Jakaya Kikwete ndio engine ya siasa za Tanzania kwa sasa

Unknown2

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
2,344
4,981
Ukiangalia yanayoendelea Ikulu kuanzia teuzi hadi nchi inavyoendeshwa unaona kabisa ni JK nyuma ya pazia.

Hapa utaona approach ya mama kuhusu safari, kuhusu bandari ya Bagamoyo, kuhusu uwekezaji, nk unagundua ni JK tupu.

Ukija kwa wakosoaji wakubwa wa serikali kupitia social medias ambao waliibuka kipindi cha JPM unagundua wako upande wa JK, na walipunguza ukosoaji mara baada ya kifo cha JPM, anza na Kigogo, njoo kwa Fatma Karume, Mange, Zitto nk

Maliza kwa watabiri wa JF,
Tumia Akili
Mwenye utabiri huu.

- Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

baada ya kifo cha JPM alitoa masharti ya aliyodai inaitwa the state kwenda kwa Samia,, ukiyasoma vizuri unagundua ni mawazo ya JK. Yani hadi katiba mpya maana nao ni mchakato ulioanzishwa na JK.

Masharti yenyewe ndo haya:
- Taarifa maalumu, 'operation' imesitishwa, nuru imeonekana na 'the State' wamesema apewe muda

Ikumbukwe pia kabla ya kifo JPM zilikuwepo tetesi kuwa JK hakuwa akiridhishwa na leadership style ya JPM na hapo ndo watabiri akiwemo Tumia Akili wakatutabiria msiba...

Mtabiri mwingine wa JF anayejulikana km TumainiEl ambaye alipata kuaminika baada ya kutabiri kupotea kwa Ben sa8 kisha mwezi August 2021 akatabiri yaliyotokea juzi Dodoma kwenye uzi huu:
- Natabiri yatakayotokea siku za usoni watanzania tuzidi kusali

nae kwenye uzi wake huu

- Mh. Rais, kwani mkopo wa madaktari ni wa bure hawalipi?

alimalizia kwa kumuomba JK apaze sauti. Kama kweli yuko kama anavyojinasibu yaweza kuwa JK hakutajwa kwa bahati mbaya.

Na inavyoonekana JK hajawa rasmi upande wa Samia, bado amemuweka kwenye uangalizi ndo maana baadhi ya maonyo yanatolewa kupitia kwa wasemaji wasio rasmi.

Iwapo mtazamo wangu utakuwa sahihi basi huyu mwamba anastahili heshima yake, haijalishi anatupeleka kuzuri au kubaya ila kitendo cha kuwaweka mkononi watu milioni sitini sio kitu cha kuchukulia poa.
 
Mwigulu Mchemba ameshindwa kumsaidia mama kwenye mfumko wa bei.

January Makamba ameshindwa kumsaidia mama kwenye umeme
Mother asichojua ni kuwa hao watu walishatia nia ya urais... sasa ni wakati wao kujipanga... aliowatoa kwenye list hawakuwa na nia yoyote... mwisho wa siku Mother anawapa kazi maalum... ha ha.
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

1631782898_1631782897-picsay.jpg
 
Hakuna kijiji kisicho na mzee au wazee kwahiyo mwacheni mzee MSWAHILI atese uzeeni
Kwanini vijana hawakubali busara zipo uzeeni, kama hamtaki andamaneni msizeeke Ili msiipate busara. 🤸.
 
Inakuwaje anatushinda akili watu wote?
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

View attachment 2078542
 
Mzee wa Msoga ndiye chanzo cha matatizo sugu kwenye hii nchi.

Imagine alimpendekeza Bwana Chato kuwa Rais kisha pia akampendekeza hawara wake kuwa makamu wa Rais wa Bwana Chato ambae sasa hivi anaharibu nchi ya Tajikistan.Kwa hiyo tukapigwa mara mbili.That guy is a cursed fool!

View attachment 2078542
Now niki connect dots naona ina make sense, theres room for more findings katika huu muunganiko😅 sorry for jiwe maskini he never saw this coming!

JK ametumia medani za kijasusi kabisa sina mengi ila inanibidi nicheke tu! Ogopa sana hawara wa mkeo ila nimsifu mzee wa tezi dume cause that was his last card!😅 Game ended well!!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom