Kazi ya kuutangaza mkutano wa CHADEMA Mwanza inafanywa kwa kasi kubwa na wafuasi wa CCM

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Hakika Wafuasi wa CCM wamejitolea kwa HALI na MALI kutumia FEDHA zao kuweka MABANDO kwenye SIMU zao ili WAUTANGAZE MKUTANO wa CHADEMA Mkoani MWANZA hakika wanastahili kupongezwa sana Kwa Utahahira wao huo.WAFUASI hao Muda wote Wamekuwa BUSY na MKUTANO wa CHADEMA MKOANI MWANZA kama vile WAMELIPWA na CHADEMA Wamekuwa wanatumia MUDA wao na FEDHA zao kununua BANDO ili WAUTANGAZE HUO MKUTANO ukweli CHADEMA INAWAPONGEZA sana ENDELEENI na MOYO huo na msichoke na hata kama HAMNA FEDHA ZA BANDO kuna Huduma ya SONGESHA ITUMIENI .
 
Tunawashukuru wameifanya kwa mafanikio makubwa
 
Ni Kweli, ndugu Venus Star na Countrywide wamefanya KAZI nzuri kuutangaza mkutano wa CDM mza.
 
Back
Top Bottom