Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tangu wamwagwe, sijawasikia hao machawa hapo juu. Anayejua wako wapi na wanafanya nini atujuze. Kama wako humu wajue, tunafurahia walivyofanyiwa kitu mbaya baada ya kutumika na kutupwa kama ganda...
7 Reactions
19 Replies
695 Views
Ubabe wote wa Marekani, to me, seems nothing! Nilitegemea mpaka sasa Iran angelikuwa " non existent" with regard to military survival, ndiyo kwanza anaamsha masharubu kuliko huko nyuma. Nyerere...
3 Reactions
22 Replies
324 Views
Wakuu Baada ya Nape kupost picha akichambua mboga za majani leo naona Bashungwa nae kaleta drama ya aina yake. Hawa wanasiasa wanatuonaje jamani Watanzania? Yaani Bashungwa anakula kwenye...
13 Reactions
52 Replies
4K Views
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Kaimu Mwenyekiti wa CHADEMA John Heche amevaa Makamu Mwenyekiti wa CCM Steven Wasira Hahaaha Mzee yaani mmekua madarakani miaka 65 hamjaweza kupelekea watu...
14 Reactions
14 Replies
524 Views
Poleni sana Watanzania wenzangu kwa kuondokewa na Rais wetu kipenzi. Mungu amlaze mahali pema peponi, Amina. Kutokana na hali ilivyo, automatically Mama Samia aliyekuwa Makamu wa Rais ndio...
38 Reactions
2K Replies
220K Views
Wanaomchukulia Mwigulu kirahisi rahisi wanakosea Sana. Siwezi zungumzia uadilifu wake lkn najua anavyojua kusaka pesa akiwa kwenye mamlaka. Alipokuwa naibu tu Wizara ya fedha kwa miaka 2 tu...
9 Reactions
84 Replies
5K Views
  • Featured
Akizungumza katika mkutano na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam, Julai 26, Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo amewasilisha mapendekezo makuu...
5 Reactions
7 Replies
647 Views
Mwasisi wa katiba hii,Ni Nyerere, aliitumia kuendesha utawala wa kiimla,Mfano kuzuia wapinzani wake kusafiri nje ya maeneo fulani,kuaminisha watu kuwa Fikra zake ndio bora na zidumu ( alikuwa na...
0 Reactions
11 Replies
182 Views
Katika taarifa yake kwa wanahabari, Sheikh Saidi Mwaipopo amelaani vikali mbinu zinazotumiwa na baadhi ya wanachama na viongozi wa chama cha CHADEMA, akidai kuwa wanatengeneza taswira ya kuwa wema...
1 Reactions
40 Replies
918 Views
Makamanda Shalom! Nimekua nikitafakari kwa muda sana ni ni Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA atajiuzulu ili uchunguzi huru ufanyike kwani sisi wanachama tunapata shida sana huku mitaani chama...
2 Reactions
61 Replies
770 Views
Viongozi wawili wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mkoani Shinyanga wamefikishwa katika Mahakama ya Wilaya ya Shinyanga, Jumanne ya tarehe 28 Julai, 2026, na kusomewa mashtaka...
4 Reactions
35 Replies
561 Views
Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatambua haki za msingi za wananchi, huku ikiruhusu haki hizo kuwekwa mipaka kwa mujibu wa sheria pale inapohitajika kwa usalama wa taifa, amani na...
0 Reactions
0 Replies
62 Views
Je, Zanzibar ni Nchi (State) au siyo? Hebu Tuache Hisia, Tuzungumze kwa Sheria. Kila mara mjadala huu unajirudia. "Zanzibar ni nchi?" "Au ni sehemu tu ya Tanzania?" Badala ya kubishana kwa...
0 Reactions
0 Replies
108 Views
Yaani kwa jinsi kila mtu anavyo muongelea vibaya, hadi yeye kajikatia tamaa.. Anasubiri siku ifike tu. Je, anasitahili kukatishwa uhai? Kwamba ndo muovu wa kwanza tangu Tanzania iundwe? Kwani...
4 Reactions
22 Replies
366 Views
Haiwezekani kwa mtu mzima sana kama Wassira kujikita kushambulia na kutukana Chadema, bila shaka aweza kuwa amepoteza Kumbukumbu na kusahau Majukumu ya kikatiba yaliyoainishwa yanayohusiana na...
13 Reactions
94 Replies
4K Views
Je wale CCM walio zuia katiba mpya wakati wa kikwete ni wazalendo nao?
0 Reactions
11 Replies
192 Views
Hili liko wazi na kila mTanzania na mdau wa JF anashuhudia. Dr. Mwigulu kwa sasa ni waziri mkuu katika ngwe ya pili na ya mwisho ya uongozi madhubuti sana wa Dr. Samia Suluhu Hassan. Na...
5 Reactions
53 Replies
866 Views
Mnaweza kusema nimenunuliwa lakini hapana ukiangalia clips za Polepole kwa umakani sana unakuja kungundua Samia sio mbaya kiivyo sema walioko nyuma yake ndo tatizo. Yeye mwenyewe aliwahi kukili...
12 Reactions
114 Replies
1K Views
Back
Top Bottom