Baada ya Samia kutangaza kuja na Baraza jipya la Mawaziri, pichani nawaona hawa waking'olewa

kimfly

Member
Aug 27, 2021
12
29
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
 
Jenista Mhagama
Kale kamama kalikohamasisha sana kupiga nyungu. Kale ka Gwajima sijui kama katasalimika
 
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
Mpina sio Waziri......Ndalichako anapwaya...
 
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
Mpina ni Waziri?
 
Kwani Mpina ni waziri ?
 
Prof. Mkenda naye atanusurika?
 
Hapo muondoe Jaffo ongeza hapo wakuu wa mikoa ifuatayo :-
1. Njombe
2. Morogoro
3. Mwanza
4. Mkuu wa mkoa wa Simiyu anaulamba uwaziri.
5. Prof Adolf Mkenda anakwenda kuchunga mbuzi Rombo
6. Waziri wa ulinzi anabadilishiwa wizara
7. Katibu mkuu wa wizara ya viwanda anakwenda kuchunga mbuzi chato
 
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
Kitila Mkumbo hata alipewaje uwaziri.tangu aingia hapo viwanda na biashara its almost zero.nashanga development studies na viwanda wapi na wapi.are we really serious about our country?
 
Rais Samia atatangaza baraza jipya la mawaziri hapo baadae kwa mtazamo wangu,Hawa siwaoni Tena kwenye uwaziri
Dotto biteko
Jafo
Pro kabudi
Kitila mkumbo
Mhaga mpina

Hawa nahisi mama atapitanao kwa kasi ya ajabu ,kwa sababu utendaji wao kwa sasa umepungua tofauti na awamu ya 5 chini ya magufuli,nawasilisha
Mpina ni waziri wa nini au unaota
 
Back
Top Bottom