Gabeji
JF-Expert Member
- Sep 10, 2024
- 2,174
- 3,156
Heshima kwako mzee! Sina mengi, Nakuomba CCM wasikuingize kwenye laana ya ya mauaji ya Oktoba 29, endelea kusimamia haki.
Nimeona mwezi huu wamekufuata Nchimbi, spika, na makamu wa kwanza wa Zanzibar, najua mmeongea mengi tafadhali chonde chonde kaa mbali nao, si umemwona huyo msaliti aliemsaliti Polepole anajutia sana.
By mwilist Gabeji