Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,804
- 218,449
Hii ndio Taarifa ya sasa kutoka Mwanza, Kwamba Mapokezi ya Mwamba Mwenyewe, Mtemi Isike, Laingwanan ama Ustaadh Aboubakar Mbowe yametikisa Mwanza kwa kishindo kikuu, kiasi cha kusimamisha shughuli za watu kwa dakika 90.
Hii ni hatari mno! Ikumbukwe kwamba safari ya ile kesi ya uongo ya Ugaidi aliyobambikiwa Mbowe, ilianzia Mwanza, bado wananchi wa Mwanza wanayo kumbukumbu ya jambo lile lililofedhehesha Nchi yetu Duniani, jambo lile ndilo linatajwa kama chachu ya Mapokezi haya ya kihistoria jijini Mwanza.
Wadau wanafananisha mapokezi ya leo ya Mbowe huko Mwanza na Mapokezi ya Nelson Mandela aliyoyapata DSM miaka ya mwanzo ya 90, baada ya kutoka Jela ya Makaburu na kupokelewa na Mwl Nyerere.
Kama mambo ndio yako hivi, hatujui hadi kufika 2025 hali itakuwaje.
Mungu ibariki CHADEMA.