Mheshimiwa najua una majukumu mengi ya kitaifa kwa vile wewe ni Waziri, lakini angalau ungezungumza na muwakilishi Mheshimiwa Jazira, mkalipatia ufumbuzi tatizo hili.
Majimbo ya Zanzibar ni...
Baada ya jana CHADEMA kupata aibu pale Mwanza kwa kukosa kuungwa mkono na wananchi walio wengi. Kama ilivyo kawaida yangu, asubuhi na mapema nimekimbilia Musoma ili kuona kitakachojiri.
Nipo huku...
Na, Robert Heriel
Jana agenda kuu ya mkutano ilikuwa kumshukuru na kumpongeza Rais, na ukimpongeza Rais tafsiri yake umeipongeza CCM. Ninaweza kusema Ulikuwa Mkutano wa CCM katika Vazi la...
Jana MUSOMA kuna mtu alijishajitangazia ubunge, leo Heche amejitangaza kuwa ndiyo mbunge wa Tarime na ametoa maagizo kwa OCD kuhusu askari wanyama pori aliyepigwa mshale wa sumu akitetea wahalifu...
CCM na hata Mwl Nyerere RIP hofu Yao kuu kwa vyama vya upinzani ni kuvurugika kwa umoja, amani na mshikamano wa watanzania, kuvunjika kwa muungano na vita ya wenyewe kwa wenyewe.
Je, hofu hii ni...
Mwanadiplomasia, Padre na mwanaharakati Dr. Slaa ameonyesha Nia yake kuzirejea siasa za chadema na kuachana na siasa za CCM.
Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa pamoja na kuteuliwa kuwa balozi hajawahi...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema Mhe. Tundu Lissu ametangaza kurejea rasmi nchini January 25, 2023 saa 7 mchana baada ya kukaa uhamishoni kwa muda mrefu.
"Hatuwezi kuendelea kuishi uhamishoni bila...
Kituo cha TV cha Al jazeera kimetoa makala maalumu ya Mkutano wa kwanza wa Chadema uliofanyika jijini Mwanza
Al jazeera imesema mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amempongeza sana mh Rais Samia kwa...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe amesema kama CCM wanadhani wameiua CHADEMA basi wajue ndio wameiongezea mwendo.
Adhabu waliyoipa ya kukaa utumwani miaka 7 Hasira zao mtaziona 2025 kwenye Uchaguzi...
CHADEMA inafanya Mikutano yao kwenye Viwanja vya shule za Msingi na idadi ya Watu ni ndogo kuliko wanaohudhuria Ndondo Cup au Kombe la Diwani.
Katikati ya Watu kiduchu wanamshambulia Shujaa...
Mbowe usituone majinga tunajua umelambishwa asali ili uendelee kumtukana Magufuli na najaribu kusema ni moja kati ya masharti uliyopewa ili uendeshe mikutano ya ujinga. Binafsi Magufuli ni...
Leo ndio siku ya kuapishwa kwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usala Jenerali Venance S. Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa Majeshi wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania(JWTZ) Luteni Jenerali James Aloyce...
Imebidi niulize ili labda kama kuna anayejua ratiba ya Mikutano ya hadhara ya Wanasiasa hawa na vyama vyao atueleze.
Mchumi Lipumba na Bwana Mapesa ni wanasiasa wakongwe mno, bila shaka...
Kwanza Namshukuru' mwenyezi Mungu mwingi Rekhma kunifikisha siku ya Leo, pia nawaombea wote wanaochukia uzembe, wizi, ubabaishaji na unyumbu.
Moja ya maswali ninayojiuliza kila siku ni kwamba...
Waswahili Wanasema kila zama na majira yake,Kwasababu Mh Rais ameruhusu mikutano ya siasa, kwa Lugha nyingine ameruhusu uhuru wakuongea na kutoa mawazo mapya anayoyapenda na hata asiyoyapenda...
Pata Picha Dkt. Slaa ambaye hajapanda Jukwaani kuwahutubia wananchi kwa miaka 7 Hotuba yake pale Furahisha ingekuwaje
Lakini leo mjadala mkubwa ni askari polisi Kupiga Picha na mwananchi wa...
This is ridiculous!
Ndio unavyoweza kusema!
Sophia mjema Katibu mwenezi wa CCM ameitaka Serikali yake ya CCM kugawa haraka vishikwambi Kwa walimu na ametoa wiki Moja Tu..
Anyway
Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya ya Manyoni imetakiwa kuchunguza mauaji ambayo yamekuwa yakiripotiwa kutokea mfululizo pamoja na vitendo vya ushirikiana vinavyohusisha kufukua maiti na...
Fatma Karume amezungumza na Wakili TV na kufafanua mambo kadhaa ikiwemo kuhusu hali ya demokrasia nchini, siasa ya Tanzania na kurejea kwa Tundu Lissu. Huyu hapa anafafanua:
Nikiwa kama Rais...
Nimemsikia mh Mbowe kupitia Jambo TV akiwaambia wananchi wa Musoma kwamba Viongozi wetu hawana Baraka za Mungu kwa sababu uchaguzi wa 2020 uliporwa
Aliyemuelewa hii sentence anifafanulie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.