Picha: Biharamulo airport 1958, kwanini serikali ilijenga mpya Chato

Picha: Biharamulo airport 1958, kwanini serikali ilijenga mpya Chato

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
12,222
Reaction score
28,939
Huu uwanja mzuri tu miaka hiyo ulijengwa na serikali ya waingereza mwaka 1955 ukiwa uwanja bora sana kuhudumia maeneo ya Chato, Ngara, Kibondo, Kasulu na n.k uwanja huu unapakana na seminari ya katoke aliyosomea marehemu Magufuli kwa hiyo anaufahamu tangu akiwa mdogo sana .

Uwanja huu japo hutumika kwa kwa kutua na kupaa ndege ndogo ulihitaji matengenezo madogo tu na kuwa wa kisasa hivyo ingeokoa pesa za ujenzi wa huu mpya uliojengwa Chato kwa kuwa ni km 40+ kufika Chato airport.

USSR
FB_IMG_1675252039844.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnacommand kila kitu kuanzia hazina mpaka Jeshi, Usalama na Mikoa na Wilaya zote mnashindwa nini kuujenga huo uwanja sasa hivi?
 
Back
Top Bottom