Pamoja na safari nyingi za JK lakini tulikula bata

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,338
JK alisafiri kila leo, alijenga Shule nyingi za Kata, aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.

7AFB90F9-B49A-49CD-BEA8-37C1E0682B07.jpeg
 
Tulitaka kiongozi bora kuliko huyu, lakini wanaokuja wanafanya tutamani kumpata hata kama huyu tu.
 
Rais fisadi kuliko wote, nchi ikawa dampo la madawa ya kulevya, mikataba ya kijingajinga, nk. Tunauheshimu urais, lakini siyo yeye.
 
Back
Top Bottom