Urusi na Zanzibar kushirikiana

Urusi na Zanzibar kushirikiana

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Balozi wa Urusi Nchini Tanzania Mhe. Andrey Avetisyan, kwa mazungumzo na kujitambulisha Ikulu Zanzibar. Leo Jumatano, 1 Februari 2023.

IMG-20230201-WA0074.jpg
View attachment 2502826View attachment 2502827
 
Urafiki na wauaji never
Hao wamba wadumishe na urafiki,uhusiano na undugu na kwetu Bara,ili mabeberu wa kome kutunyonya,kutuonea na kutunyanyasa 😂.Kwani wanavyo mgwaya huyu mwamba sio mchezo mchezo 🏃
 
Back
Top Bottom