza, nimshukuru Mungu muumba kwa uzima na afya tele NAMI nimeiona siku ya leo. Pili, Nimshukuru Rais wetu Mpendwa Mama msikivu, mnyenyekevu, mpole...
6 Reactions
60 Replies
3K Views
1. Uchumi wa Tanzania umeendelea kuzorota siku hadi siku. Na sasa maisha ya wananchi wengi yako taabani. 2. Ni nini serikali imekosea hadi hali ya uchumi wetu kuwa taabani kuliko wakati wowote...
11 Reactions
77 Replies
4K Views
Kwa kumbukumbu zangu huyu ndio Balozi bora kabisa wa Marekani kuwahi kuhudumu Nchini Tanzania . Taarifa zinadokeza kwamba amehudumu nchini Tanzania kwa miaka miwili na Nusu Binafsi nitamkumbuka...
21 Reactions
52 Replies
3K Views
Leo Jumatatu ya tarehe 09/01/2023 wanafunzi wamefungua shule ikiwemo wanafunzi 1,073,941 walioanza kidato cha kwanza ambao wote walipangiwa shule hakuna mwanafunzi ambaye yuko nyumbani kusubiri...
2 Reactions
16 Replies
1K Views
ELIMU BURE: Gharama ya kumsomesha mtoto mmoja wa primary kwa Mwaka ni 4MIL, na serikali inalipa kila mwaka Hili limesemwa na Mwenyekiti wa Shule Binafsi Tanzania. Na amemshauri Rais akae na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
VIONGOZI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kata ya Engaruka wilaya ya Monduli,mkoani Arusha,wamejeruhiwa vibaya kwa kipigo na baadhi yao kulazwa hopitalini mara baada ya kundi la wananchi wa kijiji cha...
10 Reactions
36 Replies
3K Views
Mwigulu Nchemba, mmeingia makubaliano ya awali na kampuni ya China Civil Engineering construction corporation kwa utaratibu wa single source (bila ushindani) yenye thamani ya Shs...
51 Reactions
173 Replies
12K Views
Kadri Familia zile teule zinavyo gawana nchi kwa njia mbalia mbali ndio kadri rai wanavyo ongeza speed ya kuwatania na kuwafanyia joking wale wala meme ya nchi hii. Nahisi kuna jambo haliko sawa...
3 Reactions
15 Replies
951 Views
Kwanza Watanzania wa leo wanahitaji kusikia Hoja na Sera na siyo kejeli na mitusi Pili Wananchi wanahitaji Siasa za kuwaunganisha siyo za kuwatenga Mbowe ameshasema Yaliyopita si ndwele tugange...
1 Reactions
40 Replies
2K Views
Tunaona kwenye ripoti mbalimbali za fedha za Kila mwaka za CAG, zikiibua ufisadi mkubwa wa mabilioni, unaofanywa na watendaji Serikalini, lakini tunaona ni "business as usual" inayoendelea na...
0 Reactions
5 Replies
667 Views
Back
Top Bottom