Mbowe: Matatizo inayopata CHADEMA hata wanaCCM wanayapata

Kwa uelewa wako huu Hakika mfumo wetu wa elimu una shida

Mtu mzima na familia bado unashindwa kuelewa video, Je ingekuwa maandishi si ungepagawa kabisa

Ningekuwa karibu na wewe Hakika ningekutandika viboko mbele ya mkeo na watoto wako

Kama unashindwa kuelewa video ya dakika moja utaweza elewa hotuba ya mfumuko wa bei ya dk kumi na tano

Nchi hii kuna mbumbu wengi sana

Kuna watu JF mliwezaje kufaulu mitihani kama uelewa wenu ni finyu namna hii

Kwa akili hizi na wewe unaitwa Baba kwenye familia

Hakika mwanao ana kazi kubwa kukukomboa kifikra

Rais Samia anaposema ndugu wakristu wenzangu, Kwa hiyo Samia ni mkristo?
 
Wanachama wenzangu wa CCM
 
Duh, umecharuka kwelikweli!
Sijui kwa mleta hoja alilenga nini hasa...ila kwa upande wangu ni hapo aliposema "wamechoka zaidi ya ...." Hoja ni nini hasa?

Wanaccm ni raia wa Tanzania wenye hali tofauti tofauti za kimaisha. Na ndio maana wanalalamikia mfumko wa bei, kupanda kwa gharama za bidhaa kiholela, misafara na ziara za viongozi zisizo na tija, tozo nk nk...kwasababu ya hali duni ya maisha.
 
Kwa hiyo Kikwete aliposema ndugu wamerekani wenzetu, Kikwete ni mmarekani?

Mama Samia alipokutana na wakristo alisema ndugu wakristo wenzangu kwa hiyo Rais Samia ni mkristo?

Jifunze matumizi ya Fasihi na Sarufi
Nafikiri ni vizuri ukatumia akili kujibu hoja iliyopo hapa ambayo inahusu kauli ya jana ya Mbowe mwenyewe kujiita mwana CCM.

Hayo mengine ya Kikwete ungeyaanzishia na wewe uzi wako ili watu waje waijadili kama inavyojadiliwa hii.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom