Hotuba ya Mbowe M/kiti wa Chama chetu, niliifuatilia mwanzo mwisho
Mbowe, hana tabia ya kuongea vile isipokuwa juzi katika kuwahutubia wananchi wa Mwanza na wanachama wa Chadema, sauti...
Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia.
Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema.
Basi...
Siku moja baada ya CHADEMA kuzindua mikutano ya hadhara jijini Mwanza, Chama cha ACT Wazalendo nacho kimetangaza kuanza mikutano yake Februari 19, 2023 jijini Dar es Salaam.
Akisoma maamizio ya...
Nilitegemea kwenye mkutano wa hadhara Mwanza na Musoma Chadema wangekuja na orodha ndefu sana yenye kila aina ya ufisadi alioufanya hayati rais Magufuli kipindi yupo madarakani, kwa sababu...
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.
Tayari maelekezo...
Wakuu mtazamo wangu ni kuona tunakuwa na vyama vyenye nguvu Zinazolingana au kukaribiana sana
Ili ikitokea chama kimoja kikizingua inakuwa rahisi wanachi kukiondoa na kuweka kingine
Mwisho wa...
Kamati Kuu ya ACT Wazalendo wameitaka Serikali itangaze ratiba ya mchakato wa Katiba Mpya kama walivyokubaliana kwenye Kikosi Kazi cha Prof. Mukandala.
Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu wake Addo...
Katiba inaruhusu Mikutano ya kisiasa, lakini yeye anavimba kichwa akifikiri yeye ndokafanya juhudi ya kurudishwa mikutano ya hadhara nakati sio yeye ni kikosi kazi Kwa mujibu wa maelezo ya SSH...
Kwa vile CHADEMA wapo Mara, ingefaa kama wangekwenda kulizuru kaburi la Mwalimu. Kwa sababu inafaa kama watu wanafanya shughuli za kisiasa Mara wapite kumsabahi Mwalimu. Inafaa watu wanaotaka...
Kongole mama Samia, bahari umeipita, mawimbi umeyamudu, January mpaka Disemba, katikati ya bahari ukiongoza taifa, ukipita mbele ya magwiji ya Dunia, ukilinda mipaka na heshima ya nchi.
Nani...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimesisitiza bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi basi hakutakuwepo na uchaguzi mkuu nchini.
Akizungumza kwenye mkutano wa hadhara mjini Musoma...
Mi najua wakati wa Magufuli alipitia wakati mgumu sana. Na Mama akaamua kwanza kumuonesha action kidogo. Jamaa akatepeta. Ni binadamu. Umri umeenda na ameshachoka. So akatepeta.
Wananchi wameona...
WAZO LA JUMLA
Kati ya mambo ambayo CHADEMA imekuwa ikipigania ni pamoja na haki ya kuikosoa Serikali bila ya kutendewa kilicho kinyume na haki, sheria na katiba. Basi kama ilivyo haki kwa CHADEMA...
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia.
Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji...
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mwanza, Kwamba Mapokezi ya Mwamba Mwenyewe, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe yametikisa Mwanza kwa kishindo kikuu, kiasi cha kusimamisha shughuli...
Kigezo kikuu ni sehemu hizo wanazotoka na wala si dini, Ni mkoa wa Pwani na visiwani na wala sio ukanda mzima huko Tanga kwa mzee makamba, Mtwara kwa bwana Nape, Lindi, n.k.
Kwao ustaarabu ni...
Kwa wale Wasomaji wa Biblia wanaungana na mimi, Eva alifanikiwa kumshawishi Adam hata akatenda kile ambacho alikatazwa kukifanya, maneno matamu Eva (ASALI) yalimshawishi Adam kutokumtii Mwenyezi...
Hakika Wafuasi wa CCM wamejitolea kwa HALI na MALI kutumia FEDHA zao kuweka MABANDO kwenye SIMU zao ili WAUTANGAZE MKUTANO wa CHADEMA Mkoani MWANZA hakika wanastahili kupongezwa sana Kwa Utahahira...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.