Baada ya kushindwa kutumia polisi sasa mnatumia nguvu kubwa JF bila kujijua mkiitangaza CHADEMA

chizcom

JF-Expert Member
Jul 31, 2016
7,581
15,720
Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia.

Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema.

Basi tambua mnatangaza CHADEMA bila kujua yani mnatufurahisha CCM.

Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee, wala kupita sehemu yoyote watatutangazia CCM kuwa leo tupo wapi na leo tunaongea nini.

Asanteni CCM kwa kurusha matangazo yenu bila pesa
 
Kama JF ingekuwa YouTube channel mngepata posho nyie msiopenda meza moja japo mama kawaumbia.

Kuna watu humu JF kila muda mnajaribu kuoji kuhusu chadema ila madudu yenu muwezi kusema.

Basi tambua mnatangaza Chadema bila kujua yani mnatufurahisha CCM.

Kuanzia leo wanachadema tusipige Piee, wala kupita sehemu yoyote watatutangazia CCM kuwa leo tupo wapi na leo tunaongea nini.

Asanteni CCM kwa kurusha matangazo yenu bila pesa
Tuna imani na CDM kwa ukombozi wa mtanzania.
 
Back
Top Bottom