Tetesi: Upinzani baada ya kuruhusiwa mikutano ya hadhara wamepewa maelekezo kuchafua legacy ya hayati John Pombe Magufuli

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,614
3,903
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa jpm. tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini mwanza. hata Act wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za jpm zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa jpm wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Mwandikie BARUA........
 
Kuna assumption nyingine zinachekesha. Hakuna haja ya kuwaambia wamchafue hayati maana huwezi kushindana na mtu ambaye amefariki hivyo hawana haja ya kumwogopa maana tayari ashafariki
 
Hayo ni mawazo yako wewe ila juwa wenzako wanaogopa na kumuonea wivu marehemu.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa jpm. tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini mwanza.
Mwenye macho hataambiwa tazama, ila kwa utashi wake mwenyewe atapima mema na mabaya ya Magufuli
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
🤣🤣🤣🤣 Nani aangaike na kumchafua mtu ambaye alishajichafua mwenywe?? SUKUMA GANG vumilieni tu kwani mtu hupata kile alichokipanda
 
Hiyo legacy ya kiongozi wa awamu ya tano ni safi. Mtu muovu uovu wake huwekwa hadharani. Zama za kuficha ukweli zimepita.
Je huyo wa awamu tano ndio wa awamu ya sita mbona anakwepa hayo maovu?

Au awamu ya tano alikuwa hayati tu?
 
Ipo siku watapanda na kreti za bia jukwaani nakuanza kumtusi Magufuli.

Kwakua inahitaji kujitoa ufahamu kufanya jambo kama hilo.
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Waache wajimalize
 
Baada ya kuisema vibaya awamu ya tano maoni ya watuView attachment 2491378
Screenshot_20230122-142008.jpg
 
Hii ni shariti kubwa kabisa na lenye nguvu kabisa katika serikali ya awamu ya sita ambapo upinzani kazi moja waliyopewa ni kusifia maridhiano huku wakichafua uongozi wote wa JPM.

Tayari maelekezo hayo yameshaanza kufanyiwa kazi katika mkutano wa chadema uliofanyika jijini Mwanza. Hata ACT-Wazalendo wameelekezwa hivo ingawa siyo wote wanaokubali shariti hilo la mikutano ya siasa hata CUF na wao wamepewa maelekezo hayo lakini miongoni mwao wanapinga maelekezo hayo kwa kuwa kazi za JPM zinaonekana kwa wananchi.

Upinzani kama wamechukuwa kama agenda yao kuu ya kutukana uongozi uliopita wa JPM wajue kuwa wapo ambao hawatawaelewa labda wavuta bhangi ambao hawafatilii mambo ya nchi.

Nawatakiwa jumapili njema.
Mm nawaambia kwamba hapa patatokea maoni ya watu wengi sana sana kwa wenye Akili watazitazama kwanza siasa hizi na mikutano hii halafu kuna kitu watagundua,na kama zoezi hili litakuwa ni la kupewa ajenda ya kutembea nayo na kama itakuwa ni ya kumponda hayati magufuli basi hiyo itakuwa ni kete mbovu yakutembea nayo na chama hiki kitakuwa kimejizika rasmi.kuna mengi ya kinafiki tutayashuhudia,muda ni mwalimu mzuri sana.
 
Unawaza kitoto sana. Yaani CDM leo imekuwa ya kupewa hoja ya kutembea nayo? Utapata pressure tu bure. Wana haki ya kuhoji na kueleza hisia zao mradi tu hawavunji sheria. Kama kwa kufanya hivyo wanajimaliza, nadhani hiyo ni fursa yako kufurahi.
 
Back
Top Bottom