Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Omary Kipanga amesema Wadau wa elimu nchini wameshauri elimu ya msingi ianze darasa la kwanza hadi la sita na kuondolewa kwa mtihani wa mchujo wa...
Zipo tuhuma nzito Sana zinazomkabili aliyekuwa DPP, Biswalo Mganga, kuhusiana na kile kinachoitwa "plea bargaining" mtindo uliobuniwa wakati wa utawala wa awamu ya 5, ambapo watuhumiwa...
MKWAMO wa kisiasa visiwani Zanzibar umetia najisi sifa na mafanikio ya Rais John Magufuli katika siku 100 alizokuwepo madarakani zinazofikia kesho tangu aapishwe tarehe 5 Novemba mwaka jana...
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina
Hawa nahisi mama atapitanao...
Waziri wa Elimu Prof Mkenda amesema kuna njia Tatu za kulima ubora
Mosi, ni hii ya kuitangaza Shule bora kwa kuangalia ufaulu wa Jumla ambayo imeshaachwa karibia duniani kote
Pili, kuangalia...
JK alisafiri kila leo, alijenga Shule nyingi za Kata, aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amewataka majaji kuwasaidia wananchi waweze kupata haki zao kwa kuwa wengi hawana uelewa wa nini wafanye. Lakini katika...
Hayati JPM yuko kaburini mwaka wa pili sasa lakini bado anasumbua vichwa vya walioko hai na kufikia hatua ya kumshambulia na kumtukana kwa kila hali akiwa zake kaburini lakini umma wa watanzania...
Wakuu nipo naangalia UTV Mida hii huko Zanzibar serikali imeagiza meli nzima kuingiza mchele na unga , kontena 300 zipo zinashushwa zikiwa na special order ya kupunguza mfumuko wa bei za vyakula...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, kwa mazungumzo na kujitambulisha Ikulu...
MKUTANO MKUBWA WA HADHARA
MWENYEKITI WA WILAYA YA KINONDONI CUF, MHE.RAJABU SALIM JUMA KUUNGURUMA SIKU YA JUMAMOSI.
MAHALI: MAGOMENI MOROCCO KITUO CHA MWENDOKASI
USIPANGE KUKOSA NJOO...
Huu uwanja mzuri tu miaka hiyo ulijengwa na serikali ya waingereza mwaka 1955 ukiwa uwanja bora sana kuhudumia maeneo ya Chato, Ngara, Kibondo, Kasulu na n.k uwanja huu unapakana na seminari ya...
Naamini hapa jf pana watu wenye uelewa na upeo mkubwa sana wa kuchanganua mambo.
Mawazo yanayotolewa hapa yanaweza kuvifungua macho vyama vya siasa juu ya nani wamsimamishe kama mgombea kutokana...
Akichangia hoja Bungeni Dodoma leo!
Mbunge wa Arusha Mjini kupitia CCM. Ndugu Mrisho Gambo!
Ameitaka Serikali isijifiche nyuma ya kivuli cha vita ya Ukraine na Russia,pale linapokuja suala la...
Kule Bunge la JMT akisimamia mbunge wa Kisesa mh Mpina kila mtu anatega sikio kutaka kumsikiliza atakachoongea
Na huku Uswahilini Tundu Lissu akisimama mkutanoni mfano Mwembeyanga daladala...
Leo Katika Mahojiano ya Tundu Lissu na mwandishi wa Jambo Tv kiukweli nimefurahishwa Sana na majibu Tundu Lissu hii ni ishara Kabisa Tume ya Maliziano ya Kisiasa imefanya kazi yake.
"IGP na...
Mwaka 2015 hadi 2021 alikuwa Waziri wa Fedha. Je, yaliyofanywa na Biswalo hakushiriki?
Na kama kashiriki kikatiba ikoje maana huo ni uhalifu na ulitendwa kabla hajapata kinga?
Maswali haya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.