Anachotafuta Makonda ni laana, anafokea maafisa Elimu

cocochanel

JF-Expert Member
Oct 6, 2007
24,515
2,000
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!

Makonda oyeeeeeeeee

Update: maneno aliyoandika mwanzoni ambayo ameyafuta yalinipelekea kuandika niliyoandika, kwahiyo ndivyo ilivyokuwa na ujumbe naona alielewa sio lugha za kumuongelea mtu na haswa kiongozi hivyo.

Video clips zingine kwa post hii bonyeza mkuki uende
Haujamsikia mengine aliyoyasema hao aliongea nao last year pia walifanyaje hao!!!

ni wavivu tu, mazoea mabaya acha awaamshe wajielewe.

Video clips zingine hizo chini uone hata bosi wa elimu mkoani alikuwa anazembea tu
 
TAU 1

JF-Expert Member
Jan 8, 2013
497
250
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!
Mkuu nenda kasome majukumu ya mkuu wa mkoa kwenye katiba halafu urudi tena hususan ni nani BOSI wa maafisa Elimu
 
tentemente

Senior Member
May 30, 2015
149
250
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!

Makonda oyeeeeeeeee
Usiku na mchana hulali kwa sababu ya fa fa fa fa.

Haya ndiyo mavuno yake sasa, kukesha jf kujidefend otherwise ungekuwa umekwenda shule kweli usingekuwa unakesha huku namna hii.
 
DiasporaUSA

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
22,848
2,000
Alipata kwenye ulimwengu wenu mnaoujua ninyi.

Mwacheni kiongozi jembe apige kazi, tena wananchi wengi mnampenda sana sanaaaaaa. Ila wivu unawasumbua shaaaaaaaaaaaaaaaaa

Makonda oyeeeeeeeee
Chama cha mapinduzi

SAFIIIIIIIII ?

SAFIIIIIIII

CHAMA CHA MAKINIKIAAAA

KIDUMU
 
ECONOMY

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
502
500
Eti kama watoto wadogo acha chuki... yeye ni bosi wao na hapa kazi tu,

Tena kaongea nao vizuri tu. Niambie hata sisimizi unaweza kuwaongoza!?

Kama unatamani kazi yake sema tu, uliraka awachekee uone anawakenulia meno au anawachezea dansi ya ngoma!!!!

Makonda oyeeeeeeeee
Hata kuvamia clouds nayo ni kazi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom