Najua nitatukana na machawa ya mwendazake lakini ukweli lazima usemwe
Je, uzalendo na utetezi kwa wanyonge aliojiita mwendazake upo wapi kama haya aliweza kuwatendea hao hao wanyonge?
1...
Tax apiga marufuku kwa watazania kujiunga na la Jeshi la nchi nyengine. Alisema kwa mujibu wa sheria zao Mtanzania yoyote haruhusiwi kujiunga na Jeshi la nchi yoyote isipokuwa Jeshi la Tanzaia tu...
Asilimia kubwa ya Watanzania tumefurahi baada ya kuona Rais Samia Suluhu anasimamia haki kwa Watanzania wote amesema Uwepo wa amani nchini ni chachu ya maendeleo ya kijamii, kisiasa.
Mara nyinyi...
Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.
Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini...
Mh. GODBLESS J LEMA (MB) wa Jimbo la Arusha Mjini ndiyo anapelekwa Mahakamani muda huu. Atapandishwa kizimbani saa 2:30 asubuhi.
Tafadhali tunaomba Wananchi mjitokeze Mahakamani (RM's COURT) kwa...
Wakati Mkijitahidi kuchafua image Ya JPM, bila Vielelezo wala Ushahidi! Na bila Mafanikio!
Luhaga Mpina yeye amekuja na Ushahidi na vielelezo, Awamu ya Sita inalea wizi!
Kamponi hii, "CCE"...
Wanabodi,
Kwa maslahi ya taifa, leo naomba kuendesha somo kuhusu kitu kinachoitwa ubatili na haramu.
Ubatili ni kitu ama kilichofanyika kinyume cha sheria, taratibu na kanuni hivyo jambo...
Hakika matukio haya mawili yaliyofanywa na utawala wa awamu ya 5 chini ya aliyejiita mzalendo na rais wa wanyonge itabidi yaingie kwenye historia ya wizi na uongo kupata kutokana hapa nchini...
kelele nyiiingi, wakati inahitajika mtu mmoja athibitishe, mahakama zithibitishe kuhusu hizi kelele za ufisadi wake, lakini mpaka sasa ni kelele tu zisizo na maana! CCM na maadui wa hayati JPM...
Ndugu zangu,
Mwanzo sababu kubwa ya kutokomea ughaibuni ilikuwa "kumkimbia Magufuli" ambaye kwa sasa hayupo.
Vijana wengi ndani ya Chadema wanatamani wangepata fursa ya kuishi ughaibuni kama...
Mulamula ametumbuliwa. Maswali ni Mengi lkn yapo mawili makubwa yaliyoaibisha nchi yetu kimataifa, yamkini yamesabishwa na makosa ya balozi zetu (zilikuwa chini ya Mulamula) kushindwa kuratibu...
Binafsi the most irritating question ambalo nimevuka nalo ni;
1. KADCO ni ya serikali ama si ya serikali? Hili swali linanisumbua sana japo likajitokeza la nyongeza huku tukiwa tunakatiza mwaka...
Ni mshtuko mkubwa kwa Taifa baada ya Rais mteule SSH kutoa taarifa juu ya fedha za operation plea bargain kutojulikana ziliwekwa kwenye akaunti gani.
Urais ni taasisi,aliyeitumia sheria kuamuru...
Itakumbukwa kwamba tarehe 11.05.2021 Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu alitangaza uteuzi wa nafasi za Majaji wa Mahakama ya Rufani pamoja na Mahakama Kuu ya Tanzania uliofanywa na Mhe.Rais Samia...
Taasisi ya RITA Ni nyeti mno na ilistahili kuwa na wafanyakazi mahili na waadilifu.
Miezi miwili nafuatilia cheti Cha kifo Cha mwanafamillia hadi leo sijakipata.
Kabla yakuanza mchakato wa...
Mjumbe wa Kamati kuu ya Chadema mh Godbless Lema amesema anarudi nyumbani akiwa amebeba Sumu ya kutosha kuwauwa CHAWA, Viroboto, Kunguni, Mende, Panya na Wadudu Wachafu wote
Lema ameahidi kuleta...
Mh Rais leo yalikuwa maazimisho ya miaka 46 ya CCM, lakini mkoa wa Geita naona una nguvu kubwa sana , binafsi kwa upande wa upizani sioni wa kusimama na chama cha mapinduzi mkoa wa Geita, sina...
Kama ni bahari basi kumechafuka.
Tundu Lissu yuko ndani ya nyumba na Lema anapiga jaramba tayari kuingia kuchukua nafasi ya mtu.
Upande wa pili hali si hali mwangwi ungali unaendelea kurindima...
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makatibu wa Kanda wa CHADEMA Mjini DSM.
Ikumbukwe kwamba Makatibu wa Kanda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.